intelligence

  1. JamiiForums Tanzania Intelligence ya UKRAINE inaitesa Urusi, tangu kuanza kwa wiki hii Urusi alianza kuonekana na uhakika na ushindi wa Azovstal, kumbe kachezewa akili

    Kwakweli Urusi kashindwa vita asubuhi na mapema , Zelensky jana amesema sasa hivi hakuna vita itakayosimama hadi Russia aondolewe Ukraune au aondoke. Halafu ule mchezo wa pale Azovsta ulipangwa, wale wanajeshi wa Ukraine walijitolea muhanga na hivyo kuwa tayari kwa lolote. Lengo lilikuwa ni...
  2. JamiiForums Tanzania Intelligence ya UKRAINE katika Vita hii imekuwa nzuri na yenye Ufasaha kuzidi ya Urusi

    Nipo nasoma soma taarifa fulani na kuzufanyia analysis, nikakutana na taarifa ya huyu Gen. Oleg Mityaev huyu alikua ni General wa 4 wa Russia kuuawa vitani Ukraine. Kufa kwa mmoja au wawili ni hali kawaida vitani, lakini kufa kwa Generals 9 si jambo la kawaida. Ikumbukwe, Russia iliteua...
  3. JamiiForums Tanzania FID Q asilaumiwe, hana Verbal intelligence

    Kwema Wakuu Verbal intelligence -VI, ni ule uwezo wa mtu kuweza kupokea, kuchambua, kuchanganua, kutafsiri na kuelezea mambo Kwa lugha inayoeleweka. Uwezo wa kuitumia lugha vizuri. Nimeona watu wengi wakimshambulia Fid Q Kwa kile walichokiita ametia aibu na kuharibu Heshima yake aliyoiweka...
  4. JamiiForums Tanzania Anuani ya Tanzania Intelligence and Security Service (TISS), Nahitaji nitume barua

    Ndugu wanajamvi, msaada tafadhari anayefahamu anuani au barua pepe ya ofisi ya TISS, Nimepewa task ya kiofisi nitume barua ya kwenda ofisi TISS makao makuu Au ni njia gani nyingine naweza kuitumia kutuma barua au kuweza kufika ofisini kwao? Naombeni msaada tafadhali.
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya namba tatu Afrika kwenye utayari wa Artificial Intelligence, wabongo hawapo kwenye kumi bora, wenzetu jameni

    Haya madude ya kutumia ubongo huwa tunatusua balaa, tupo nyuma ya Afrika kusini na Mauritius pekee, wengine wote saizi yetu tumepitia juu kwa juu.... Hata Nigeria na Ghana tumetupa kuleeee. Watani ambao hukesha huku wakilia lia kuhusu Kenya naona hata kwenye kumi bora hawapo, wameshindwa hata na...
  6. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda U.S. hits Ugandan military intelligence chief with sanctions over 'egregious' abuses

    The U.S. Treasury Department on Tuesday imposed financial sanctions on Uganda's chief of military intelligence, Major General Abel Kandiho, over alleged human rights abuses committed under his watch. Uganda's military said it was disappointed by the decision and would seek clarification from...
  7. M

    JamiiForums Tanzania 7 Important reasons why Smart and intelligent people talk less

    Most smart people prefer to be quiet for the following reasons: 1. Most of them are generally introverted. The brightest people are generally introverted. a strong correlation between intelligence and introversion. This is not to say that the brightest people are always introverts or that...
  8. JamiiForums Tanzania Family intelligence; Utajuaje mchumba wako ni muaminifu kwenye mapato au Fedha?

    FAMILY INTELLIGENCE; UTAJUAJE MCHUMBA WAKO NI MWAMINIFU KATIKA MAPATO/FEDHA? Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Basi Mimi Taikon nikajiingiza katika Mkondo WA mapenzi. Nikasema Acha niyapime mambo yote yaliyomo huko, kisha nitoe Hesabu Kwa kadiri ya akili yangu ilivyo Kwa wakati huu ningali kijana...
  9. S

    JamiiForums Tanzania When schools were Schools

    It was when schools were Schools and education was Education, When education was real a key to life, And whoever got educated became successful. People were taught how to think, fitting their mind in any problem, Instead of being fixed on what to think and programmed into robots. Education...
  10. B

    JamiiForums Tanzania SoC01 Artificial Intelligence, Machine Learning and the Future of Automation

    When speaking of the modern-day technology world we cannot carve out Artificial Intelligence and Machine Learning. Some of you might have heard about this interesting and fascinating technology aspects but maybe we don’t really understand what capabilities come along with them. I want to talk...
  11. JamiiForums Tanzania Ifahamu OSINT - Open Source Intelligence na umuhimu wake kwa sekta binafsi Tanzania

    Kila siku zaidi ya tweets milioni 500 zinaandikwa na watu mtandaoni duniani ambazo ni sawa na tweet bilioni 200 kwa mwaka duniani. Ongeza na picha zinazokadiriwa kufika milioni 350 ambazo huwekwa facebook na watumiaji, jumlisha na zaidi ya masaa 720,000 ya maudhui ya video mpya zinazowekwa...
  12. JamiiForums Tanzania Revenue Intelligence Bureau (RIB) suluhisho la upotevu wa mapato ya Serikali

    Ila ana point kweli huyu mwamba, maana hv ndo tunaweza kuepukana na simcard tax za Mzee Mwigu. Kwa hio kajamaa kanamaanisha na sisi Tanzania tutakuwa na ka CIA ketu na ka FBI au sio? Ila sisi ni kwenye mambo ya hela. Sawa, nimekuelewa. === REVENUE INTELLIGENCE BUREAU (RIB) (Kumradhi Mama...
  13. JamiiForums Tanzania "Emotion Intelligence" ya Watanzania wengi ipo chini sana na sababu kuu zipo wazi kabisa

    1. Siasa ni ugonjwa na ukikomaa unakuwa kilema kisicho tibika wala kugusika. Mfano mzuri uvimbi uote nyuma ya kisogo halafu uunganike na "nerve system" hata uende wapi "operation yake ni ngumu sana maana kuna matatu hapo wakikufanyia upasuaji unaweza kupona, kupata kichaa au kufa kabisa. 2...
  14. JamiiForums Tanzania Fahamu artificial intelligence (AI) Afya, Pt 3.

    Habari Wana JF, Leo tutaendelea na mada yetu ya akili bandia upande wa afya. Tutaangazia nyanja mbalimbali za afya ambapo akili bandia AI hufaunya kazi na nini matazamio yake siku za mbeleni. Kama tulivyoona awali kwamba AI hutegemea maelfu ya data kukusanywa na kujazwa kwenye kifaa kama vile...
  15. JamiiForums Tanzania Fahamu artificial intelligence (AI) Part 2, Learning.

    Njia rahisi zaidi ya kuelewa uhusiano kati ya Akili bandia (AI), Machine Learning (ujifunzaji wa mashine), na Deep Learning (ujifunzaji wa kina) ni kama ifuatavyo. -Kujifunza kwa mashine (Machine Learning) ni sehemu ndogo ya programu ya AI ambayo hujifunza yenyewe. Inajifanya upya yenyewe...
  16. JamiiForums Tanzania Fahamu artificial intelligence (AI)

    Katika maisha yetu ya leo, kwa namna moja au nyingine tunatumia Artificial Intelligence- intellijensia ya kutengenezwa(Sijapata Kiswahili Fasaha, wana jamvi waweza saidia) kupitia vifaa vya kieletroniki kama simu, computer, luninga n.k. Artificial Intelligence (AI) ni nini? Mwaka 1956, mwana...
  17. JamiiForums Tanzania Kutumia C++ wakati wa course ya Artificial intelligence haifai tena, hebu walimu wa vyuo mnaohusika mbadilike

    Kwanini bado mnatumia C++ kwenye hii course? Naona bado na ninyi mnakuwa wazembe au labda vyuo husika vinawaforce kufanya hivyo, labda nipate maelekezo kidogo hapa. Maana naona PYTHON ndo imejaa vitu vingi muhimu vilivyopo kwenye hii course, but why mnadeal na algorithm pekee why not other...
  18. JamiiForums Tanzania Ukali na intelligence: Kipi kigezo bora anachopaswa kuwa nacho Kiongozi?

    Kwa nini Watanzania wanavutiwa na mtu mkali? Mara nyingi nimekuwa nikisikia watu wakimwagia sifa Kiongozi fulani kwa kuwa ni mkali, nimesikia watu wakisema kwa mfano ka Jafo kanafaa sana kuwa Rais kakali sana'', ukali unahusiana nini na Uongozi mzuri na makini wa nchi ? Vipi kuhusu intelligence...
  19. JamiiForums Tanzania Picha zifuatazo ni kwa watu intelligence tu

    Zifwatazo ni picha kwa ajili ya watu intelligence tu. Sija zielezea maana zinaeleweka 1 2 3 4. 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 Karibuni mwenye nyongeza N.B; kama aujaelewa uliza
  20. JamiiForums Tanzania Saddam Hussein, C.I.A & Italian Intelligence Service: Tuhuma za wizi wa Uranium Powder (Yellowcake) kutoka migodi ya kampuni za Ufaransa nchini Niger!

    Saddam Hussein, C.I.A & Italian Military Intelligence Service (SISMI): Tuhuma za wizi wa Uranium Powder (Yellowcake) kutoka migodi ya kampuni za Ufaransa nchini Niger! UTANGULIZI SEHEMU YA KWANZA =========== Nyaraka za kughushi za mkataba wa kuuziana madini ya uranium huko chini Niger hapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…