iran

  1. JamiiForums Tanzania FIFA wataifungia USA kwa kuivamia Iran kama walivyoifungia Russia kwa kuivamia Ukraine?

    Tutarajie lolote kutoka FIFA? Kwanza kwa nini waliiban Russia na wanadai hawajihusishi na siasa?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Iran - Mkuu wa Usalama wa Taifa, Waziri wa Ulinzi, na Mkuu wa Jeshi wafariki baada ya shambulio la jeshi la anga la Israel

    Katika shambulio la kushtukiza lililotokea leo, Jeshi la Anga la Israel (Israel Defence Forces) limefanikiwa kuwalenga viongozi wakuu wa Jeshi la Iran, kwa msaada wa ushirikiano na Jeshi la Marekani. Mohammad Pakpour – Kamanda Mkuu wa Jeshi kubwa zaidi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC)...
  3. JamiiForums Tanzania How a failed meeting in Geneva started a war with Iran

    Imagine you are sitting at a table in Geneva. It’s late February, 2026. For months, the world has been holding its breath. You are there to negotiate the limits of Iran’s nuclear and missile programs. But the talks stall. Progress flatlines. Therefore, a quiet, devastating decision is made...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Donald Trump: Vyombo Vyote Iran Iwe Polisi, Jeshi, mgambo wekeni silaha zenu chini la sivyo utakabiliwa na kifo cha uhakika

    Hotuba kamili ya Rais wa Marekani Donald Trump akitangaza vita dhidi ya Iran Muda mfupi uliopita, jeshi la Marekani lilianza operesheni kubwa za mapigano nchini Iran. Lengo letu ni kuwalinda watu wa Marekani kwa kuondoa vitisho vinavyotarajiwa kutoka kwa utawala wa Iran, kundi katili la watu...
  5. JamiiForums Tanzania Iran kwa nini wanashambulia hadi Dubai? Je watapata wanachokitafuta?

    Daah hii balaa sasa, BBC imeripoti kwamba The Palm ya Dubai imeshambuliwa na Iran media zimeconfirm hilo. Je iran anachokitafuta atakipata? https://www.bbc.co.uk/news/live/cn5ge95q6y7t?post=asset%3Aa853ff12-7157-47ec-9e43-37c88fd7eb07#post
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Iran isipige kombola pale California

    Shida hapo ni kwa nini Iran hawezi kuthubutu kuishambulia Marekani direct, apige kombola pale New York.... Kama Iran anajiweza apeleke mashambulizi moja kwa moja pale California 😂😂😂😂 aache kupiga kambi za jeshi za Trump kwenye nchi za watu. Iran unaweza kuta akapiga kombola pale Kenya kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania USA: Venezuela vs Iran

    Oya, ina maana USA wameshindwa kurudia kile walichokifanya Venezuela kwa Iran? Yaani wameshindwa kwenda na makomando wao wa Delta force kumnyakua Ayatollah kama walivyomnyakua Maduro? Daaaaah!!!
  8. O

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika (AU) umeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran.

    Kamisheni ya Umoja wa Afrika imeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, ikisema hatua hiyo inaongeza ukali wa mzozo Mashariki ya Kati.
  9. O

    JamiiForums Tanzania Italia imethibitisha kwamba kombora la Iran limepigia uwanja wa ndege unaotumika na vikosi vya Italia huko Kuwait.

    TAARIFA MPYA: Italia imethibitisha kwamba kombora la Iran limepigia uwanja wa ndege unaotumika na vikosi vya Italia huko Kuwait, likisababisha uharibifu mkubwa kwenye reli ya ndege, lakini askari wa Italia wako salama bila kujeruhiwa,” kwa mujibu wa taarifa ya serikali ya Italia iliyo ripotiwa leo.
  10. JamiiForums Tanzania CCM yafurahi Iran kushambuliwa.

