injili

  1. Kwenye Injili ya Utoto ya Thomas (Infancy Gospel of Thomas), hadithi hii isiyo kanoni inasimulia matukio matatu muhimu

    Laana na kifo cha rafiki Yesu akiwa na miaka mitano alicheza kando ya mto, akakusanya maji kwenye dimbwi na kutengeneza ndege za udongo. Mvulana mwingine alipougia dimbwi lake, Yesu alimlaani na mara moja mwili wa mvulana huyo ukaanguka na kwenda maji – alikuwa amekufa kwa papo hapo. Wikipedia...
  2. Kama ChatGPT inaweza kuhubiri Injili namna hii - basi ni kweli hizi ni siku za mwisho!

    Soma mpaka mwisho maongezi haya kati ya Interviewer na ChatGPT - utacheka, lakini pia utakubaliana nami kwamba hizi ni siku za mwisho. Injili inahubiriwa kwa kila njia, kwa mataifa yote, kama Yesu alivyotabiri(Mathayo 24:14) :) -------------- Swali: We chatGPT ni mbishi sana. Kila mahali, watu...
  3. PreGE2025 Mtoko wa Pasaka: Chama cha muziki wa injili Tanzania, idara ya wanawake badala ya kumsifu Mungu wanaimba “Mama Samia Kazi iendelee”

    Usiku wa mtoko wa pasaka matukio mengi yamefanyika kichawa sana :4WeirdJam: tulitegemea iwe sehemu ya kuusifu utukufu wa Mungu kwa kumtoa mwanaye wa pekee aliyetukomba kwa msalaba dhidi ya madhambi yetu lakini unasikia kwaya inamsifu Rais Samia na kuimba apewe mitano tena, hovyoo:AAAA::AAAA:
  4. Quran inakubali kuwa Injili ni kitabu cha Mungu na hapo ndio nakuwa na mashaka na Quran pia

    Ndugu waislam naamini humu wote mumesoma injili na mnayajua maisha ya issa yule mtoto wa mariamu, Kuzaliwa kwake kuishi kwake na kufa kwake,. Sasa huyu kijana ukimsoma maisha yake hakuna sehemu yeyote ile anakuwa kalibu na Mungu (allah), Labda injili ingekuwa kitabu cha ADAMU sawa, maana...
  5. Wasanii wa nyimbo za Injili acheni kumpigia Mungu kelele

    Naongea na nyinyi mnaojiita wasanii wa nyimbo za Injili (Gospel Artists), vikundi vya kwaya na bendi. Nyinyi mnaotunga na kuimba nyimbo za Injili, nyimbo za sifa na kuabudu lakini maisha yenu ni ya mchanganyo! Maisha ya uvuguvugu. Nyinyi mnaopenda kumwimbia Mungu lakini dhambi hamtaki kuziacha...
  6. J

    Uenezaji wa Injili

    Uenezaji wa Injili Injili ni Nini Neno injili limetokana na neno la Kigiriki “euaggelion” lenye maana ya Habari Njema. Hivyo, injili maana yake ni Habari Njema. Katika biblia, injili maana yake ni “Habari Njema za Yesu Kristo”. Habari yo yote inayomhusu Bwana Yesu Kristo, kuzaliwa kwake, kuishi...
  7. Mkutano wa injili wa Mwl C. Mwakasege leo mpaka tar 2 march uwanja wa mashujaa moshi karibuni live Upendo tv saa tisa mpaka saa 12

    WAPENDWA katika Bwana Nawakaribisha ktk mkutano WA injili utakaonenwa na Mwl C. mwakasege Kuanzia saa Tisa mpaka saa kumi na mbili jion Kuanzia Leo tar 26 Feb mpaka 2 march Itakuwa live upendo tv ..upendo FM...na you tube Karibuni sana tuongeze Imani ktk maisha yetu Kiingilio:BURE Mungu...
  8. M

    CHADEMA ya LISSU na HECHE ijizuie Mikutano yake kuwa mikutano ya kutangaza Injili

    Kuna jambo linafanyika katika mikutano ya CHADEMA ambalo kama CHADEMA haitolifanyia kazi litageuka msumari wa kisiasa kwa chama hicho. Ninatambua kuwa CHADEMA siku hizi imekuwa ikiweka viongozi wa dini mbele katika mikutano yao. Lakini kitendo cha kuleta wachungaji na kuanza kuhutubia...
  9. Kapu la Muhubiri injili likidondoshewa kitita cha million kumi (10,000,000)!

