Habari za majukumu.
Nauza AC ni nzima kabisa unakuja kukagua ikiwa haijafunguliwa ukiridhika unalipia unafungua unabeba
Nauza sababu nahama napoishi na baadhi ya vitu sitakuwa na uhitaji navyo tena,
Pia nauza na Mziki Kwa ajili ya matumizi ya sherehe mbali mbali na matamasha
Napatikana...
Habari wadau,,,,ninauza canter ya tani nne kwa bei nafuu, imetembea km 48500 tu, na bodi lake Lina urefu wa mita 4,,,,,,kwa maelezo zaidi piga namba 0783696253,,,ninapatikana dar es salaam
Habari za mida,
Nyumba kubwa inauzwa ipo Buguruni - Rozana, Ni nyumba ya vyumba vitano ndani na nje kuna vyumba vinne ambavyo vitatu ni single na kimoja ni double room na kwa nje nyuma ya nyumba pia kuna eneo la kuweza kutoa vyumba vitatu single.
Nyumba ipo Buguruni mtaa wa Azimio karibu...
Machine ya kukoroga sabuni za Maji inauzwa. Ina uwezo wa kukoroha Lita 200 kila dk,15 bei ni sh million 5 tu. Sema nami namba hizo: 0784692584: 0715888376 welcome.
Nyumba ipo Mbezi Mwisho mtaa wa Msakuzi ipo karibu na barabara/Kituo cha Daladala. Nyumba hiyo ina vyumba vitatu.
Price: TZS 26,000,000 (mwenye nyumba ana shida ya haraka kwahiyo kashusha bei)
.Documents serikali ya mtaa lakini wapo kwenye hatua za upimaji
• kiwanja kina ukubwa wa eneo 35...
Nyumba ipo mbezi mwisho mtaa wa msakuzi ipo karibu na barabara/kituo cha daladala
Price: TZS 26,000,000 ( mwenye nyumba ana shida ya haraka kwa iyo kashusha bei)
.Documents serikali ya mtaa lakini wapo kwenye hatua za upimaji
• kiwanja kina ukubwa wa eneo 35 kwa 20 • maji na umeme vipo
...
Imetumika wiki Mbili tu.
Core i5 3rd Generation
500GB HDD
4GB RAM
3.3GHZ Peocessor
Gaharma 380000
Location Ubungo Riverside.
Mawasiliano 0757497175
Iko na Monitor 22 inch kubwa na nzuri kabisa kwa matumizi yako.
Sehemu: Magomeni Kagera (kinatazamana na Morogoro Rd)
Ukubwa: 347 sqm
Bei: Milioni mia moja na kumi tu (110,000,000) tu
Kina Leseni ya Makazi
Contact: 0655888268
Camera Nikon 3200 + battery + Charger + lense ya 18-55mm
Inauzwa bei cheap
Tsh 600,000 Tu.
Haina Tatizo lolote imetumiwa miezi 8
Inashoot Full HD video na picha
Tupo Mbezi beach , Dar
Mawasiliano 0767267664
2:International storage : 1tb( 1,000)
3: Model : Hp
4:Color : Gray
5: Mideum width.
6: With webcam
7: Inakaa na charge zaidi ya 2hrs.
8:Angalia picha iliyoambatanishwa.
Inapatikana Arusha -Tengeru (kama upo nje ya Arusha, tutafanya utaratibu wa kukutumia)
Mawasiliano....0784355775
KIWANJA KINAUZWA
KINANYUMBA NDOGO PEMBENI VYUMBA VIWILI
MAHALI
SOWETO MOSHI
UKUBWA
SQM10" 000
KINA DOCS ZOTE HALALI ZA WIZARA
BEI
MILIONI 65
CONT 0713458722/ 0688552275
Inauzwa: Nyumba kubwa ya kuishi, iko kwenye kiwanja kikubwa cha square meters 2,539 (surveyed area)
Mahali ilipo: Wilaya ya Ilemela, Busweru, Mwanza (Kilomita 2 kutoka ofisi za halmashauri ya Ilemela)
Vilivyomo:
vyumba vinne vya kulala, (master bedroom 1 na vyumba vitatu)
Sitting & Dining...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.