inauzwa

  1. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Tshirt hii ya Yanga inauzwa 85,000/= ina ubora mzuri

    Tshirt hii alivaa GSM siku ya mwananchi. Ikawa gumzo, mtaani wakasema ni bei. Jamaa yangu kaenda kuinunua kauziwa 85,000 na risiti halali ya EFD kapewa. Mambo mazuri yanahitaji pesa!
  2. E

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba zinauzwa maeneo mbalimbali

    Nyumba inauzwa kibaha maili moja loliondo Ina Vyumba 2 kimoja master Jiko,public toilet, sebule Umeme upo,eneo lina 20 kwa 20 Umiliki Mkataba wa Mauziano ya serikali za Mtaa Nimailimoja loliondo pikipiki sh. 2000 Bei mln 19 maongezi yapo kidogo 0675 065906
  3. JOH CARLOS

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale iphone X inauzwa Dar es salaam goba

    habari, nauza simu yangu ,iphone x yenye specs zifuatazo 64gb camera kali sana battery health 77 true tome ipo officiall iphone
  4. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Exercise bike / baiskeli ya mazoezi inauzwa laki 2. Wapenda gym na wenye wazee wa mazoez karibuni

    Habari. Nauza baiskeli ya mazoez. Baiskeli ni used sio brand new. Haina tatizo lolote Bei laki 2 tu. ( fixed price)
  5. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania House4Sale City Center: 4th Floor 3 Bdrm Apartment Inauzwa - Dar

    • Direction: Kisutu • Document: hati • Price: TZS milioni 200 . ✓ ni ghorofa ya 4 ✓ ina lift ✓ inauzwa bila samani (unfurnished) ✓ vyumba master 1 & kawaida 2; public washroom; sebule; jiko lenye makabati; balkoni ✓ feni za juu; maji moto bafuni; madirisha vioo ✓ wafanya usafi nje na ngazi ✓...
  6. Biashara2000

    JamiiForums Tanzania Mota ya kusaga mahindi inauzwa

    Habari Mota ya kuzungusha machine ya kusaga mahindi inauzwa. Mota hii ipo kibaha mkpa wa pwani. Ina Hz 50. Bei sh 1..8m. Anayehitaji karibu. 0758308193
  7. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa kibaha mwenda pole

    Nyumba inauzwa ipo kibaha mwenda pole. Si mbali na barabara kuu iendayo dar es salaam. Ina vyumba 3 master 2 single Moja Ina sitting room dining room jiko store umeme maji mabanda ya kuku ya kisasa Ina tiles na madirisha ya aluminum. Ukubwa wa eneo ni hatua 20 Kwa 60. Bei ni sh milioni 80 Tu...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Howo tipper 371 used inauzwa

    Howo tipper 371 used inauzwa, ni used kutoka China ina Hali Nzuri Sana, Karibu ofisini kwetu Kurasini opposite na diplomatic college, Pia utapata offer ya kufanyiwa service ya truck Kwa mwaka mmoja Karibu sana. Price: million 127.5 ☎️0715 128 827
  9. Yimakatso

    JamiiForums Tanzania Samsung Note 9 Inauzwa

    Habari wakuu. Samsung note 9 ipo sokoni ila ina shida ya kioo kinahitaji kubadilishwa. Storage 128GB Ram 6GB Bado ipo kwenye clean condition ukiacha kioo tu. Bei ya kubadilisha kioo ni 170k Bei 90,000 0757 444 844.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Vitz old model inauzwa bei mil 2

    Vitz old model inauzwa 1. Milango 5 2. Cc990 3. 1SZ FE engine 4. Haina deni, bima imelipwa 5. Engine ina kipengele, inarekebishika au inafaa kwa mswaki. Mimi nna gari nyingine 6. Bodi zima. Picha imewekwa apo, for serious business nicheki inbox
  11. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania GHOROFA INAUZWA BEI MIL 750

    IPO KINYEREZI KIBAGA KWA WASHUA GHOROFA NI YA VYUMBA V4 SEBULE JIKO DINNING PUBLIC TOILET, STOO NJE IPO BOY COTER VYUMBA V2 NA CHOO BEI MIL 750 TITTLE DEED MKONONI ENEO SQM 1200 KARIBU SANA MTEJA KARIBU KINYEREZI MKUU UISHI NA MABOSI 0625034172 0755518791
  12. maurice99

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

    Nyumba ipo Kange Mkurumuzi *Rooms 3 (Viwili master) *Sebule *Dinning *public toilet *Umeme *Maji Sqm 603 Price Milioni 39 (mazungumzo yapo) Call 0679991114 / whatsapp 0763316426
  13. Putin2024

    JamiiForums Tanzania KERO Wajawazito zahanati ya Mbinga wadaiwa kutozwa Tsh. 500 ya mlinzi

    Mnamo tarehe 29 Aprili nilifika katika zahanati hiyo iliyopo Halmashauri ya Mbinga Kata ya Lusonga nikashangaa kuona wanawake wajawazito wanatozwa Tsh 500 wakidai wahudumu wa pale wakidai kwa ajili ya kumlipa mlinzi. Kama hakitoshi Kadi ya mama mjamzito inauzwa Tsh elfu 2,000 na wakichelewa...
  14. W

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba (lodge) inauzwa Kitunda Dar es salaam

    NYUMBA INAUZWA (LODGE) Loc: Kitunda Matembele ya Kwanza(DSM) Bei/Price: Millioni 95,000,000/=TZS (Maongezi Yapo) Nyumba Ina Vyumba vitano Vyote Master, na chumba cha nje cha mfanyakazi, public toilet, parking & fance. ✅Document: Hati Miliki Ipo Contact 📲 0748270719
  15. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Mikocheni: 5th Plot off Mwai Kibaki Road Inauzwa - Dar

    • Direction: Chama • Survey: skwata • Plot Area: Mita za mraba (sqm) 1,200 • Document: Leseni ya Makazi • Price: TZS milioni 350 . ✓ eneo linachipukia ujenzi wa majengo ya kisasa kama: kanisa apartments, hospitali, kituo cha mafuta, nyumba (standalone), n.k . Call/Watsap: 0767 15 77 88 . In real...
  16. Satoh Hirosh

    JamiiForums Tanzania Harrier inauzwa milioni 14

    Year :2004 Engine:2995 CC Fuel used:petrol Colour:Black Price:Milioni 14.
  17. Hazard CFC

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale REDMI 13C inauzwa 200K

    redmi 13C inauzwa bado imenyooka, gb 128, ram 6, imetumika miezi miwili,njoo nikupe risit na box lake. Bei 200k 0746407747 dar.
  18. Flexi lady

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Chanika

    Nyumba iko Chanika, Talian. Ina vyumba vitatu tayari vimesimama, sebule na dining bado. Msingi umeinuliwa wote. Karibu bei ni kitongq inaanzia milion 10 tu. Mwenyewe anarudisha gharama tu za ujenzi ana shida.
  19. B

    JamiiForums Tanzania Hostel ya vyumba 12 inauzwa tanga mjini million 55

    Hostel ya vyumba 12 ndani ya kiwanja cha sqm 412 inauzwa million 55 hostel ipo kange kasera karibu na chuo cha utumishi tanga. Kwa mawasiliano 0612630936 Attachments
  20. Jephta2003

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung A90 inauzwa

    Nakaa Dar nauza simu Samsung A90 ina Ram 6gb,Rom 128gb,Battery 5000ma kwa Tsh 350,000/ Nicheck kwa 0693141058
Back
Top Bottom