ilikuwaje

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Bado inatafakarisha: Ilikuwaje Nyerere arithi taifa kwa njia ya kidemokrasia na yeye akaleta udikteta?

    Wale pro-Nyerere wote nawaita humu. Kichwa kinajieleza chenyewe. Ni kweli Nyerere alirithi Tanganyika kwa njia za kidemokrasia kupitia uchaguzi halafu baada ya yeye kuingia kwenye madaraka, akaamua kwa utashi wake yeye binafsi, kuleta udikteta kupitia chama chake cha TANU na baadae CCM. Na huu...
  2. JamiiForums Tanzania Ilikuwaje ukagundua rafiki zako kwao ni matajiri..?

    Niadje WanaJF kwenye haya maisha tunakutana na kuconnect na watu mbalimbali ilikuwaje ukagundua kwamba mshikaji wako kwao sio kinyonge wako na ganji ya kutosha
  3. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutapeliwa na member wa JF? Ilikuwaje?

    Mojawapo ya matukio ambayo sitakaa niyasahau ni la kupigwa na mgonjwa wangu kilingeni Msata😂❗😂❗ Wallah nilipigwa kiboya Sana! Yule mwana sijui alipata wapi namba yangu ila akasema anatokea Shinyanga na angependa kufika Kilingeni Msata kwa ajili ya tiba za kiroho Tukawasiliana almost a week na...
  4. JamiiForums Tanzania Chai Jaba walijitangaza wakasikika. Ilikuwaje wakashindwa sokoni?

    Chai Jaba waliweza sana kujitangaza. Maana walisikika na kuongelewa hasa. Ilikuwaje wakaanguka sokoni?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kwa waliowahi kufanya Practical Interview za utumishi hususani kada ya Database administration ilikuwaje?

    Kwa yeyote aliyewahi kufanya practical hususan kwa kada ya ICT (Database administration) naomba utupe mwanga kidogo, Je Inatumika DBMS System ipi? Postgre, SSMS, MySQL nk Je Practical nayo hufanyika kwa njia ya online au kuna Msimamizi mtoa alama papo hapo? Natanguliza shukrani
  6. JamiiForums Tanzania Ilikuwaje mfumokristo ulishindwa kuzuia Mali za Kanisa kutaifishwa?

    Jana nilipata fursa kwenda shule ya sekondari Tosamaganga iliyopo hapa Iringa. Nilipokuwa pale nikajiuliza ile hoja ya watu kuwa Tanzania inaongozwa kwa kufuata mfumokristo inatokana na nini hasa. Maana kama Serikali chini ya Mwalimu Julius Nyerere (mkatoliki) ilitaifisha taasisi za Afya...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi ilikuwaje watu wakatafsri lugha wakati Kila watu walikuwa na lugha yao hawaelewani na wengine?

    Hili ni swali zito wakuu ilikuwaje watu wa zamani wakatoa tafsiri za lugha wakati Kila jamii ilikuwa na lugha yao hawaelewani na wengine 🤔
  8. JamiiForums Tanzania Mara yako ya kwanza kushika zaidi ya TSh bilioni 1 ilikuwaje?

    Wana JF tuweke utani pembeni kidogo. Hapa kuna watu wanaendesha miradi mikubwa, wafanyabiashara, wakandarasi, wafugaji, investors na wengine wenye connection za hatari. Mara ya kwanza unashika zaidi ya Tsh. billion 1 ulikuwa na umri gani? Hiyo pesa iliingia kupitia opportunity gani? Biashara...
  9. JamiiForums Tanzania Video: Waafrika tuna nguvu aise khaa !!, Hivi ilikuwaje wazungu wakatutawala.

    kuna mwamba anawashangaza watu huko ticktock kwa jinsi anavyo onyesha nguvu asili (raw power) aise ilikuaje Wazungu wakatutawala !! Link hiyo hapo chini: https://vt.tiktok.com/ZSQEfpWHf/ Nakiri kukubali nadharia kua hata Samson alikua mwafrika mwenzetu
  10. JamiiForums Tanzania Ilikuwaje siku uliyofumania/ uliyofumaniwa?

    Habari zenu wakuu.. Poleni na majukumu na harakati za hapa na pale, gharama za maisha zinapanda ila tunapanda nazo hakuna kukata tamaa. Kuna visa kama viwili viliwahi kunitokea back in the days vya kufumaniwa ambavyo sikuwahi kumueleza yeyote. Cha kwanza kilikuwa hivi. Kuna mwaka nilipata...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wanaosema matumaini na tume! Je mna matumaini na Mama! Ile ya jinai ilikuwaje?

