Ahupuaʻa (pronounced [əhupuˈwɐʔə]) is a Hawaiian term for a large traditional socioeconomic, geologic, and climatic subdivision of land. It usually extends from the mountains to the sea and generally includes one or more complete watersheds and marine resources. The predominant traditional system in the eight high islands of the main Hawaiian Islands was based on the ahupuaʻa. Each ahupua‘a contained a cross section of island resources and they were managed within a complex social system associated with each area. The general belief is that each ahupua‘a met the needs of the local population, with excess for tribute and trade.
1. Waliozungukwa na marafiki wengi ambaondoa zao zimevunjika au hawajaolewa, aina ya wale wanawake wa mjini ambao wapo huru sana na kupenda maisha ya starehe
2. Kama mkeo ni muumini wa makanisa ya kilokole na wachungaji wake ndio hawa wachumia tumbo na wacheza mazingaombwe, ishi nae kwa akili...
Siku za karibuni Kuna mfumuko mkubwa wa mada za kidini ukizifuatilia utagundua hazina mana yeyote zaidi ya kuchafuana na kubezana. Sisi ni wastaarabu hebu Kila mtu abaki na imani yake.
Kataa kujadili maswala ya dini. Dini yako hawezi kuleta chakula mezani zinduka.
1: Mfano sasa hivu binti hasemi anafanya umalaya, anasema ana danga, na akisema anadanga inasikika kikawaida kwa jamii kuliko akisema anafanya umalaya ila ni kitu kile kile.
2: Wazee wa connection
3: Machawa imekuwa hyped ila kiukweli watu wanauza utu na ubinadamu wao kwa ajili ya kumpamba mtu...
Habari za majukumu Wakuu wa jukwaa hili,
Leo ningependa tuguse eneo linalohusu mipango miji, makazi, na uwekezaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) hapa jijini Dar es Salaam.
Kama umetumia Barabara ya Morogoro au maeneo ya Upanga, kuanzia makao makuu ya Zimamoto (Fire), kuelekea Upanga...
Wanataka siku zote adui yao awe CCM ili waendelee kubaki kututawala.
Au wanataka mpinzani soft soft leo watu wanatekwa kesho tunakutana kwenye mechi ya Simba na Yanga tunachekeana na tag juu “ Upinzani sio Uadui”, sio uadui wakati watu wanauliwa, wanabakwa, chaguzi zinaibiwa, watu hawajazika...
Usiweke tu pesa zako kwenye savings, hakikisha unawekeza, Nunua kiwanja, nunua Bonds, assets, n.k.
Enzi hizo miaka 30 iliyopita ukiwa na elf 50 ni zaidi hata ya milioni ya sasa, leo hii kama kuna mfungwa aliefungwa miaka hio katoka jela na aliacha elf 50 hawezi kupata basi Dar kwenda Mwanza...
Hapo vip!
Za chini ni hivi kuna kiongozi wa Yanga mpumbavu sana yule mtu,ameone hii darby yanga anaenda kupoteza hivyo anatumia njia mbadala ya kuta kuwarubuni wale key players wa Simba ili wacheze chini ya kiwango ili apate ushindi.
Na hili linaanza kutupa wasiwa kwa darby iliyopita kwa...
Mji wa Mikumi uko njiapanda ya maeneo mengi ya mkoa wa Morogoro pia uko katikati ya huo mkoa.
Mji wa Mikumi umezungukwa na maeneo mengi ambayo ni vivutio vya utalii kama mbuga ya Mwalimu Nyerere, Mikumi, Ruaha na milima maarufu kwa mimea na viumbe pori kama ilivyo Arusha, pia ni mji uliofikiwa...
Some things are better left unseen.
Life has a strange way of teaching us that curiosity is not always harmless. Sometimes we go looking for answers, truths, or things that were never meant to cross our path—and once we discover them, there is no going back to the person we were before.
You...
Huu ndio ukweli wenyewe. Miradi mingi imekuwa ikionhezea bei tofauti na gharama halisi.
Barabara ya Morogoro imebomolewa na kujengwa zaidi ya mara tatu, kwanini wasingeipanua mara moja na kujenga barabara itakayodu kwa miaka 50 ijayo? Jibu ni kwamba kwenye ubomozi kuna hela na kwenye ujenzi...
Wanafunzi na wahitimu wa Chuo Kikuu cha Iringa tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu ongezeko la gharama zinazotozwa wakati wa kuchukua vyeti, ambazo kwa sasa zimekuwa mzigo mkubwa kwa wengi wetu.
Chuo kimeweka gharama ya Shilingi 100,000/= kwa ajili ya kusaidia mchakato wa uhamishaji wa...
Wakuu kwema ,naombeni ushauri Niko kwenye mahusiano na binti age 20 Kwa sasa na ni Yuko advance huko mkoani,Mimi Niko dar ,huyu Binti ameonekana kunipenda sana na Mimi nampenda pia ,pia nashukuru Mimi ndio mwanaume wake kwanza Binti pia anamalengo ya kuja kuanzisha familia na Mimi coz Kwa sasa...
kuna haja ya kuanza kufikiria mfumo ambao Hisabati na Computer Science/Coding vinafundishwa kwa kutumia Kiingereza kwa kiwango kikubwa zaidi kuanzia shule za msingi.
Sababu kubwa ni kwamba dunia ya sayansi na teknolojia inatumia sana lugha ya Kiingereza. Istilahi nyingi ambazo mwanafunzi...
bandari
ccm
code
hisabati
ili
jezi
kiingereza
kompyuta
kuiba
kuiba kura
kura
maadili
masomo
mbovu
mkataba
msingi
sana
serikali
serikali ya ccm
shule
shule za msingi
ufanisi
vipi
vizazi
wao
wenye
Habarini wanaJF!!
Naamini humu Wasomi na watu wenye exposure wapo. Huwa natafakari bila kupata majibu kuhusu nchi jirani ya Congo. Maradhi(mf. Ebola), Vifo, Insecurity ni miongoni mwa vitu vinavyoichafua nchi ambayo ingestahili kuitwa Super Power duniani. Jeshini pia tuliimba nyimbo za kukemea...
Kuna mwamba mmoja nimejikuta nimeikubali mindset yake,
Na ningependa sisi vijana ambao ndo tunaelekea kuvuta majiko, tuwe nayo ili tuweze kudumu kwenye ndoa.
Tufanye wake zetu watarajiwa watufanyie wao vitu sio sisi tu ndo tuwe providers, na ikiwezekana sisi tuwe receiving end.. Yaani mwanamke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.