inapatikana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuchua maumivu kwa jina la Salimia. Je, bado ipo na inapatikana kwenye maduka ya dawa ya Tanzania?

    Wakuu habari za asubuhi kwetu sote, kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kufahamu juu ya uwepo wa dawa ya Kuchua Maumivu ya SALIMIA kama bado ipo na upatikanaji wake kwenye Maduka ya Dawa ya Tanzania hasa pharmacy kubwa na ndogo za mikoani. Ni hivyo tu shukrani Wadiz
  2. P

    JamiiForums Tanzania Hiki kibaiskeli kinapatikana wapi?

    Wadau naomba kujua hiki kibaiskeli au kipikipiki au kimwendo kasi hata sijui kinaitwaje ila nadhan kinafahamika machoni mwetu si kigeni kiviile. Naomba kujua kwa hapa bongo kinauzwa wapi na bei yake ikoje either kiwe used au kipya
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hii dawa ya kupunguza uzito inapatikana Tanzania?

    Mwaka 2017 FDA ya Marekani iliipitisha dawa ya Ozempic kuwa dawa ya kutibu kisukari. Baadaye ikaonekana dawa hiyo inasababisha madhara ya kupunguza uzito. Walichofanya ni kuiongezea nguvu na kutokeza dawa ya kupunguza uzito iitwayo Wegovy. Dawa hii imesajiliwa na kupatikana Tz? Gharama zake...
  4. sungura69

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua hii dawa ina matumizi gani na inapatikana maduka ya madawa Tanzania kwa bei gani?

  5. Amaniwood

    JamiiForums Tanzania Mbegu bora ya samaki ni ipi na je inapatikana wapi?

    Habari wadau wa ufugaji. Kumekuwa na changamoto ya upatikanaji wa mbegu bora ya samaki. Zilizopo nizile ambazo hazikui sana kufikia kiasi cha Sato mkubwa, asilimia kubwa zinakuwa kama perege. Je ni wapi au ni namna gani mfugaji anaweza akawa au akapata mbegu bora ya samaki aina ya Sato inayokuwa...
  6. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Fremu ya biashara Moshi mjini inapatikana

    Habari wandugu, Nina fremu ya kupangisha moshi mjini. Fremu ni kubwa na ni nzuri kwa biashara ya aina yoyote ile na ipo katikati ya mji wetu huu wa moshi Mji tulivuuu kabisa. Usio na shida yoyote ile zaidi ya fursa za kiuchumi inayochanganyika na fursa za utalii.. FREMU IPO KARIBU NA...
  7. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Mbegu bora ya mihogo inapatikana wapi Kanda ya Ziwa?

    Inayohitajika ni ya miezi sita na ya mwaka mmoja. Wakulima wengi wa huku wanaotesha ya miaka miwili. Ni wapi inapatikana ya kisasa, inayoweza kukomaa ndani ya kipindi cha miezi sita na mwaka mmoja? Mashamba ya kuoteshea yapo mkoani Geita na Kakonko mkoani Kigoma.
  8. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Mbegu ya mipapai ya kisasa inapatikana wapi?

    Ninataka mbegu na siyo miche. Mwaka huu nilinunua zaidi ya miche 50 lakini baada ya kuanza kuchanua maua, nimebaini mingi ni midume. Nimeamua kutafuta mbegu nisie mwenyewe. Ni wapi ninakoweza kuipata? Nipo Geita.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Pombe ya Warangi (Udo), wapi inapatikana mikoani?

    Nimeimiss sana hii pombe ya kabila la Warangi inaitwa Udo. Inatengenezwa kwa mtama. Wapi inapatikana mikoa ya jirani kama Arusha na Manyara??
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mitumba inapatikana wapi hapa Kahama?

    Habari za mchana wadau wa jukwaa hili. Nimeingia kahama kwa lengo la kuishi hapa baada ya kutoka Arusha. Nataka kufanya kazi ya mitumba (pointa). Natamani sana sana kujua soko kuu la mitumba lipo wapi hapa Kahama ? Asanteni!
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Miti ya Oak(Mialoni kwa kiswahili) inapatikana wapi kwa Tanzania?

    Habari wakuu. Eti hiyo miti inapatikana Tanzania? Sehemu gani?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Gymnema inapatikana maeneo gani hapa Tanzania?

    Nimekuwa nagundua vitu vizuri lakini mara nyingi sijui kama vipo TZ. Je haya majani unayajua? Yanaitwaje kwa kiswahili? Je yapo TZ. Naomba usiongee kwa kubahatisha ningependa kupata majibu ya uhakika === Gymnema (Gymnema sylvestre) is a plant native to India and Africa with a history of use in...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania CCM yaridhia Katiba Mpya, kwamba ni takwa la Wananchi, je itaafikiwa na Wananchi?

    Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekubaliana na umuhimu wa kupatikana katiba mpya kwa kuzingatia mazingira ya sasa hivyo kimeishauri Serikali kuona namna bora ya kufufua, kukwamua na kukamilisha mchakato wake kwa maslahi mapana ya Taifa na Watanzania wote. ==== 1...
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tanzania sasa kuna separation of power tukiitumia vizuri katiba inapatikana

    Tanzania sasa kuna separation of power tukiitumia vizuri katiba inapatikana
  15. Boutafrica

    JamiiForums Tanzania Sufi/sufu inapatikana kwa wingi mkoa gani?

    Kuna Rafiki yangu flan amenipigia simu kutoka Botswana anahitaji Sufi au sufu lile zao linalofanana na pamba. Kiufupi ameniambia anahitaji tone 60 kwa awamu hii ya kwanza then awamu ya pili atahitaji tone 140 december mwaka huu. Tone 1 anainunua kwa Tshs 600,000 na haijalishi upo mkoa gani...
  16. Reginald L. Ishala

    JamiiForums Tanzania Ofisi za Zantel zinapatikana wapi Mwanza?

    Mwenye kufahamu ofisi za Zantel kwa hapa Mwanza anifahamishe. Kabla ya kuhamishwa zamani ilikuwa pale mataa mkabala na jengo la BOT. Nina Modem nahitaji wanipatie huduma fulani. Lakini pia nahitaji wanipatie special number. Natanguliza shukrani wakuu.
  17. T

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuku mpya tatu kwa moja inapatikana wapi kwa Mbagala, Kariakoo na Buguruni

    Wadau Habari zenu. Kuna dawa kuku mpya nilisikia muda kidogo ikitangazwa kwenye redio jina sikumbuki vizuri maana nilisikia kwa mbali tatu kwa moja yaani inakuwa na newcaster na mchanganyiko wa dawa zingine mbili na kufanya kuwa mchanganyiko wa dawa tatu kwa pamoja sasa swali langu kwa kisiwa...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Anayejua anisaidie namna ya kudhibiti Sisimizi

    Habari wana JF! Katika nyumba yangu kuna tatizo la sisimizi. Hivi sasa imekuwa ni kero mtindo mmoja. Kwa yeyote anayefahamu, naomba anijuze nitumie dawa gani ili wadudu hawa wapotee kabisa ndani ya nyumba yangu.
  19. The Assassin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Google phone app sasa inapatikana kwa simu karibu zote za Android

    Call app bora kabisa ya kwenye simu ya Google Phone App sasa inapatikana kwa karibu simu zote za Android kwenye Google Play Store kwa ajili ya kupakuliwa. Hii Google Phone App ilikua maalum na mahususi kwa ajili ya simu za Google, Pixel ila sasa inaweza kutumika kwa simu nyingine za Android...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya hisa Tanzania, faida inapatikana?

    Nimeshawishiwa ni wekeze kwenye hisa, naambiwa hii ndio future. Wale mliowekeza huko, future mmeisha iona? Je, ni mahala sahihi kuwekeza?
Back
Top Bottom