internet

  1. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Uganda baada ya Internet kuzimwa kinaenda kufanana na kilichotokea Tanzania kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025

    Soma pia: Museveni Vs Bobi Wine: Uzi Maalum wa kinachoendelea kwenye Uchaguzi Mkuu nchini Uganda 2026
  2. JamiiForums Tanzania Bora Uganda wametangaziwa kuzimiwa internet, sisi walizima pasipo kumwambia yeyote

    Bora Waganda wametangaziwa kuzimiwa internet, sisi tulikuta tupo korokoroni, wakawaua watoto zetu kama nzige wakachimba mashimo wakawafukia kama takataka. Waganda wamezimiwa huku wakiwa na taarifa lengo ni kuwa wasioneshe vijana waliojitokeza KUCHAGUA Bobi Wine bali watuoneshe mizee ambayo...
  3. JamiiForums Tanzania Iran imeua waandamanaji 12,000 baada ya kuzima Internet nchini humo

    Utawala wa Iran chini ya utawala wa jiislamu umewaua waandamaji zaidi ya 12,000 baada tu ya kuzima mitandao nchi nzima Hii inaonyesha ni jinsi gani utawala huo usivyo na huruma jwa watu wake wenyewe!! Na umeonyesha ni jinsi gani utawala huo ni wa kikatili.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Iran yazima Internet wakati maandamano yakiendelea, (Yaani kama yaliyotokea Malawi)

    Maandamano makubwa yalizuka kote Iran huku serikali ikikata huduma ya intaneti karibu nchi nzima, kulingana na makundi ya ufuatiliaji. Hatua hiyo ilikuja wakati wananchi wakipaza sauti wakidai uhuru na kuondoka kwa utawala wa Kiislamu, licha ya onyo kali kutoka kwa viongozi wa vyombo vya usalama...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali ya Iran Kuzima Internet:

    Huyu aliyezima internet Tanzania ndiyo amemshauri Ayatollah kuzima internet? Mwisho wa utawala wa kidhalimu na kipumbavu umekaribia.
  6. JamiiForums Tanzania Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ?

    Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ? Moja ya hoja kuu kuwa hakukuwa na uchaguzo kabisa oct 29, ni kwamba internet ilizimwa, usafiri haukuwepo kabisa hakuna shughuli yoyote mpaka mida...
  7. JamiiForums Tanzania What's your internet speed?

  8. JamiiForums Tanzania Mbinu za kujisafisha kwa mataifa mengine zinvyozidi kuonesha udanganyifu wenu serikali ya CCM. Na hili la UN limebuma

    Picha anayoonyesha Kombo baada ya kumbabatiza Katiba Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayosema ni ofisini kwa Katibu Mkuu, siyo kweli. HAIKUWA OFISINI kwa maana nyingi, hakuna, Mkutano rasmi wa Kombo na Katibu Mkuu uliofanyika hili alipokea document tu Mazingira ya ofisi za Katibu Mkuu wa UN ni...
  9. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa tetesi ya upatikanaji wa huduma ya Internet inayosambazwa na kampuni ya Starlink kupitia Roaming

    Kwanza kabisa nianze na maana ya Roaming Roaming ni huduma inayoruhusu mteja wa kampuni moja ya mawasiliano kutumia mtandao wa kampuni nyingine, pale ambapo Mtandao wa kampuni yake haupatikani au Yuko nje ya eneo analohudumiwa kawaida (ndani au nje ya nchi) "Unapotumia nyumba ya jirani kwa...
  10. I

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maelekezo kutoka juu, internet inazimwa saa saba kamili mchana

    Internet accessible inaenda kuwa locked baaada ya nusu saa haya maelekezo kutoka kizimkazi Muwe na wakati mwema mpaka Jumatatu ya tarehe 15
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Internet ni Issue, mnapataje network?

    Mnapataje network nyie
  12. M

    JamiiForums Tanzania Umejiandaaje kwa siku ya kesho bila internet

    Nje ya agizo alilotoa Waziri Mkuu la kuka ndani, umejiandaaje kuvusha siku bila internet Hakuna jamii forums Hakuna Youtube Hakuna instagram Hakuna Facebook Hakuna whatsapp Hakuna X Hakuna Netflix Hakuna Tiktok Hakuna Chatgpt
  13. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Simbachawene: Hadi sasa hakuna tishio TCRA kuzima internet

    Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amesema uamuzi wa kuzima mtandao wa internet ni chaguo la mwisho kabisa pale ambapo hali ya kiusalama inakwa mbaya ambapo amesema hadi kufikia sasa hali ya Tanzania bado ipo shwari na hakuna tishio la kuwafanya TCRA wazime internet kesho December...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Nani anamiliki Internet? (WHO OWNS INTERNET):

    Nani anamiliki Internet3? For an expert in modern communication technology ie.digital communication Seems a silly question, but take your time to think about it! Dictatorial governments normally switch off internet! TCRA can switch off the internet ! Who Owns internet? Is it possible to have...
  15. JamiiForums Tanzania D09 hakuna maandamano na internet itakuwapo

    Just believe me
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Huenda muda wowote internet ikazimwa

    Tujipange haraka Sana internet inazimwa muda wowote Leo
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tushauriane vya kudownload kabla ya changamoto za Internet Desemba 9

    Changamoto kama hii ina uwezekano mkubwa sana kutokea na ikawa ya siku nzima hadi wiki kama ilivyokuwa Mo29. Tushauriana vitu vya kudownload na machimbo yake.
  18. JamiiForums Tanzania Tangu internet izuiwe, baada ya kuruhusiwa mitandao inatupiga balaa sijui ni kwanini?

    Siku za nyuma hapo nimewahi kuunga vifurushi vya wiki mara nne kwa siku kama masihara vile. Nikicheki settings zangu ziko bomba nikipiga huduma kwa wateja wanang'ang'ana na hoja za kukariri tukaenda hivyo hivyo nadhani sijui kwajili nimewasumbia sana wakaacha ujinga wao (au niseme wakapunguza)...
  19. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni: Miundombinu ya Intaneti imilikiwe na serikali siyo Kampuni binafsi

    Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amesema kuwa miundombinu ya intaneti haipaswi kumilikiwa au kutawaliwa na kampuni binafsi, akisisitiza kuwa udhibiti wa serikali ni muhimu ili kuhakikisha gharama zinabaki kuwa nafuu kwa wananchi. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari...
  20. JamiiForums Tanzania Kulikuwa na tatizo la internet usiku wa kuamkia leo? Au mimi pekee ndiyo nimeona

    GT Majira ya sa tisa kama na nusu hivi Internet kama ilikata mpaka saa kumi na moja alfajiri Siyo Internet tu lakini hata simu zilikuwa hazitoki. Niliogopa na kufurahi kwa wakati mmoja nikahisi labda Bi kidude kaenda kusalimia malaika
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…