    Chama tawala chafurahi Iran kushambuliwa kwasababu watanzania watahamisha mawazo yao kwemye hiyo vita na kuifatilia na kuacha na kusahau yote yaliyopita hasa october 29.
  11. JamiiForums Tanzania Hatimaye mkuu wa IRGC Iran auawa na mashambulizi ya Israel

    Huwa sielewi hawa makobaz akili zao huweka wapi, yaani mnajua vita vinakuja halafu mnaanika wakuu wenu kizembe, huyu kubwa la magaidi wa hiyo dini ameuawa kizembe sana.... Israeli and US strikes on Iran killed several senior Islamic Revolutionary Guard Corps commanders and Islamic Regime...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Iran imetoa wito kwa Umoja wa Mataifa kufanyia kikao cha dharura Baraza la Usalama.

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmail Baghaei, leo alitaka mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ili kuzuia kile ambacho Iran inakitaja kama mashambulizi ya anga yanayoendelea ya Israeli na Marekani. Amesema " Huu utakuwa mwisho wa taasisi za kimataifa." Vyanzo...
  13. O

    JamiiForums Tanzania TAARIFA MPYA: Australia imesema inaunga mkono operesheni ya Marekani dhidi ya Iran.

    Serikali ya Australia chini ya Waziri Mkuu Anthony Albanese imepongeza uamuzi wa Marekani kuendesha operesheni dhidi ya Iran ili kuizuia nchi hiyo kupata silaha za nyuklia na kuzuia tishio la usalama wa kimataifa, ikisema inasema pamoja na “watu hodari wa Iran katika mapambano yao dhidi ya...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia imeitoa onyo kwa Iran kufuatia mashambulizi ya makombora dhidi ya mataifa ya Ghuba ya Uarabuni.

    Saudi Arabia imeitoa onyo kwa Iran kufuatia mashambulizi ya makombora dhidi ya mataifa ya Ghuba ya Uarabuni ikiwa ni pamoja na UAE na Qatar, ikiwa inasema mashambulizi hayo ni ukiukaji mkubwa wa usalama na wa sheria za kimataifa na ikionyesha ushirikiano kamili na nchi zilizoathirika.
  15. O

    JamiiForums Tanzania Qatar itaishambulia Iran kulinda Usalama wake.

    TAARIFA MPYA: Qatar imesema inahifadhi haki ya kujibu shambulio la Iran.
  16. O

    JamiiForums Tanzania Dubai: Falme za Kiarabu (UAE) kuishambulia Iran ili kulinda usalama wake

    TAARIFA MPYA: UAE imesema mabaki ya kombora la Iran yaliyoanguka yameangukia maeneo ya makazi jijini Abu Dhabi, na kwamba shambulio hilo limekiuka mamlaka yake ya kikatiba; UAE imehifadhi haki ya kujibu.
  17. S

    JamiiForums Tanzania Iran anakinukisha mashariki ya kati

    Tayari Israel Bahrain Kuwait USA zinapelekewa moto Jeshi la mtu mmoja
  18. JamiiForums Tanzania Trump: Watu wa Iran saa ya ukombozi imewadia. Kwa miaka mingi mmeiomba Marekani msaada lakini hamkuupata, Tutakapomaliza kazi yetu chukueni nchi yenu

    Wakuu, Haya ni maneno ya Donald Trump baada ya Marekani na Israel kushambulia Iran "Hatimaye, kwa wananchi wa Iran, nasema usiku wa leo kwamba saa ya uhuru wenu imewadia. Kaeni mahali salama. Msitoke majumbani mwenu. Nje ni hatari sana. Mabomu yatakuwa yakidondoka kila mahali...
  19. JamiiForums Tanzania Sasa rasmi Mvua za Masika imeanza kunyesha huko Tehran Iran

    Baada ya ya Mvua za rasharasha kunyesha huko Iran sasa hivi rasmi kabisa Mvua za Masika zimeanza kumnyeshea Ayatollah huko Tehran Iran. Kufikia asubuhi hii ameangamizwa Amir Hatami, Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri za Kiislamu, aliyekuwa anatishia kuangamiza Tel Aviv na Haifa. Na yeye Kaangamizwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania CCM Mjifunze kinachoipata Iran

    Israel na Marekani zimeanza vita na Iran kwa kushambulia viongozi wakuu wa Serikali ya Iran, Swali ni wapi huwa wanapata taarifa? Jirani yoyote akitaka kuipiga Tanzania chini ya CCM, atashinda vita kirahisi sana Breaking, Gholam-Hossein Mohseni-Ejei, Head of the Judiciary in Iran, was...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…