Kwa ufupi sana resistance imesimama zaidi Yemen kwa usaidizi wa karibu kabisa " technically" kutoka Iran.
Tumeona shifting kutoka US zaidi ya mara 3 kuhusu houthi na misimamo Yao.
Israel imekua ikijaribu kupambana na Yemen lakini mpaka sasa hakuna mafanikio.
Nchi zingine wamebaki kuwa wabwekaji...
Hali ni tete mpaka sasa wameshauawa Watu 10 wakihofiwa ni Majasusi wa Israel Ndani Serikali ya Irani.
kile kipigo kiliwaumiza sana Irani. Hawajaweza kukaa wakatulia mpaka sasa. Wanawaza na kuwazua. Tulisema lazima milio itasikika na kuchanganyikiwa. Haikuwa kipigo rahisi. Na kuchanganyikiwa...
Toka Israel iwachakaze mle mle ndani mwao nao wakarusha rusha vijigumi vya kuwapiga tumboni Israel. Jamaa wamekuwa wanyonge sana. Hawana raha kabisa. Na hali yao inazidi kuwa tete.
Huwasikii tena Iran wakitamba na kujipanua kama mwanzo. Wamebana ngenge kwa sasa. Wamegundua jamaa ukitanua...
Baraza Kuu la Usalama la Kitaifa la Iran siku ya Jumamosi lilisema kuwa litasitisha ushirikiano na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) baada ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupiga kura ya kupinga kuondolewa kabisa vikwazo dhidi ya Tehran.
Katika taarifa iliyochapishwa na...
Mkuu wa Mossad katika hotuba adimu: "Mossad ina uwezo mkubwa na usiofikirika ndani ya Iran" kuna watu walikuwa wanasema Iran haiingiliki sisi Mossad tumejipenyeza kila sehemu mpaka katikati ya Tehran,
Tunakushukuru Waziri Mkuu na waziri wa ulinzi kwa kuidhinisha kila Operation tuliyoipanga...
Iran wamekuja na technology mpya ya Missiles hukioni kichwa we utaishia kudaka target sio orignal hio hio Missile moja inaonyesha kama ina vichwa vingi hivyo Air defense zitakuwa zinafata hizo fake target kumbe kichwa orignal kina kwenda kwenye target...
Ripoti mpya iliyotolewa na kituo cha televisheni cha Israel Daily hivi karibuni yaweka wazi uharibifu mkubwa nchini Israel kwenye chuo kikuu cha Ben Gurion kutokana na mashambulizi ya makombora ya balistiki ya Iran wakati wa vita vya siku 12 mapema miezi michache iliyo pita
Uharibifu huo ni...
Raia wa Iran wanajitoa muhanga maana kuuaga uislamu unapaswa uchinjwe kabisa, hili hapa andiko lao 'Whoever changed his Islamic religion, then kill him.'" Sahih al-Bukhari 6922
Taratibu wananchi wa Iran wanakombolewa kutoka kwenye uzombi wa kidini, ifahamike wale ni Waajemi, na kihistoria...
Iran imeanza maandalizi ya kushambuliwa na Israel baada ya vyanzo vyake kudhibitisha kuwa wakati wowote wanaweza kushambuliwa na Israel.
Juhudi mbalimbali zimefanya katika jeshi lake ili kuwaweka kwenye hali ya tahadhali ya juu vilevile wameandaa mpango mkakati wa kuwalinda viongozi wa nchi...
Mvutano kati ya Iran na mataifa matatu ya Ulaya — Ufaransa, Ujerumani na Uingereza maarufu kama E3 — umeongezeka baada ya mataifa hayo kutishia kurejesha vikwazo vyote vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran. Mataifa hayo ya E3 yametoa masharti matatu kwa Iran:
Kuanza tena mazungumzo na Marekani...
