Watanzania 2 wakamatwa na kilo 15.6 za Heroin nchini India

hesabu900

Member
Apr 18, 2017
79
125
Watanzania wawili wamekamatwa na zaidi ya kilo 15 za heroin katika uwanja wa ndege mjini Chennai nchini India.

Watanzania hao (Mwanamume na mwanamke) waliofika Chennai kwa ndege ya Qatar Airways 528 kutoka Johannesburg kupitia Doha, kwani hawakupata ndege ya moja kwa moja kwenda Bengaluru.

Mwanamke alikuwa akisafiri kwenda India kwa matibabu huko Bengaluru na alikuwa akifuatana na muhudumu wake wa kiume, kwa visa ambayo ilitolewa kulingana na mawasiliano kutoka hospitali ya Bengaluru.

Heroin iliyokamatwa ilikuwa imefichwa kwenye pakiti yenye viungo ilinyunyizwa ili kuficha harufu.

Mamlaka zimesema kiasi hicho ni kubwa zaidi iliyofanywa na Forodha katika nyakati za hivi karibuni katika eneo hilo.

========

In one of the biggest seizure of narcotics at Chennai International Airport, 15.6 kg of Heroin has been seized from two Tanzanians Nationals on Friday.

A Tanzanian man and woman arrived in Chennai on Qatar Airways flight 528 from Johannesburg via Doha, as they did not find a direct flight to Bengaluru. The woman was travelling to India for treatment in Bengaluru and was accompanied by her male attendant, on a visa that was granted based on communication from the Bengaluru hospital.

Air Customs officials at the Chennai International Airport who maintained a high vigil, based on Directorate of Revenue Intelligence (DRI) information regarding narcotics smuggling from African countries, intercepted the duo.

Senior officials said that the duo appeared nervous and gave evasive replies on being questioned, following which their baggage was examined.

According to officials, even when the clothes and personal belongings were emptied, the empty suitcases were noticed to be very heavy. That's when the suitcases were examined thoroughly and plastic packets were found concealed beneath the trolley rods, pasted neatly to the shell of the suitcase. In this case, they had smeared some spicy powders to also hoodwink the dog squads and make it all the more difficult to detect.

Five plastic packets were recovered from each trolley suitcase. On testing, 15.6 kg of white coarse powder suspected to be Heroin valued at Rs. 100 crores was recovered and seized under The NDPS Act 1985, read with Customs Act.

Microsoft and partners may be compensated if you purchase something through recommended links in this article.

202105080605481574_One-of-the-biggest-hauls-2-Tanzanians-arrested-with-156-kg_SECVPF.jpg
 

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
17,668
2,000
Hao waarabu ndo wachina kumbe!
Na hapo alieleta hii habari ni mtanzania wacha tukamatwe tu..🤣
 

JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
3,613
2,000

Capt Tamar

JF-Expert Member
Dec 15, 2011
10,640
2,000
Hao waarabu ndo wachina kumbe!
Na hapo alieleta hii habari ni mtanzania wacha tukamatwe tu..
Ni wahindi mkuu,wa Tamil nadu upande wa mashariki mwa india,hawa wabengal (eastern)na malungi(southerners) wanadharauliwa na wahindi wengine,kisa ni weusi weusi!! Kha
 

Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
6,619
2,000
Habari ndio hiyo. Tupige vita nchi yetu kufanywa njia ya madawa ya kulevya View attachment 1780308 View attachment 1780309 View attachment 1780310
Me huwa nasikitishwa sana kusikia habari mbaya za vitendo vya hatari vinavyofanywa makusudi na vijana.

Hapo hakuna cha mgonjwa wala mhudumu, igizo lao lime abort!

Walikuwa wamejipanga kweli, mke mgonjwa, mume ndiyo msindikizaji, sasa nesi mbona hawakumpanga katika listi ya msafara wa kusindikiza mgonjwa?

Kwa sheria za China zilivyo, 'waandike maumivu' na familia zao ziwazike kwenye 'kaburi la sahau'.

Ni heri wangelikamatiwa India walikozugia kwenda matibabu, ambako sheria zao kuhusu 'madawa' zina mapengo na meno ya kuoza.
 

Ravalomanana

JF-Expert Member
Sep 8, 2018
763
1,000
Me huwa nasikitishwa sana kusikia habari mbaya za vitendo vya hatari vinavyofanywa makusudi na vijana.

Hapo hakuna cha mgonjwa wala mhudumu, igizo lao lime abort!

Walikuwa wamejipanga kweli, mke mgonjwa, mume ndiyo msindikizaji, sasa nesi mbona hawakumpanga katika listi ya msafara wa kusindikiza mgonjwa?

Kwa sheria za China zilivyo, 'waandike maumivu' na familia zao ziwazike kwenye 'kaburi la sahau'.

Ni heri wangelikamatiwa India walikozugia kwenda matibabu, ambako sheria zao kuhusu 'madawa' zina mapengo na meno ya kuoza.
Hapo ni india sio China
 

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
7,746
2,000
Siku hizi kilo mingi mingi tu. Hakuna tena za gramu 100.

Zamani nilikua nasikia wanoasafirisha poda wanabeba kwa kumeza pills lakini siku hizi naona wanavuta mabegi kabisa. Maana kilo 15 ni mzigo wa kutosha kabisa
 

Bajaji dodoma

Member
May 8, 2021
31
125
Mnawaponda wakati watu wanatafuta mkwanja mwisho was siku waje wawape story zao za kujilipua humu jf na mnawapa likes... Ajali kazini tu hiyo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom