inauzwa

  1. Jay_255

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Gaming pc inauzwa ni machine haswaa

    SOLD
  2. A

    JamiiForums Tanzania Hisense smart Tv inch 40 inauzwa

    Nauza Tv ya Hisense Smart Tv inch 40 kwa 500,000. Nakupa na Box lake kabisa. HAINA TATIZO LOLOTE. Napatikana Dar es Salaam.
  3. Wakuperuzi

    JamiiForums Tanzania Tcl android tv inauzwa

    Nauza tcl android tv inch 43 mali safi Napatikana Banana
  4. ngoja ngoja

    JamiiForums Tanzania TAA YA CROWN ATHLETE INAUZWA!!!

    Rejea kichwa cha habari hapo juu. Jana pasipo bahati maeneo ya posta clock tower mtaa wa indira gandi nimeigonga crown Athlete upande wa kulia taa ya nyuma. nilikua nina canter na gari imepaki karibu na kona hivyo tairi ya nyuma ikaigonga lensi ya taa hiyo wakati nakata kona. Taa ni nzima na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa milion 37 ipo kwa jeshi

    Anayetaka anicheki inbox
  6. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale House4Sale Nyumba yenye kiwanja kikubwa inauzwa Tegeta

    Nyumba yenye kiwanja kikubwa inauzwa Tegeta kama ifuatavyo; 1. Nyumba in vyumba vitano Vitatu vipo juu, kimoja ni master na viwili vipo chini na public toilet, sitting, kitchen and dining. Ipo mita 100 toka barabara ya Bagamoyo. 2. Kiwanja ni 4303 sq meter 3. Ina hati miliki. 4. Bei 900m...
  7. Princep

    JamiiForums Tanzania NYUMBA AMBAYO BADO HAIJAISHA INAUZWA

    .
  8. B

    JamiiForums Tanzania Laptop inauzwa dar es salaam

    Habari Laptop kali sana hii ni mpya kabisa,inakaa na charger siku 2 kutegemeana na matumizi yako, hii inafaa kwa wale wa video production,graphic,music production na ma engineer woe wa mijengo Specification zake hizi hapa Processor:- 12th gen intel (R)core (TM) i7-1255u 1.70 ghz Ram:- 8.00 GB...
  9. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Mzungu ameshangaa kwanini Azam energy inauzwa hadharani

    https://www.facebook.com/100003279171374/posts/8187447298041161/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
  10. L

    JamiiForums Tanzania NYUMBA YA KISASA GOROFA MOJA INAUZWA KWA BEI NAFUU

    NYUMBA YA KISASA(HEKALU) INAUZWA. Location : Goba TAARIFA ZA NYUMBA 1) GOROFA YA JUU --- V.I.P Masterbedroom yenye ukubwa wa 30sqm na imezungukwa na balcon upande wa kulia, kushoto na upande wa kichwa. ---GYM yenye CHUMBA na CHOO ndani yake.Ukiwa unatoka nje ya Gym kuna balcon nyingine...
  11. L

    JamiiForums Tanzania NISSAN JOURNEY INAUZWA KWA BEI NAFUU MNOOOO (11,350,000/=)

    HABARI JAMII FORUM --Gari aina ya Isuzu Journey inauzwa na Benki kwa njia ya Mnada. --Sababu ya kuuza ni, mdaiwa ameshindwa kurudisha mkopo katika muda aliopangiwa hivyo mali zake zimekamatwa zinauzwa kufidia deni. -MAWASILIANO: 0679781081 (Simu/sms), 0784379396 ( Whatsaap only) -Email...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Office inauzwa ipo kwenye location nzuri

    Library ya movies za kutafsiriwa na zisizotafsiriwa inauzwa ipo mabibo NIT chuo cha usafirishaji, library ipo barabarani kabisa, unaweza kukaa mwenyewe au unatafuta kijana ukamuweka kuingiza 30,000 mpaka 45,000 kwa siku ni jambo la kawaida mnoo, office ni banda la mbao nzuri ujihitaji nitafute...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Hekari 1.5 inauzwa Kiluvya Gogoni

    Hekari 1.5 inauzwa kiluvya gogoni milion 250 ipo mita 400 kutoka lami Morogoro road ■Huduma zote za kijamii zipo kama umeme na maji ■Kuna kiwanda cha tofari kinafanya kazi hapo ■Hati ya mauziano ni hati ya wizara title deed ■Panafaa kwa apartment nyumba za kupangisha au lodge na hotel 0675...
  14. ZVI ZAMIR

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mashine ya kusaga na kukoboa mahindi inauzwa

    Mashine imeuzwa
  15. BATULUNGE

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa ipo Madale Kwa Kawawa

    Nyumba inauzwa ipo madale mil 70, Kwa Kawawa, Ipo umbali wa km 1 kutoka barabara lami, Kiwanja kina Sam 650 na kimeshawekwa bikoni, Nyumba ina vyumba 3 vya kulala 1 master na public toilet 1, sitting room1, dining room 1 na jiko 1 0656077998
  16. BATULUNGE

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Goba

    Nyumba ipo umbali wa km 1 kutokea Goba centre, ina kiwanja chenye ukubwa wa sqm 462, nyumba ina vyumba 3 vya kulala, sebule 1, dining jiko stoo na vyoo 2 0656077998 Inauzwa 90mil
  17. Big Fat Lady

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Fridge inauzwa (imetumika kidogo)

    SOLD
  18. 0

    JamiiForums Tanzania CPU Inauzwa Dell Omniplex 780

    Natumaini mko poa. Mimi nauza CPU yenye jina Dell Omniplex 780 Intel cup duo 3.06 GHZ, 6.0 GB RAM na HDD 210. Hii ilikuwa inatumika ofisini Bei sh 150,000 Imerumika miezi kadhaa tu Piga hii namba 0769308197. Hii alikuwa anatumia mume wangu. Ameniambia nimsaidia kuuza kwa niaba yake. Hizi...
  19. jijiletushop

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari inauzwa Nissan Patrol

    Nissan patrol Engine D 45 Ac Available Fully working Halogen Lights Tsh 16,000,000 haina shida yyte Maongezi yapo🙏 0774446553 Location Arusha
  20. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kibamba: Shule ya Msingi Inauzwa - Dar

    • Ipo Kibamba Mwisho • Ukubwa wa eneo ni ekari 4 • Ina hati miliki • Imesajiliwa • Inauzwa TZS bilioni 1.2 . ✓ darasa 1-7 ✓ inatoa huduma ✓ ni ya kutwa ✓ ina maabara na jengo la ofisi ✓ ina kiwanja cha michezo ✓ eneo kubwa limebaki linaweza kutumika kwa maendeleo mengine . • In Real...
Back
Top Bottom