Duru za kikachero zinadai israel iliiomba marekani ruhusa ya kufanya shambulio la kujihami(pre-emptive strikes) dhidi ya Iran
Japo duru haziarifu ikiwa Marekani ilikubali au laa, lakini kitendo cha dege la kirusi la kubeba viongozi na wanadiplomasia kutua tel aviv kubeba wahusika,kadhalika...
https://www.youtube.com/live/rd4iTiIAyWE?si=Ln7ESumnzg-nX6oS
Je, Israel iko tayari kuishambulia Iran tena kabla ya mwaka kuisha? Majenerali wakuu wa Iran wamekiri wazi kuwa wanajiandaa kwa vita vikubwa na vyenye umwagaji damu zaidi — na Netanyahu amefichua maelezo ya kushangaza kuhusu maendeleo...
❗️Ndege za usafiri za kijeshi za Urusi ziliripotiwa kutua katika kambi kadhaa za jeshi la wanahewa nchini Iran katika siku kadhaa zilizopita.
Utawala wa ayatollah unaonekana kurejesha haraka vikosi vyake vya kijeshi baada ya pigo kubwa walilopata katika Operesheni ya Simba inayoinuka ya Israel...
Viongozi wa Kijeshi nchini Iran wamesema kuwa wanaona Israel ikijiandaa kuishambulia.
Iran imesema itahakikisha inalipiza kisasi mapema kuliko na ndani ya Msaa 48 Israel haitokuwepo.
Zaidi ya ndege 6 za kubeba mizigo za Kirusi zimetua katika Kambi kubwa ya kijeshi na kushusha silaha mbali mbali...
Marekani haishambulii Korea Kaskazini kwa sababu kuu kadhaa, zikiwemo:
1. Tishio la silaha za nyuklia
- Korea Kaskazini ina silaha za nyuklia na imekuwa ikitishia kutumia dhidi ya Marekani na washirika wake (kama Korea Kusini na Japan) ikishambuliwa.
2. Hatari kwa Korea Kusini
- Mji wa Seoul...
Hii vita ilinichekesha sana kwa upande wa israel namna alivyoanzisha na namna mambo yalivomgeukia na kuomba vita isitishwe.🤣
Hivi huyu Israel alikua anafikiria Nini alipotangaza vita na Iran? Alijua atashinda kirahisi rahisi tu. Nadhani ile vita imetoa somo kubwa sana kwa upande wake na brother...
Hawa watu kwenye hii dini ya muarabu sijui nywele za wanawake huwapa mzuka au nyege au nini, yaani jamaa bila aibu na likanzu sijui lijoho lake anazurura hospitalini akichukua video ya kila mwanamke ambaye hajasitiri nywele.
https://www.youtube.com/shorts/1PpnRkoqkqU
Alikumbuka kuzindua chaneli ya Telegram ya lugha ya Kiajemi karibu muongo mmoja uliopita ili kufundisha usimamizi wa maji, ambayo ilivutia haraka wafuasi 100,000. "Kiu ya maji nchini Iran inalingana tu na kiu ya uhuru," alisema.
Netanyahu aliahidi kwamba "wakati nchi yako iko huru, wataalam...
Iran imetekeleza Jumatano hukumu ya kifo kwa kumnyonga mtu mmoja aliyepatikana na hatia ya kufanya ujasusi na kutoa taarifa kwa Israel.
Taarifa hizo ziliwezesha mauaji ya mwanasayansi wa nyuklia aliyeuawa mwezi Juni wakati wa mashambulizi ya Israel dhidi ya Jamhuri hiyo ya Kiislamu.
Hayo...
Urusi imeionya Iran kuwa hivi punde itashambuliwa na marekani na Israel
Wakati huohuo China,urusi na Korea kaskazini zimekua zikipeleka silaha nyingi Iran
Rada ya kufuatilia nyendo za ndege zilibaini safari lukuki za ndege kubwa za mizigo zikitua na kuondoka Iran takriban kwa muda wa mwezi sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.