iran

  1. Adryz

    JamiiForums Tanzania CCM yafurahi Iran kushambuliwa.

    Chama tawala chafurahi Iran kushambuliwa kwasababu watanzania watahamisha mawazo yao kwemye hiyo vita na kuifatilia na kuacha na kusahau yote yaliyopita hasa october 29.
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Hatimaye mkuu wa IRGC Iran auawa na mashambulizi ya Israel

    Huwa sielewi hawa makobaz akili zao huweka wapi, yaani mnajua vita vinakuja halafu mnaanika wakuu wenu kizembe, huyu kubwa la magaidi wa hiyo dini ameuawa kizembe sana.... Israeli and US strikes on Iran killed several senior Islamic Revolutionary Guard Corps commanders and Islamic Regime...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Iran imetoa wito kwa Umoja wa Mataifa kufanyia kikao cha dharura Baraza la Usalama.

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmail Baghaei, leo alitaka mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ili kuzuia kile ambacho Iran inakitaja kama mashambulizi ya anga yanayoendelea ya Israeli na Marekani. Amesema " Huu utakuwa mwisho wa taasisi za kimataifa." Vyanzo...
  4. O

    JamiiForums Tanzania TAARIFA MPYA: Australia imesema inaunga mkono operesheni ya Marekani dhidi ya Iran.

    Serikali ya Australia chini ya Waziri Mkuu Anthony Albanese imepongeza uamuzi wa Marekani kuendesha operesheni dhidi ya Iran ili kuizuia nchi hiyo kupata silaha za nyuklia na kuzuia tishio la usalama wa kimataifa, ikisema inasema pamoja na “watu hodari wa Iran katika mapambano yao dhidi ya...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia imeitoa onyo kwa Iran kufuatia mashambulizi ya makombora dhidi ya mataifa ya Ghuba ya Uarabuni.

    Saudi Arabia imeitoa onyo kwa Iran kufuatia mashambulizi ya makombora dhidi ya mataifa ya Ghuba ya Uarabuni ikiwa ni pamoja na UAE na Qatar, ikiwa inasema mashambulizi hayo ni ukiukaji mkubwa wa usalama na wa sheria za kimataifa na ikionyesha ushirikiano kamili na nchi zilizoathirika.
  6. O

    JamiiForums Tanzania Qatar itaishambulia Iran kulinda Usalama wake.

    TAARIFA MPYA: Qatar imesema inahifadhi haki ya kujibu shambulio la Iran.
  7. O

    JamiiForums Tanzania Dubai: Falme za Kiarabu (UAE) kuishambulia Iran ili kulinda usalama wake

    TAARIFA MPYA: UAE imesema mabaki ya kombora la Iran yaliyoanguka yameangukia maeneo ya makazi jijini Abu Dhabi, na kwamba shambulio hilo limekiuka mamlaka yake ya kikatiba; UAE imehifadhi haki ya kujibu.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Iran anakinukisha mashariki ya kati

    Tayari Israel Bahrain Kuwait USA zinapelekewa moto Jeshi la mtu mmoja
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Trump: Watu wa Iran saa ya ukombozi imewadia. Kwa miaka mingi mmeiomba Marekani msaada lakini hamkuupata, Tutakapomaliza kazi yetu chukueni nchi yenu

    Wakuu, Haya ni maneno ya Donald Trump baada ya Marekani na Israel kushambulia Iran "Hatimaye, kwa wananchi wa Iran, nasema usiku wa leo kwamba saa ya uhuru wenu imewadia. Kaeni mahali salama. Msitoke majumbani mwenu. Nje ni hatari sana. Mabomu yatakuwa yakidondoka kila mahali...
  10. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Sasa rasmi Mvua za Masika imeanza kunyesha huko Tehran Iran

    Baada ya ya Mvua za rasharasha kunyesha huko Iran sasa hivi rasmi kabisa Mvua za Masika zimeanza kumnyeshea Ayatollah huko Tehran Iran. Kufikia asubuhi hii ameangamizwa Amir Hatami, Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri za Kiislamu, aliyekuwa anatishia kuangamiza Tel Aviv na Haifa. Na yeye Kaangamizwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania CCM Mjifunze kinachoipata Iran

