ipi

The Kumeyaay, also known as Tipai-Ipai or by their historical Spanish name Diegueño, are a tribe of Indigenous peoples of the Americas who live at the northern border of Baja California in Mexico and the southern border of California in the United States. Their Kumeyaay language belongs to the Yuman–Cochimí language family.
The Kumeyaay consist of three related groups, the Ipai, Tipai and Kamia. The San Diego River loosely divided the Ipai and the Tipai historical homelands, while the Kamia lived in the eastern desert areas. The Ipai lived to the north, from Escondido to Lake Henshaw, while the Tipai lived to the south, in lands including the Laguna Mountains, Ensenada, and Tecate. The Kamia lived to the east in an area that included Mexicali and bordered the Salton Sea.

View More On Wikipedia.org
  1. KWELI Picha hizi za milima moja imetumia Akili Mnemba na Nyingine ni picha halisi

    PICHA A PICHA B
  2. G

    nina milioni 1, ninunue kifaa gani au niwekeze huduma ipi kwenye tech niingize pesa ?

    N:B: Sihitaji idea za PS, kamari, forex, bitcoin. habari zenu wana tech, naombeni mnipe ideas Nipo mazingira ya mjini binafsi ni muajiriwa lakini ni mdau mkubwa sana wa side hustles Nahitaji wazo au vifaa / huduma walau kuingiza elf 10 kwa siku, niliwahi kufungua banda la games tatizo kubwa...
  3. M

    Biashara ya kuuza nguo, uwakala, bajaji ipi inalipa?

    Wakubwa kwa mtu mwenye mtaji wa milion 10 biashara ipi ni ya uhakika Dar, 1. Uuzaji nguo, 2.uwakala(mpesa,tigo,banks), 3.usafirishaji abiria kwa bajaji
  4. M

    Mazd cx5 na x trail new model nichukue ipi

    Wakuu narud Tena kwenu kutaka ushauri nyie ndio wataalamu wahizi mambo..nimebaki na machaguo mawili ya gari Mazda CX5 na xtrail new model ninunue ipi Kati ya hizi ambayo itakua economically na kwa vitu vyote
  5. Mimi nikiwa Mtanzania tena mzazi mwenye uchungu na matukio ya utekaji, hii inanifanya niichukie nchi yangu. Njii ipi nzuri ya kutatua ili tatizo?

    🚨🚨 ndugu zangu hali ni mbaya, serikali imeshindwa kutuakikishia usalama kwa raia wake. Kiukweli hofu kwa jamii ipo juu tunakosa Amani kama vile hatuna serikali, jeshi la police ndiyo linaongoza kuteka raia wake na viongozi wapo kimya especially Mh. Rais wetu. Kiukweli kunahaja wananchi...
  6. Msaada: Tofauti na Bugando ni hospitali ipi nzuri kwa ajili ya matibabu ya sikio mkoani Mwanza?

    Karibuni wana Rock city mnielekeze.
  7. Ni huduma ipi inayotolewa na Serikali ndani ya Jamii unaifurahia kwa asilimia kubwa?

    Huduma zinazotolewa na Taasisi,Idara,Mashirika,Wakala na kwingineko. Mimi binafsi katika utafiti wangu mdogo idara ya maji inajitahidi sana kutuma bili kwa wakati. Pamoja na watu wengi kulalamikia bili hizo kuwa zinakuwa na bei kubwa ukilinganisha na matumizi lakini wamepiga hatua kubwa...
  8. M

    Ninunue gari ipi Mazda CX-5, Forester, Mitsubishi outlander,xtrail new moder

    Wakuu naleta kwenu wataalamu wa magari ninunue gari ipi Kati ya hizo hapo au nje ya hizo gari nilizotaja bajeti ya yangu ni 25-27m
  9. Tofauti na Bugando, Hospitali ipi Mwanza ina matibabu bora ya masikio?