    Wanaosema matumaini na tume! Je mna matumaini na Mama! Ile ya jinai ilikuwaje? Hata tume iseme nini kama hakuna utekelezaji na Mama akaendelea kudanganya na kujidanganya hii tume itakuwa imepoteza muda. Mtaitwa itasomwa kama ile tume ya jinai halafu hakuna utekelezaji. Hii nchi imetekwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Ilikuwaje ulipokutwa na kitu ulichokatazwa nyumbani kwenu

    Ni aibu sana kitu unafanya kwa siri ghafla kikajulikana hadharani🙌. Upande wangu kama ambavyo ilivyo kwa watoto wengi hasa wa kike nilikatazwa kutumia simu mpaka nifike kidato cha nne,jambo ambalo binafsi sikukubaliana nalo.Nilipewa hela ya tuition nikanunua simu kiswaswadu nikawa natumia kwa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ulijuaje unadate na wakishua

    Check comment 👇🤣😅
  14. JamiiForums Tanzania Ilikuwaje marais wetu wote wakawa wakatoliki na waislamu tu?

    Baada ya machafuko ya Octoba 29 ndiyo nikagundua kuwa kumbe tangu nchi ipate uhuru marais wote wa Tanzania walikuwa ni Wakatoliki na waislamu. Hii iliwezekana vipi, ni bahati mbaya tu au imeandikwa pahala kama makubaliano? Je, itakuwa hivi hadi lini?
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mange alituaminisha kuwa Oktoba 29 kuwa Jeshi na polisi wote wapo kwetu sisi tutoke tu kisha wao wamalize

    Mzuka wana Jamvi ? Nakumbuka siku karibia na October 29 Mange alituhakikishia kuwa tusiliangushe Jeshi na kwamba vyombo vya usalama Jeshi na polisi hawapo pamoja na Rais Samia na wanatumia message maofisa wengi na Askari wakimtaka awaaambie Watanzania watoke kwa wingi wasipoteze hii nafasi wao...
  16. JamiiForums Tanzania Je, ushawahi kuhisi tukio kabla ya kutokea na likatokea? Tuelezane, kwako ilikuwaje?

    Wakati mwingine hisia sio za kupuuzwa. Kuna nyakati unaweza kuwa mahali fulani ukahisi jambo, lakini kwa kujifanya jeuri au kutosikia sauti ya ndani, unajikuta unayapitia yale yale ambayo ulionywa mapema. Kwa kifupi, visa kama hivi vipo vingi sana kwenye maisha ya kila siku. Ngoja nikupe mfano...
  17. JamiiForums Tanzania Ilikuwaje Azam kuhusu Golikipa Mohamed Mohamed Mustafa?

    Huyu golikipa ni mali sana ila sijui ilikuwaje akaondoka Azam ambayo ina fedha ndefu sana. Nilimwona langoni wakati Sudan ikiwaadabisha Nigeria kwenye CHAN 2024 ikiwa ni dhahiri kuwa hayuko Azam tena.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje Rostam Aziz akapewa nafasi kuwakilisha sekta Binafsi kwenye siku muhimu !?

    Rostam Aziz ni Mfanya biashara mkubwa .Pengine ndiye Mfanyabiashara mkubwa aliyewahi kuingia kwenye siasa kwa kiwango cha juu.Mohamed Dewj pia anaweza kuingia katika orodha hii.Tofauti yao ni kuwa Rostam amekuwa akiingia katika Sayansi ya Siasa kimkakati zaidi. Katika Hali hii ya ushiriki wake...
  19. JamiiForums Tanzania Uthibitisho wa CCM kuiangamiza Tanzania: Kama sifa ya kuwa Waziri ni kuwa mbunge, Ilikuwaje Mawaziri wanaendelea wakati Bunge limevunjwa?

    Kwa sie tuliozaliwa zamani kidogo tulikuta mfumo mzuri sana uliokuwa unaliendesha hili Taifa. Mfumo huo ni kwamba, baada ya Bunge kuvunjwa, Wizara zote zilikuwa zinaongozwa na Makatibu Wakuu hadi baada ya Uchaguzi na baraza jipya la Mawaziri kutangazwa na kuapishwa. Pia Katibu Mkuu kiongozi...
  20. JamiiForums Tanzania Mbwana Samatta ilikuwaje ukashindwa kumhamishia baba yako ‘ushuani’ ukakubali afie Mbagala?

    Mbagala Zakheem sijui Rangi tatu ni sehemu za ovyo na za hali ya chini sana kwa jijini Dar es salaam. Mahela yote ya wazungu ukashindwa hata kumjengea mzee wako mtoni kijichi Diamond sio mjinga kuhama Tandale, Bakhresa zamani aliishi Kariakoo ila serikali ilimuhamisha kinguvu, najua hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…