Wakuu kwema ,naombeni ushauri Niko kwenye mahusiano na binti age 20 Kwa sasa na ni Yuko advance huko mkoani,Mimi Niko dar ,huyu Binti ameonekana kunipenda sana na Mimi nampenda pia ,pia nashukuru Mimi ndio mwanaume wake kwanza Binti pia anamalengo ya kuja kuanzisha familia na Mimi coz Kwa sasa...