Israel inakuwa na specific target ambazo wanafikia kwa asilimia kubwa na kwa akili kubwa
Ndivyo ilivyotokea kwa Iran
Ofisa wa usalama wa Taifa na msaidizi wake
Makamanda wakuu wa jeshi
Wanasayansi wa Nyuklia
Ayatollah kama sio Kuombewa na Trump anggeliwa kichwa pamoja na kuhama hama mashimo...
Iran leo ilitangaza kufunga anga lake la magharibi na Kati kwa ndege za kiraia, mpaka kesho
Inazua wasiwasi wakati huu israel ikiwa kwenye mazungumzo mazito na marekani na madege ya mizigo ya Marekani yakiripotiwa kutua uwanja wa ndege ben gurion kwa wingi
Juzi mchambuzi mmoja wa siasa Iran...
Marais wa Ufaransa Emmanuel Macron na Vladimir Putin wa Urusi wamezungumza kwa simu jana Jumanne ikiwa ni mara ya kwanza katika kipindi cha miaka miwili na nusu.
Macron ametumia mazungumzo hayo kumtolea wito Putin kusitisha vita nchini Ukraine, ingawa Putin mwenyewe alijibu kwa kuyashutumu...
Ndugu kulikua na mtifuano humu jf baina ya waisrael wa buza na wa Iran wa yombo ila sioni fact za kutetea Israel kwa vita ya rising lion ya siku 12 nimemaliza uzi kwa kuuliza wako wapi waliosema Iran haiwezi rusha hata jiwe ?
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ametetea uamuzi wa nchi yake kusitisha ushirikiano na Shirika la Umoja wa Mataifa la Nguvu za Atomiki,IAEA, akimtuhumu mkuu wake kwa mwenendo wa kile alichokiita uharibifu.
SiasaMashariki ya Kati
Iran yatetea uamuzi wake wa kusimamisha ushirikiano na IAEA...
Picha za satelaiti kutoka Maxar Technologies zinaonyesha vifaa vizito vya ujenzi vikifanya kazi katika kituo cha nyuklia cha Fordo nchini Iran mojawapo ya maeneo yaliyoshambuliwa na jeshi la Marekani.
Picha hizo za Juni 29 zinaonyesha magreda na mashine za kubwa za kuchimbua (excavator)...
Brand Mini
LIVE
'I am not offering Iran anything,' Trump says
'I am not offering Iran anything,' Trump says
Summary
US President Donald Trump said Monday he is not offering Iran “anything” and added that he is not even talking to the Iranian officials following US strikes on the country’s...
Wanaukumbi.
Rais Trump siku ya Jumapili alitoa wito wa makubaliano kuhusu vita vya Israel huko Gaza na mateka wanaoshikiliwa katika eneo hilo waachiliwe.
"FANYA MAKUBALIANO NA GAZA. RUDISHA MATEKA!!! DJT," Trump alisema katika chapisho la mapema asubuhi kwenye Ukweli wa Jamii.
Malengo ya vita...
just what I see ni kuwa zinapull back much effort wanatkiwa wagonge target na kuspusha uzuizi mkubwa kutoka Nchi jirani,Iran inapwa kujilinda kama nchi nyengine zinavyojilinda.
Hapo middle east Israel kapandikizwa,wakristo mtanisamehe.
Ndani ya wiki moja baada ya kusitisha mapigano, israel imepokea zaidi ya tani 800 za silaha toka marekani, ujerumani na nchi za magharibi,bila shaka na makombora ya udunguaji ya iron dome
Pakiwa na taarifa kwamba awamu ya pili ya mashambulizi itakua mzito zaidi na kuenea zaidi ndani ya iran...
"Wanaweza kurudi kurùtubisha uranium ndani ya miezi michache licha ya USA na Israel kushambulia kwenye miundo mbinu ya Nucleur.
Taasisi ya Atomiki Duniani chini ya director wake amesema miundo mbinu ambayo imeharibiwa siyo yote na hivyo Iran itamchukua miezi michache kurudi kwenye urutubishaji...
Iran ina uwezo wa kuanza kurutubisha madini ya uranium tena - kwa uwezekano wa kunda bomu- katika "muda wa miezi kadhaa", mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu masuala ya nyuklia amesema. Rafael Grossi, mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya
Atomiki (IAEA), alisema mashambulizi ya...
Hii Inatufundisha Usiamini Mtu hata kama Atakuonyesha upendo wa hali ya juu
Kati ya mwaka 2013 hadi 2015 mwanadada Catherine perez shakdam raia wa Ufaransa aliingia nchini Iran kutokana na kuvutiwa sana na siasa za Iran za kutokubali kushindwa mbele ya nchi zenye nguvu pamoja na...
Sio mara ya kwanza hivi karibuni umeona sehemu mbalimbali kwamba Marekani kutumia B-2 Spirit Stealth Bomber kufanya mashambulizi ya “precision” dhidi ya Iran. Lakini je, tunafahamu B-2 ni nini? Inaweza kufanya nini? Ina gharama kiasi gani? Na je, kama taifa kama Tanzania, tunaweza hata...
Ipo haja ya kuamini kuwa vinu vya nyuklia vya Iran ilikuwa ni kwa ajili ya matumizi ya kiraia na tafiti za kielimu.
Inashangaza sana kuwa mataifa kadhaa yameweza kumiliki silaha za nyuklia kimya kimya na bila kutangazwa
Kwa upande wa Iran imechukua miaka mingi mpaka udoro huo umewatilia fitna...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV ametoa wito kwa Israel na Iran kuonyesha hali ya uwajibikaji katika matendo yao wakati mzozo kati ya mahasimu hao wawili ukizidi kufukuta.
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV ametoa wito kwa Israel na Iran kuonyesha hali ya...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amelaani siku ya Jumamosi, Juni 28, 2025, matamshi "ya kukosa heshima na yasiyokubalika" yaliyotolewa na Rais wa Marekani Donald Trump, ambaye alidai "aliipiga Iran" na kumuepusha Kiongozi wake Mkuu Ali Khamenei "kifo cha kutisha na cha aibu.
Ikiwa...
Imeweza kuthibitishwa sasa kwamba yale mabomu ya Marekani na Israel yaliweza kuyeyusha kabisa kilogram 400 za uranium zilizokuwa zimerutubishwa kwa asilimia 60 na Iran.
Vyanzo vya kuaminika ndani ya nchi hiyo vimetoa taarifa ya siri kwa jarida la New York kuwa baada ya uchunguzi wa kutumia...
Rais Donald Trump amekashifu madai ya Ayatollah Ali Khamenei kwamba Iran ilishinda vita vyake vya hivi majuzi vya siku 12 na Israel na kusema Marekani "itaipiga kwa mabomu tena nchi hiyo ikiwa itatafuta silaha za nyuklia.
Rais wa Marekani alizindua mkondo wa matusi kwa kiongozi mkuu wa Iran...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.