iran

  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Picha: Iran yaonyesha namna inaweza kutumia nyuklia kuifuta Israel, hivyo inapaswa kupigwa kila inapojaribu kupata nyuklia

    Mshauri mkuu serikalini aonyesha picha ya namna ya kuifuta Israel kwa kutumia mabomu mawili ya nyuklia, hizi ndio sababu kwa nini hao magaidi wa waislamu hawapaswi kumiliki silaha zozote zenye maangamizi makubwa, maana adhimio lao kuu huwa kumaliza Wayahudi. Kila wakipanga kujihami kwa nyuklia...
  2. Mtamba wa Panya

    JamiiForums Tanzania The Daily Telegraph: Iran ilipiga kambi 5 za kijeshi za Israel

    Exclusive: Iran ilishambulia kambi tano za kijeshi za Israeli katika vita yao ya siku 12. Uchambuzi wa data za rada uliofanywa na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Oregon(Oregon State University ) na kusambazwa na gazeti maarufu la Uingereza The Daily Telegraph, unaonyesha kwamba Iran ilipiga...
  3. ITR

    JamiiForums Tanzania Kituo Kikuu cha Mawasiliano kambi ya anga ya Marekani iliyoko Qtaar kiriharibiwa na mashambulizi ya Iran

    Kwa mujibu wa picha za satellite zilizo patikana hivi karibuni, zinaonesha uharibifu dhidi ya kituo kikuu cha mawasiliano cha kambi ya jeshi la anga la Marekani ya Al udeid kilichoko nchini Qtaar kutokana na mashambulizi ya makombora ya Iran iliyo yafanya kama jibu dhidi ya Marekani...
  4. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Tishio la Iran kwa watu wanaoishi Uingereza linazidi kuongezeka kwa kiasi kikubwa

    Wasalaam,naangalia Sky news Dstv 402 wanadai UK kuvamiwa mda wowote kutokana na visasi vya mauaji ya waandishi wa habari wa Iran toka 2022. Bado kuna fukuto mana leo kuna meli imepigwa huko middle east na wahusi kama sikosei. Usibonyeze batani ngoja tusuburi
  5. Jackal

    JamiiForums Tanzania Kulingana na duru za Kijasusi za Israel, Iran Hawakuhamisha Uranium Iliyorutubishwa kwenye vinu vyake wakati wa mashambulizi ya Marekani

    Senior Israeli official: Intel shows Iran didn’t remove enriched uranium from sites hit by US, Israel https://www.timesofisrael.com/liveblog-july-10-2025/
  6. Setfree

    JamiiForums Tanzania Ni ajabu na kweli: Mamilioni ya watu wa Iran wamgeukia Yesu!

    Habari hii sijaichakachua. Nairipoti kama nilivyoisikia. Tazama source ujiridhishe. Habari kutoka Iran zinasema kwamba misikiti mingi sana(kwa maelfu) katika nchi ya Iran imefungwa na mamilioni ya watu wameamua kuacha Uislamu na kumfuata Yesu. Ripoti hiyo imetolewa na Hooman Khalil...
  7. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Rais wa Iran asema Israel ilitaka kumuua wakati wa vita

    Mtangazaji wa TV kutoka Marekani Tucker Carlson ametoa mahojiano yake na Rais wa Iran Masoud Pezzekian. Siku mbili zilizopita, alitoa video akisema kwamba alikuwa amemhoji Bw. Pezzekian na angeitoa hivi karibuni. Bw. Pezzekian alimwambia mtangazaji huyo mashuhuri kwamba Israel ilijaribu...
  8. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amedai kuwa Israel inataka kumuua!!!

    Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amedai kuwa Israel inataka kumuua. Katika mahojiano na mchambuzi wa Marekani Tucker Carlson, Pezeshkian alisema, "Walijaribu, ndiyo. Walitenda ipasavyo, lakini walishindwa," bila kutoa tarehe maalum ya jaribio la madai. Alidai kuwa Israel, sio Marekani, ndiyo...
  9. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Amir Hajizadeh, kamanda wa Kikosi cha Wanaanga Cha Iran kabla ya kuangamizwa alisema anatamani kumuua Trump na wenzake

    Amir Hajizadeh, kamanda wa Kikosi cha Wanaanga cha Walinzi wa Mapinduzi ya Irani (ambaye aliangamizwa katika shambulizi la ufunguzi wa Operesheni ya "Simba Anayeinuka"), alisema katika mahojiano ya 2023 ya TV: "Tunatamani kuwaua Trump, Mike Pompeo (aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje katika...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa Iran asaini muswada wa kuondoa ushirikiano wake na shirika la nguvu za atomic duniani (IAEA)

    Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesaini sheria ya kusitisha ushirikiano na Shirika la Kimataifa la Nishati ya Nyuklia (IAEA), huku mvutano ukizidi kati ya Tehran na shirika hilo la Umoja wa Mataifa kufuatia mashambulizi yaliyofanywa na Israel na Marekani kwenye maeneo ya nyuklia ya Iran mwezi...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Kanali wa Jeshi la Iran amehukumiwa katika mahakama ya kijeshi kwa kosa la kuacha Uislamu na kuwa Mkristo

    Aliyekuwa Kanali wa Jeshi la Iran amehukumiwa katika mahakama ya kijeshi kwa kosa la kuacha Uislamu na kuwa Mkristo. Mahakama ya kijeshi ya Tehran imemhukumu mchungaji Mkristo wa Iran Hamid Pourmand kifungo cha miaka mitatu jela, na kuamuru uhamisho wake wa mara moja hadi kwenye gereza la...
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran: Abwabwaja kuishambulia Israel bila kusita!

    Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran: "Tulirusha makombora 2,000 na UAV kuelekea Israel wakati wa makabiliano. Ikiwa tutashambuliwa tena, hatutakuwa na mistari nyekundu." “Mytake” Ikiwa kweli walirusha makombora 2,000 na UAV, ambayo ni karibu 1% tu iliyotua katika eneo la Israeli. Basi...
  13. dronedrake

    JamiiForums Tanzania Gesi Kali Aina ya Benzene Imevuja Na Kutanda Mji wa Haifa, Israel Baada ya Makombora ya Iran Kupiga Kituo Cha Usafishaji Mafuta

    Gesi kali aina ya Benzene imevuja na kutanda mjini Haifa, Israel baada ya Iran kulipua kituo cha usafishaji mafuta mjini humo Uvujaji wa gesi hiyo imerikodiwa kuwa mara 100 ya kiasi kile cha kinachoruhusiwa hivyo kuhofia kuleta magonjwa ya kansa na pumu kwa wananchi waishio mji wa Haifa, Israel...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Nimetazama interview ya hawa wanafunzi wa Kitanzania nchini Iran nikaelewa jambo

    Wanadai maisha ya Iran ni cheap sana, ukiondoka na 1 milion TZS unaishi mwaka mzima bila shida kabisa. Wanasema 2500 ni sawa na pesa za Iran rial 100 ambapo lita moja ya mafuta ya gari ni rial 3. hivyo yani kwa 2500 za kibongo karibu unapata rita 33 za mafuta. Wanasema iran wana mitandao yao...
  15. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Analysis reports ya kitaalam nani kashinda Vita Iran vs Israel

    https://www.youtube.com/watch?v=SqJvJ4Yv8Xw Kila Mmoja ameshinda kivyake ila faida amepata Israel malengo yote 100% Iran kwake kupona kwa Ayatollah na kuendelea kutawala Iran ni Ushindi kwake 100%
  16. G

    JamiiForums Tanzania Kihistoria Israel Huwa anashambulia viongozi wakubwa kuanzia Goliath mpalestina, hamas, Hizbolah na Iran ni kuponda kwanza nyoka kichwa

    Israel inakuwa na specific target ambazo wanafikia kwa asilimia kubwa na kwa akili kubwa Ndivyo ilivyotokea kwa Iran Ofisa wa usalama wa Taifa na msaidizi wake Makamanda wakuu wa jeshi Wanasayansi wa Nyuklia Ayatollah kama sio Kuombewa na Trump anggeliwa kichwa pamoja na kuhama hama mashimo...
  17. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Iran yafunga anga lake kwa ndege za kiraia,je mtifuano kuanza tena!?

    Iran leo ilitangaza kufunga anga lake la magharibi na Kati kwa ndege za kiraia, mpaka kesho Inazua wasiwasi wakati huu israel ikiwa kwenye mazungumzo mazito na marekani na madege ya mizigo ya Marekani yakiripotiwa kutua uwanja wa ndege ben gurion kwa wingi Juzi mchambuzi mmoja wa siasa Iran...
  18. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Putin na Macron wazijadili Ukraine na Iran

    Marais wa Ufaransa Emmanuel Macron na Vladimir Putin wa Urusi wamezungumza kwa simu jana Jumanne ikiwa ni mara ya kwanza katika kipindi cha miaka miwili na nusu. Macron ametumia mazungumzo hayo kumtolea wito Putin kusitisha vita nchini Ukraine, ingawa Putin mwenyewe alijibu kwa kuyashutumu...
  19. LOVE U JF

    JamiiForums Tanzania Hivi siku hizi wako wapi wale waliosema Iran haiwezi kurusha hata jiwe ndani ya ardhi ya Israel?

    Ndugu kulikua na mtifuano humu jf baina ya waisrael wa buza na wa Iran wa yombo ila sioni fact za kutetea Israel kwa vita ya rising lion ya siku 12 nimemaliza uzi kwa kuuliza wako wapi waliosema Iran haiwezi rusha hata jiwe ?
  20. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Iran yatetea uamuzi wake wa kusimamisha ushirikiano na IAEA

    Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ametetea uamuzi wa nchi yake kusitisha ushirikiano na Shirika la Umoja wa Mataifa la Nguvu za Atomiki,IAEA, akimtuhumu mkuu wake kwa mwenendo wa kile alichokiita uharibifu. SiasaMashariki ya Kati Iran yatetea uamuzi wake wa kusimamisha ushirikiano na IAEA...
Back
Top Bottom