IST ya bei nafuu inahitajika

Bexb

JF-Expert Member
Oct 24, 2016
655
1,390
Habari wakuu, inahitajika gari aina ya Toyota IST iliyo katika hali nzuri na tayari kwa kazi.
🐒Iwe Dar au jirani na Dar
🐒Isiwe imerudiwa rangi au kufunguliwa engine
🐒BEI ISIZIDI 7M
🐒Nitapenda niuziwe na mwenye gari, iwapo utakua ni dalali basi hakikisha umemalizana na boss wako na uwe unaijua gari sio kampa kampa tena.

Nitumie picha na location ya gari ilipo kwa WHATSAPP 0755963775
 
Habari wakuu, inahitajika gari aina ya Toyota IST iliyo katika hali nzuri na tayari kwa kazi.
Iwe Dar au jirani na Dar
Isiwe imerudiwa rangi au kufunguliwa engine
BEI ISIZIDI 7M
Nitapenda niuziwe na mwenye gari, iwapo utakua ni dalali basi hakikisha umemalizana na boss wako na uwe unaijua gari sio kampa kampa tena.

Nitumie picha na location ya gari ilipo kwa WHATSAPP 0755963775

Kila la heri japo si rahisi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom