internship

  1. Vipi zile nafasi za Internship TBS walishaita watu?

    Habari, Ilikuwa 21 April TBS walitoa tangazo la internship kwa nafasi mbalimbali. Vipi walishaita vijana kwa ajili ya usaili na kuanza kazi? Nimeingia kwenye website yao sijaona tangazo lolote, ni bado mchakato au watu wamepigiwa simu direct?
  2. V

    Waziri Ndaki na Katibu (Mifugo) Nzunda, Uhalisia kuhusu kuomba kusitisha mafunzo atimizi (internship) kwa Madaktari wa Mifugo

    Waziri Ndaki na katibu(mifugo) Bw. Nzunda, Uhalisia kuhusu kuomba kusitisha mafunzo atimizi (internship) kwa madaktari wa mifugo. kutoka kwa Vet Surgeon Habari Mh. Mashimba Ndaki , pole na majukumu na hongera kwa kuwezesha sekta ya mifugo kuendelea kusonga mbele. Kulingana na Takwimu za 2020...
  3. Ni changamoto na mafanikio yapi ulipitia wakati ukifanya internship/ kujitolea?

    Habari Wana jamvi, Katika dunia ya Sasa hasa nchini kwetu swala la ajira limekuwa ni kilio kikubwa sana. Siku hizi kupata ajira ni kama bahati au connection yani kupata ajira kwa ujuzi wako imekuwa nadra sana. Wapo waliomaliza chuo nakupa kazi moja kwa moja wapo walio subiri kwa zaid ya miaka...
  4. Natafuta internship au kazi pale nitakapo maliza Diploma 2 in computer science. Au constructive criticism

    Habari, mimi ni mwanafunzi IFM mwaka wa pili dip in CS(nilianza certificate). Namaliza masomo mwezi wa 7. Natafuta internship, kazi au hata ushauri wa portfolio na skills. Nina skills za Html, css, JavaScript. JAVA (na oop), Oracle Sql, kotlin (na oop), adobe illustrator na blender 3D. Android...
  5. Ukiachana na internship za uhasibu

    Habari za wakati huu waungwana natumai wote muwazima wa afya tele na kama kuna mwenye khitilafu za kiafya basi twamuombea kwa Mungu aweze kumponya amiin. Nilipost siku za nyuma kutafuta internship ya uhasibu katika taasisi yeyote ndani au nje ya jiji la Mwanza kwanza sikubahatika kupata ila...
  6. Natafuta nafasi ya internship kwenye NGOs ama Serikalini

    Habari wanaJF! Mimi ni kijana, mwenye umri wa miaka 24. Nimehitimu 2021 shahada ya Usimamizi wa Mifumo ya Afya (Bachelor's Degree in Health Systems Management) ya chuo kikuu Mzumbe. Kwasasa natafuta mahali pa kujifunza zaidi kwa vitendo. Interest yangu ni kwenye NGOs lakini hata nikipata...
  7. Mshahara wa Internship private sectors upoje?

    wana jf,samahan mshahara kwa intern private sector upoje na je mda ukiisha unaweza update?
  8. Looking For Unpaid Internship (ICT)

    Looking For: Unpaid Internship in IT fields, specifically Networking, Database Management, Web Development. Name: AvailableIntern Sex: Female Age: 26yrs Address: Kigamboni, Dar es Salaam Education: Diploma in ICT (2019) Certifications: CCNA (2020) Skills: i) Network Simulation (Packet...
  9. Ninahitaji nafasi ya kufanya 'Internship'. Nimesoma Bsc of science in Computer science HCIA (5G,AI,DataCom &Python) Certificate

    Salaam, Mimi ni kijana wa kiume mwenye Umri wa Miaka 26 na makazi yangu ni Mwanza wilaya ya Nyamaghana. Mwaka huu 2021 nimehitimu Bachelor of science in computer science, Lengo la thread hii ni kuomba nafasi ya internship or volunteering opportunity (paid or unpaid), katika kampuni yoyote...
  10. Internship Vacancies at Musoma Utalii Training College