    Israel na Marekani zimeanza vita na Iran kwa kushambulia viongozi wakuu wa Serikali ya Iran, Swali ni wapi huwa wanapata taarifa? Jirani yoyote akitaka kuipiga Tanzania chini ya CCM, atashinda vita kirahisi sana Breaking, Gholam-Hossein Mohseni-Ejei, Head of the Judiciary in Iran, was...
  12. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Donald Trump: Jeshi la Iran shusheni silaha zenu chini na tutawapa kinga vinginevyo mtakutana na kifo

    Wakuu Akizungumza muda mfupi baada ya shambulio kwa Iran, Donald Trump amesema kuwa Jeshi la Iran linatakiwa ku-surrender na kuacha kupambana kumtetea Ayatollah "To the members of the Islamic Revolutionary Guard, the armed forces and all of the police. I say tonight that you must lay down your...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hatua katika wiki zijazo zinaenda kuibadirisha mashariki ya kati for good. Mamlaka ya Iran ni cancer na inapaswa kuondelewa.

    #FREEIRAN
  14. kimsboy

    JamiiForums Tanzania US kuishambulia Iran muda wowote kutoka sasa

    Vita inakuja sahivi wanahesabu masaa tu, huko Israel mahandaki yashafunguliwa Marekani wenyewe washaanza kuondia wanajeshi kwenye bases zao...Sidhani kama round hii itapita bila mtwangano kutokea
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tangu 2021 kumekua na Ongezeko kubwa sana la Meli zinazopeperusha Bendera ya Tanzania na ambazo Zina Usajili wa Tanzania kukamatwa

    Kwa Sasa Mbwa kichaa ni lazima apewe majina yote mabaya mabaya ili Tumuue. Tangu 2021 kumekua na Ongezeko kubwa sana la Meli zinazopeperusha Bendera ya Tanzania na ambazo Zina Usajili wa Tanzania kukamatwa ama 👉Zinasafirisha Mafuta ya Magendo ya Wa Iran yalowekewa vikwazo ili yaingie katika...
  16. A

    JamiiForums Tanzania German and British intelligence, Iran Haiwezekani Kushindwa Vitu

    Ujumbe ndio huo German and British intelligence, Iran Haiwezekani Kushindwa Vitu sababu hata ushambulie vipi wanauwezo wa kuendelea kutengeneza Hypersonic Missiles. https://youtu.be/YXakMdE7HBw?si=Q5Snggh94ExijJuF
  17. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Vita kati ya Marekani na Iran kuna dalili yoyote ya kuepukika au muda wowote toka sasa kuna lipuka huko mashariki ya kati?

    Wakuu kwa yanayo endelea huko mashariki ya kati kuna dalili yoyote ya vita kati ya Marekani na Iran kushindwa kutokea au tuwe tayari kwa breaking news kubwa muda wowote kutoka sasa ? Updates na uchambuzi kuhusu mgogoro wa muda mrefu kati ya Marekani,Israel na Iran shusheni wakuu hapa tupate...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Iran Yasema Ipo Tayari Kuikaribisha Marekani Kuwekeza Iran Endapo Itafikia Maelewano ya Kidiplomasia

    Kufuatia mazungumzo yanayoendelea, Iran yaelekea kulegea na kutoa ushawishi wa kila aina, siyo tu Marekani isiishambulie, bali kujenga mahusiano mazuri ya kidiplomasia na kiuchumi. Kwenye tamko la Serikali, Iran imesema kuwa uhusiano mzuri na Marekani utakuwa na faida kwa pande zote, na kwamba...
  19. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Serikali ya kiislamu ya Iran iliua waandamanaji 32,000 na dunia iko kimya!!!

    Utawala wa Iran unaongozwa na serikali ya kiislamu ya Ayatollah Ali Khamenei uliza zaidi ya waandamanaji 32,000 huko Iran. Umoja wa Mataifa mashirika ya kutetea haki za Binadamu na assailant za Serikali wote wako kimya hapo ndipo utaiona UNAFIKIRI wa walimwengu...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Uwezekano mkubwa sana Shambulio la Marekani dhidi ya IRAN ni alfajiri ya ya Jumapili kesho kutwa

    Wadau, taarifa hii ni kwa mujibu wa uchambuzi wa vyanzo mbalimbali vya uhakika duniani na taarifa za ndani, hivyo uwezekano mkubwa ni alfajiri ya kuamkia jumapili tarehe 22.2.2026 kwa saa za Marekani. Shambulio hilo malengo ni kuuangusha utawala wa Kiislamu wa AYATOLLAH KHAMENEI. Kibali...
Back
Top Bottom