    Nasikio sauti kama kengere na muwasho wa mara moja moja. Pia mvuto kama presha hivi masiikioni. Nisaidieni kupata kituo kizuri hapo Mwanza
  10. Bati zuri la kupaulia kwa sasa ni lipi?

    Bati zuri la kupaulia kwa sasa ni lipi? Je ni kampuni gani ya mabati ambayo hayapauki haraka, niliambiwa ALAF na ANDO sasa sijui ni ipi niondoke nayo? Yamkini wewe uajua kampuni nzuri pia nitapokea ushauri, nataka ati zuri kwajili ya nyuma nzuri. Tupo Arusha
  11. Kwa wingi wa mihogo inayoingia mjini wakina nani wanafanya tathmini ya kujua ipi inafaa kwa matumizi ya chakula?

    Sio Kila mhogo unafaa kwa matumizi ya chakula sababu Kuna aina ya mihogo ni sumu Sasa kama mnavyojua biashara ya mihogo ilivyoshamiri mjini wengi tunatumia kama vitafunwa assurance ya kitu kinacholiwa na binadamu ni jambo la msingi sana sababu hakuna mbadala wa uhai. Kuna mihogo ukila baada ya...
  12. Translater ipi unatumia katika kiganja chako free katika kuvinjari... Online

    Wakuu mwenye chimbo la translater nzuri yenye Kiswahili kwenda lugha zingine Duniani free plizz anisogezee hapa kwangu... Natanguliza Shukran za dhati Kwa alie tayari asante sanaa
  13. Kati ya awamu ya tano na hii ya sita. Ni ipi imeongoza kwa raia kutekwa na kupotezwa? Kumbukeni mpaka sasa Azory Gwanda hajaonekana

    Hii ilikuwa mwaka 2019. Mpaka leo hatujui alipo. Au ndio aliliwa na wanyama huko Katavi?
  14. Wanazi wa mabus tukutane hapa, chuma ipi ina mwaga moto road

  15. Tukiachana na AliExpress, ipi umewahi kuitumia hapa?

    Watu wengi ambao wamekua wakiagiza bidhaa kutoka China, wamekariri majukwaa mawili tu…Yaaani AliExpress na Alibaba Hii ni kwasababu, watu wengi hawapendi kusumbuka…. Ila ukwel ni kwamba, majukwaa haya mawili yaani AliExpres na Alibaba, ndani yake bidhaa nyingi ni bei juu(yaaani baadhi ni hadi...
  16. Ipi ni njano kati ya hizo jezi mbili?

  17. Ni sehemu ipi sahihi ya kuelezea siri au kitu kinachokusumbua kwa muda mfupi au muda mrefu?

    Kwa uzoefu tu Jamani watu wengi ni wasaliti sana. Unaweza kumueleza kitu chochote ili upewe ushauri. Cha ajabu ushauri hupewi bali utayasikia mtaani na hii inaumiza sana. Sasa ni wapi Jamani mtu ueleze siri yako? Mimi limewai nikuta nilimueleza mtu siri na akaenda kuisambaza mahali nilijuta...
  18. Tumalize utata: Jezi ipi kali msimu huu kati ya Yanga na Simba?

  19. Namba ipi ya jezi huwa unaipenda nje ya namba 1 mpaka namba 11?

    Mimi huwa napenda namba 39 na aliyefanya niikubali hii namba ni Toni Kroos wakati akiwa Bayern Munich. Wewe huwa unapenda ipi kubwa nje ya namba 1 mpaka 11?
  20. Kupaka mbao dawa au kupaka oil ipi inakaa muda mrefu bila wadudu kula?

    Wakuu mimi Niko hapa kwenu nawapa tip ya ujenzi hii hapa maana mimi kwenye ujenzi nmeboboa. Kutreat mbao kwa dawa zile za kijani kijani wanazopiga wengi wauzaji wa mbao. Oili chafu inadumu muda mrefu zaidi kuliko hizi dawa. Ukweli ndio huo oili kwanza kadili inavyopigwa joto ndio kwanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…