Jitu la Mara
Member
- Feb 2, 2025
- 41
- 48
Habarini wanaJF!!
Naamini humu Wasomi na watu wenye exposure wapo. Huwa natafakari bila kupata majibu kuhusu nchi jirani ya Congo. Maradhi(mf. Ebola), Vifo, Insecurity ni miongoni mwa vitu vinavyoichafua nchi ambayo ingestahili kuitwa Super Power duniani. Jeshini pia tuliimba nyimbo za kukemea maovu yanayofanyika Congo DRC.
Karibuni waungwana tuliongelee hili. Wachambuzi, wanadiplomasia, wenye nyadhifa serikalini naomba tufunguke. Hii inaweza kutusaidia Tanzania kuwa makini na kuepuka yale yaliyowakuta wenzetu.
Mwisho namalizia kwa Kuomba Dua M/Mungu airehemu Congo DRC.
AMEEEN!!!