    About the College Musoma Utalii Training College is a college registered by Ministry of Education, National Council for Technical Education (NACTE) and Vocational Education Training Authority (VETA). We are offering different courses as per society needs. The College is located near Bweri Bus...
  11. K

    Serikali ianzishe mfumo wa "internship" kwa Walimu wahitimu kuliko kujitolea

    Habari JF, Hakuna kitu kinaumiza kama msomi na mwalimu aliyesomea na kufuzu mafunzo ya ualimu na kwenda kufanya kazi katika shule za serkali kwa kujitolea bure Hakika hii haikubaliki, ni unyonyaji wa kiwango kisichoelezeka. Mtu kufanya kazi bure ndani ya nchi hii ni kinyume na haki za binadamu...
  12. Internship Opportunities at Railway Children Africa (RCA)

    INTERNSHIP OPPORTUNITY IN DAR ES SALAAM OVERVIEW Railway Children Africa (RCA) is Non-Governmental Organisation (NGO) registered in Tanzania NO. 1563, and affiliate of our parent company Railway Children UK With over ten years working in Africa, we are committed to safeguarding and promoting...
  13. Internship opportunities at OBLICQ LIMITED

    Overview OBLICQ LIMITED is a Tanzanian privately owned company incorporated and registered under the Companies (Act), Cap. 212, R.E. 2002. The company focuses on delivering the best solutions out of technology. OBLICQ provides range of ICT services including Enterprise software Implementation...
  14. K

    Serikali iwatazame vijana hawa katika ajira

    Natanguliza salamu ya Amani na upendo wangu kwenu wote pia nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Baadhi ya viongozi wamekuwa wakisema vijana waliosoma wachangamkie fursa za kujiajiri kwa kulima ,kufuga kuku,kuuza machungwa na biashara nyinginezo ili waweze kujiajiri na...
  15. PD Internship Programme 2021 – Field Innovation Hub Intern At WFP Tanzania, April 2021

    General Information Title of Post: PD Internship_Field Innovation Hub VA Reference no: 141660 Supervisor: Head of Innovation – Programme Policy Officer Unit: Field Innovation Hub Country: Tanzania Duty Station: Dar es Salaam Duration of internship: 3-8 months Expected Start Date: June/July...
  16. Wanaotafuta kazi, ajira, internship, apprenticeship, kujitolea, pitia HAPA

    Wanaotafuta kazi, ajira, internship, apprenticeship, kujitolea, pitia HAPA. Jiulize, je wewe ni: 1. Unayejali kazi (Professional) 2. Mwadilifu (Ethical) 3. Mwenye mtazamo sahihi (Right attitude) 4. Mbunifu, utakayeongeza thamani uendako (creative, add value). Jiandikishe TAESA.
  17. Internship Opprtunities - VLYNETECH

    V Lyne Tech Company LTD is a Technology development and distribution company that provides businesses with access to modern tools, technologies and support to help them increase their productivity, efficiency and profitability. We offer a mix of customized, proprietary and open source solutions...
  18. R

    Naomba msaada namna ya kuandika barua ya kuomba internship

    Naomba msaada namna ya kuandika barua ya kuomba internship.
  19. Naomba msaada wa kuweza kupata ajira au internship

    Habari zenu wakuu, Mimi ni graduate mechanical engineer. Naomba msaada wa kuweza kupata ajira au internship. Natanguliza shukrani za dhati kwenu.
  20. Wajumbe tusaidiane mwenye connection ya kazi au internship ya ualimu wa English na Kiswahili

    Habari wadau..!! Mambo yamekuwa magumu maana wife anatafuta nafasi ya internship au kazi ya kufundisha masomo ya lugha kwa DsM. Mwenye connection ya kibabe tuyajenge ,maana mjini hapa kama hauna connection hata kwenye msiba unaweza usile. Nawaombeni wadau tusaidiane kwenye hili jamani,maana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…