Imani Hakim (born August 12, 1993) is an American actress. She is best known for her role as Tonya Rock on the UPN/CW sitcom Everybody Hates Chris as well as portraying Olympic gold medalist Gabrielle Douglas in the 2014 Lifetime original movie The Gabby Douglas Story.
Huyu mwakilishi wa UN sina Imani kutokana na UN ilivyosasa ni kama kikundi fulani cha wahuni na wahuni wanaweza kukitumia pia kuwalizisha wananchi wa nchi ya kusadikika na wasichukue hatua yoyote.
Achilia mbali watuhumiwa uhalifu ambao tayari wanaonekana na kujulikana kwa kubeba chakula hadi kwenye vizimba vya mahakamani kupunguza njaa kali baada ya kubanwa mbavu za kisheria na mashahidi au mawakili kulingana na uhalifa wao.
Je,
ni halali kwa mahabusu walio gerezani kufunga kwaresma au...
Polisi wa Kiislamu nchini Nigeria wamewakamata Waislamu tisa kwa kutofunga Ramadhani. Polisi wa Kiislamu katika jimbo la kaskazini la Kano nchini Nigeria wamewakamata Waislamu tisa siku ya Jumatano ambao walionekana wakila chakula katika siku ya kwanza ya mfungo wa Ramadhani mwaka huu. Kano ina...
Jana kwa mara ya kwanza zilifanyika tuzo za “TanzaniaCreators Awards” nchini.
Nashukuru kuwa mmoja wa washindi wa tuzo hizo Ni hatua nzuri saaaana kwa watengeneza maudhui nchini.Kwa habari nyingine.. TZ itaanza kukusanya ada ya usajili Tsh 50,000 kwa content creators nchini.
Hii ni habari mbaya...
1) Kulelewa na wazazi wakristo sio kuwa Mkristo. Kuwa Mkristo ni kukutana na Kristo kibinafsi.
Ni kama ulikuwa unasikia story za mjomba kwa miaka, hatimaye akaja nyumbani.
2) Nilipoteza imani nikiwa form 3, tena kwasababu ya kusoma posts za humu JF!
Ndomana mzungu alisema: Little knowledge is...
Mwanzoni kulikuwa na utaratibu mzuri kabisa! Kulikuwa na jukwaa la dini na si kila mtu aliruhusiwa kuingia huko! Hii ilisaidia kwa kiwango kikubwa kiwadhibiti hawa wapuuzi
Dini ni imani na ni jambo la kiroho lisilohitaji ithibati za kibinadamu
Dini jambo binafsi na kila mtu ana sababu zake za...
Huyu mchambuzi ana media nzuri na mpaka Azam wanamtumia na BBC.
Ila swala la IRAN kama mda mwengine unaona ni la nchi yake kutaka kutoa dukuduku lake.
Ila umefikisha ujumbe japo kama makonda kupewa uwaziri ,Ndugu yetu tumekusoma sasa.
Hapa JF na mitandao mingine yani ukiona mtu anavyoichambua Israel,GAZa, Venezuela na nchi nyingine zilizokuwa kwenye mivuruguano unaweza kusema jamaa noma.
Ila tokea IRAN kuanza maandamano hata watu wa msikiti wapo kimya kabisa.
1.Tekeleza miradi ya maendeleo kwa zaidi ya asilimia 90 ambayo uliahidi katika ilani ya CCM
2. Fanya restructuring katika vyombo vya ulinzi na usalama hass polisi .nimeona umemuondoa waziri wa mambo ya ndani ila sijajua sababu lakini jeshi la polisi linahitaji kubadilishwa .yaliotokea oktoba 29...
Juu ya Mwamba huu ntalijenga kanisa langu wala milango ya kuzimu/shetani hatalishinda.
Ni nyakati nyingine tena Kuzimu pamoja na Mashetani yake yameibuka tena wakitaka kupambana na Kanisa la Yesu mwenyewe.
Waambieni watawala hawapambani na Wakatoliki bali wanapambana na Yesu Mfalme mwenyewe...
Tunauanza mwaka mpya kwa imani na matumaini, tukijua Mungu anafanya jambo jipya kwa kila mmoja wetu (Isaya 43:19).
Heri ya Mwaka Mpya wenye baraka.
Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mwaka unaishia na mwingine unaanza. Nawakumbusha tu kuwa tuna ahadi ya milele Allah ametuahidi. Kwahiyo Tujitahidi kufanya mema twende Peponi.
Quran 45 : 51 -55
"Hakika wachamngu watakuwa katika mahali pa amani.
Katika Bustani (Peponi) na chemchem.
Watavaa nguo za hariri nyembamba na nzito...
Uanaharakati usioheshimu imani hupoteza uhalali wa kimaadili. Kulenga Wakristo wakati wa Krismasi si mageuzi bali ni uchokozi. Watanzania wamesimama imara kulinda umoja, utu na kuishi pamoja kwa amani. #ChristmasWithoutViolence
Tuheshimu Imani Za Wengine
Christmas hii tamu, watu wako na...
SIO LAZIMA UFUNGE NDOA KANISANI AU MSIKITINI. KWANZA HUO NI UTUMWA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Kitendo cha kuona ni lazima ufunge ndoa Kanisani au msikitini ujue bado kuna mambo huyajui kuhusu kiitwacho dini. Ujue wewe ni Mtumwa unayehitaji ukombozi.
2. Ukiona unamawazo kwamba ndoa...
Vyombo vya habari vimekuwa vikikipa uzito huyu mdudu kama kuonesha imani potofu bado zina pewa nguvu.
Huyu mdudu ni kama wadudu wengine sawa na kipindi cha nyuma fisi kuwa kwenye maeneo ambayo nyie mlivamia kuwa mji.
Baada ya kuanzisha kampeni wasitoweke nyie mnaleta imani za ajabu.
Nimebahatika kusoma dini ya kihindi kidogo, Kuna sehemu inasema kwamba! Kama ulikufa ukiwa mwema basi huwa unazaliwa sehemu nyingine kama mtu mpya, kama ulikufa ukiwa na kinyongo ama ulikuwa haujamaliza kazi fulani basi huwa wanazaliwa kama wanyama na nafsi zao kuhaunt wale waliokuwa wameungana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.