internet

  1. D

    JamiiForums Tanzania Vodacom inatoa internet device(router) burekwenye taasisi/ofisi yoyote ya serikali

    HABARI NJEMA KUTOKA VODACOM. VIFAA VYA INTERNET (ROUTER BURE) Ofisi za kijiji, kata, kitongoji, ofisi za wilayani Masijala office, procurement office,HR OFFICE Ofisi za afisa kilimo, lishe, biashara Shule zote , vyuo vyote vya serikali Mahakama, magereza. Police, jeshi. Zimamoto Hata kama...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada wa hatua za kufuata ili kufanya Biashara ya Internet

    Hivi karibuni nimepata wazo la kufanya Biashara ya Internet ISP akiwa TTCL kwenye maeneo ya Sokoni au Center zenye watu wengi kwa kuweka WiFi mteja atalipia kwa njia ya Vocha (number maalumu) mfano kwa Masaa 12 kwa Sh 1000 au 500 kwa masaa 6 n.k Hivyo ni hatua gani za Kufata kwa kuanzia na eneo...
  3. JamiiForums Tanzania Miaka ijayo Bluetooth itareplace matumizi ya Internet na network kwenye mawasiliano kwenye nyanja zote

    Natural satellite kama mwezi, titan, lo, mimas, europa n.k zina-zalisha wave ambazo zikitumika zinaweza kutumika kutumika kwenye mawasiliano na kama Internet Kabla ya hii humanoid project (hii ambayo tupo kwa sasa) wave zilizokuwa zinazalishwa na Natural satellite zilitumika kufacilitate...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Internet Download Manager Software - 20,000 Tsh

    Internet Download Manager Software (IDM) ya Windows OS - 20,000 Tsh. Mawasiliano: 0756704145 Eneo: Dar es salaam, Mbezi
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Jerry Silaa: Tumeanza kuuza Internet nje ya nchi

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa amesema Tanzania imeanza kuuza intaneti nje ya nchi baada ya mkongo wa taifa kuongezewa uwezo.
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya Iran kuzima internet, Israel wanazidi kugeuzwa kuwa Gaza, ssbabu hii hapa…

    Kwanza tuelewe kitu kimoja kuhusu PrSM (Precision strike Missile) Israel aliua viongozi wa juu wa kijeshi wa iran na hii sio kitu cha ajabu mana ni mpango wa US, kwanini nasema ni mpango wa US? US huwa anaitisha makubaliano baina ya pande mbili, kama mna mzozo na pia upande ulio pamoja na US...
  7. D

    JamiiForums Tanzania VODACOM Unlimited Internet kwa gharama ya TSh. 70,000/= 10Mbps speed

    Kwa watu wa zanzibar naunga unlimited internet ya Vodacom postpaid kwa gharama ya Tsh.70000 (elfu sabini tu) kasi yake ni 10Mbps (postpaid) Kwa mara ya kwanza utalipia Deposit 140000 hapa unapewa na device ya 5G au 4G na device unapata papo hapo ukilipia haina kusubili Kwa wale wa bara...
  8. JamiiForums Tanzania Mwezi mmoja ndani ya uchaguzi tutarajie kuzimwa internet mpaka watakapojitangaza?

    Kuna dalili za kwamba nguvu iliyopo kuwa danganya toto zao za uchaguzi ni za haki watafanya kuzima kabisa. Sababu za kuzima ili kuzimisha mijadala na yote zaidi mtapewa kisingizio mkongo wa taifa umekatika. Hakutakuwa na internet mpaka watakapomaliza watakalo.
  9. JamiiForums Tanzania Vodacom mtandao wenu umetusumbua karibia wiki nzima bila internet na voice calls kususua lakini hata kufidia mmekimbia. Ni aibu sana

    Vodacom mtandao wenu umetusumbua karibia wiki nzima bila internet na voice calls kususua lakini hata kufidia mmekimbia. Ni aibu sana Haya mambo tunafanyiwa waafrika haswa sisi wabongo wenye amani na utulivu.
  10. JamiiForums Tanzania Ni mustakabali wa internet na mitandando ya kijamii kama wenye mamlaka wanaweza kuizuia na kuruhusu tuone au kusikia wanachokitaka? Case China/Korea

    Mustakabali wa intaneti unapokuwa chini ya mamlaka yenye uwezo wa kuzuia mitandao ya kijamii na kuwaruhusu wananchi kuona au kusikiliza kile tu wanachotaka—kama ilivyo kwa China na Korea Kaskazini—huenda ukawa na sifa zifuatazo: 1. Intaneti ya Kitaifa, Siyo ya Dunia Kutengwa na Dunia...
  11. JamiiForums Tanzania Mhandisi Leo Magomba: Wanaotumia internet ya uhakika Afrika ni asilimia 38 ya watumiaji wote, hili ni pengo kubwa

