Kwanini waimbaji wa injili wa kike hawana ndoa

Kwanini waimbaji wa injili wa kike hawana ndoa

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,812
Reaction score
39,581
Ndoa ni jambo la heri na dini imesisitiza kila aliye na umri wa kuwa katika ndoa basi awe na mwenza

Ila 90% ya waimba injili japo ya kuwa wana ijua dini na wanaweza ombea amani katika ndoa ila wao hawana ndoa, kwanini

1. Rose Mhando hana ndoa

2. Martha Mwaipaja hana ndoa

3 Bahati Bukuku hana ndoa

4 Jennifer Mgendi hana ndoa

5. Frola Mbasha hana ndoa

6 Joyce Omondi kutoka Kenya hana ndoa

7 Mercy Masika wa Kenya hana ndoa

8. Christina Shusho hana ndoa

9. Upendo Nkone hana ndoa

10 Rebecca Malope wa south Africa hana ndoa

Hii ni mfano ila ni wengi mno hii taasisi ya ndoa imewashinda
 
Nini maana yako ya hawana ndoa .... Nani ambaye haijawahi kuolewa hapo!!? .... Ni umalaya tu baada ya kupata umaarufu.
 
Asilimia kubwa ya wanawake wajishajipata kiuchumi hawana habari ya ndoa.
Ijulikane ndoa inanafasi yake na uchumi unanafasi yake mkuu,, hivi kuna watu ni masikini kabisa lkn wameoana na ndoa zao zinamda mrefu tu,wajua Hilo?,,uendekezaji wa pesa na mambo ya dunia,unawapeleka kwenye uzinzi mkubwa na maangamizi.
 
Back
Top Bottom