    Kwanza kabisa mimi ni muumini wa injili ya Yesu Kristo iletayo wokovu! Katika mishemishe zangu mara nyingi naungaunga na usafiri wa mwendo kasi katika moja ya stendi zenye watu wengi hapa Dar! Huwa nawaona, kuwasikiliza na kuchungulia kapu la sadaka na kuona wingi wa coins za 50, 100, 200, na...
  10. Baada ya tukio la kuchoma gari ni muda wa kurudi tena katika chati ya injili

    Dunia ina mengi sana tunaposema kuna watu wamevaa vilemba vya utumishi wa Mungu, kumbe ni njia ya shetani kuchukua nyota za watu. na asingechoma moto na kutubu, basi tusingemsikia tena yule mwimbaji aliyekamata kila kona ya Tanzania kwa nyimbo za kumtukuza Mungu. Bila shaka tutakusikia tena...
  11. Wajuzi wa Injili hii 7x70 kwa lugha yao iliandikwaje

  12. Kwanini waimbaji wa injili wa kike hawana ndoa

    Ndoa ni jambo la heri na dini imesisitiza kila aliye na umri wa kuwa katika ndoa basi awe na mwenza Ila 90% ya waimba injili japo ya kuwa wana ijua dini na wanaweza ombea amani katika ndoa ila wao hawana ndoa, kwanini 1. Rose Mhando hana ndoa 2. Martha Mwaipaja hana ndoa 3 Bahati Bukuku hana...
  13. Mama mzazi wa Martha Mwaipaja alia kwa uchungu, akithibitisha kuwa mwanae huyo hamsaidii kutokana na mzozo na mdogo wake Beatrice

    Mama mzazi wa Martha Mwaipaja amezungumza na kuthibitisha kuwa yale yaliyosemwa na mdogo wake, Beatrice Mwaipaja kuwa muimbaji huyo wa 'Hatufanani' hamsaidii. Akizungumza kwa uchungu kwenye mahojiano na Wemu Online TV, Mama huyo amesema alizaa watoto watatu wakiwemo Martha na Beatrice...
  14. Elshamah Washira mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Kenya anayetia mashaka kutokana na tabia zake

    Waimbaji wa nyimbo za Injili waendelea kuchafua tasnia ya nyimbo za Injili kwa kuharibikiwa kila kukicha hasa katika maswala ya ngono Tata Hivi karibuni tumesikia mwimbaji wa Injili Martha Mwaipaja katika sakata lake la kujihusisha na uchafu wa ngono tata zisizohusisha jinsia mbili tofauti kwa...
  15. Wokovu kwa ndugu zangu waislam

    Swali: Je, Uislamu unahakikishia wokovu wa mtu kwa hakika, au kuna kutokuwa na uhakika kuhusu hatima ya mwisho ya kila Mwislamu? Katika Uislamu, wokovu unategemea mizani ya matendo mema na mabaya (Sura Al-Zalzalah 99:7-8). Hata hivyo, hakuna Mwislamu anayehakikishiwa pepo, isipokuwa wale...
  16. R

    Hakuna Kiingilio!! Kichekesho na utapeli wa mialiko ya mikutano ya injili

    Utawasikia kwenye mialiko yao redioni, kwenye TV na vipeperushi watangaza mialiko uende kwenye makusanyiko yao wanasema hakuna kiingilio, kiingilio ni bure! Ukifika huko unahubiriwa habari za kutoa sadaka na madhara utakayopata kama hutoi! Unachotoa kinaingia kwenye mfuko wa mhubiri na mke/mume...
  17. Injili kwa ndugu zangu waislam

    Quran inasema injili na torati ni neno la Mungu na inakumbusha kuwa hakuna mwanadamu anawezakubadili neno la Mungu. Unaposema Bibliia iliaribiwa unakuwa kinyume na Quran, maana kwa mujibu wa Quran huwezi kuaribu neno la Mungu. Mungu aliumba mwanadamu kwa mfano wake, inaposema Mungu afanani na...
  18. Ombi la kupata Mixer na kipaza Sauti kwa ajili ya Injili

    Bwana YESU asifiwe wote humu' Nina ombi kama utaguswa kunisapot MUNGU na akukumbuke. Nina uhitaji wa powered mixer ya njia 6 tu na mic kwa ajili ya kuhubiria injili na kufanyia ibada kanisani. Nimeshapata Spika moja ila bado ivo apo kwa kuanzia. Nipo Dodoma, kwa hiyo kama utaguswa kunisapoti...
  19. Kikundi cha nyimbo za injili "Makoma"

    MAKOMA Makoma ilikuwa bendi ya muziki wa Injili kutoka nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Makoma wanaimba kwa Kilingala, Kiingereza na Kifaransa, na wakati mwingine Kiholanzi na Ujerumani. Makoma iliundwa na: Nathalie Makoma Annie Makoma Pengani Makoma Tutala Makoma Duma Makoma Martin...
  20. ''Mchepuko'' ulivyotaka kuharibu shughuli ya msiba wa muimbaji wa nyimbo za injili Marco wa Zabron Singers

    Kuna wanawake ni nusu watu nusu hayawani. Takriban wiki moja iliyopita muimbaji wa nyimbo za injili Marco Zabron wa kundi la Zabron Singers alifariki jijini Dar es salaam. Mapema wiki hii shughuli ya mazishi ikawa inafanyika huko Kahama mkoani Shinyanga kwao na marehemu. Marehemu alikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…