    Mhandisi wa Miundombinu ya Mawasiliano kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Leo Magomba amesema kwamba katika bara la Afrika wanaotumia internet ya uhakika ni asilimia 38 kati ya watumiaji wote, ambapo amedai kuwa zinahitajika juhudi za pamoja kuchochea...
  12. JamiiForums Tanzania Trump kamshtukiza Rais Ramaphosa ndani ya Oval Office

    Hahahaaa. Niliposikia anaenda kuonana na Trump ikulu ya Marekani, nikasema huyo anaenda kufanya nini huko? Hakuona jinsi vile Zelenskyy alivyofanyiwa. Haya, leo naye yamemkuta kiaina 🤣. =============== Donald Trump amemshambulia ghafla Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, wakati wa mkutano...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kampuni mpya ya fibre internet mjini ni matapeli?

    Nimelipia ili kufungiwa huduma leo ni siku ya tatu hawajanipa huduma, nikiwapigia wanadai kuna tatizo, mbona hela mumechukua kwanza? Mjini hapa jihadharini na kampuni hizi afadhali sana ya zuku kuliko hawa wapya
  14. D

    JamiiForums Tanzania YAS Postpaid bundle

    Naunganisha YAS POSTPAID BUNDLE kwa uharaka sana Hakuna gharama za ziada ili upate huduma Kigezo kikubwa ni Pesa ya kifurushi chako. UNLIMITED YA 100,000 hii tunakuunga hata kwenye simu yako ya mkononi Wasiliana nami whatssap +255 765 991551
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CIPESA Joins Six Civil Society Organisations in Landmark Case Challenging Internet Shutdowns in Kenya

    Mashirika Saba Yafungua Kesi Mahakamani Kupinga Kukatizwa kwa Intaneti Nchini Kenya Katika hatua kubwa ya kulinda haki za kidijitali na uhuru wa kikatiba, Shirika la CIPESA (Collaboration on International ICT Policy for East and Southern Africa) kwa kushirikiana na mashirika sita mengine...
  16. JamiiForums Tanzania Mfumo wa internet Mbezi Stend

    Habari Wana JF, Kunajambo niliiona pale kituo kikuu Cha mabasi Cha magufuli mbezi kwanza nilikipenda kisha kikanishangaza ila kimenishawishi kukifanyia kazi. Kuna siku nilikuwa safarini kuelekea mkoani nikiwa na kisimu changu mwenyewe maisha yanaenda nilipofika Mbezi nilikuwa nimechelewa sana...
  17. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli tovuti ya Millard Ayo (millardayo.com) haijalipiwa ada ya internet kwa miaka mitano ilopita?

    Leo nimejaribu kuingia katika tovuti ya MillardAyo.com na nimepata ujumbe huu: Overdue Hosting Payment - Site SUSPENDED! This website is down due to the client's failure to pay for hosting for the past 5 years. It will be back online once this is resolved! Kama ni kweli kwanini Millard Ayo...
  18. JamiiForums Tanzania Kumbe bado kuna mahali Tanzania hii wanatumia Internet ya 2G, kweli Mama hatukudai

    Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb.), akijibu maswali yaliyoulizwa na Wabunge mbalimbali kuhusu sekta hiyo, Bungeni jijini Dodoma, Mei 8, 2025
  19. JamiiForums Tanzania FAHAMU KUHUSU IOT (INTERNET YA VITU) INTERNET OF THINGS.

    IoT: Teknolojia Inayounganisha Vitu na Maisha Yetu Katika dunia ya sasa inayozidi kushikiliwa na teknolojia, kumekuwepo na mabadiliko makubwa ya kiteknolojia yanayobadilisha namna tunavyoishi, tunavyofanya kazi, na hata tunavyolima. Moja ya teknolojia zinazochukua nafasi kubwa kwa sasa ni IoT –...
  20. JamiiForums Tanzania Airtel Africa teams up with SpaceX to expand Starlink internet in underserved regions

    The rollout will cover Nigeria, Kenya, Malawi, Madagascar, Zambia, Rwanda, Niger, Chad, and the Democratic Republic of Congo, all markets where Airtel is already active Wakuu Hii deal leo Airtel Africa ame sign na Spacex Lakini Airtel Tanzania naona haiko Included? Je ili Kuambiwa kuwa Spacex...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…