ili

Ahupuaʻa (pronounced [əhupuˈwɐʔə]) is a Hawaiian term for a large traditional socioeconomic, geologic, and climatic subdivision of land. It usually extends from the mountains to the sea and generally includes one or more complete watersheds and marine resources. The predominant traditional system in the eight high islands of the main Hawaiian Islands was based on the ahupuaʻa. Each ahupua‘a contained a cross section of island resources and they were managed within a complex social system associated with each area. The general belief is that each ahupua‘a met the needs of the local population, with excess for tribute and trade.

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    Hii nchi imepitia mengi sana, kuna wakati wasabato walivamia airport ili wapande ndege bure ili wakaende kuhubiri kwenye mataifa ya nje

    This was 2008.
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Kama Twaha amekamatwa basi Hilda Newton ni vizuri ukabadili location au ukajileta mwenyewe kumuangukia Bi. Kizimkazi

    Hamjambo! Ni ngumu kumkamata mwanamke kwa sababu vishawishi vya mwanamke nje ni vichache ukilinganisha na sisi wanaume. Mwanamke anauwezo wa kukaa na kujichimbia ndani kama akipewa mahitaji ya msingi mfano chakula, bundle la internet na kifurushi cha Luninga. Ushuani wanawake wanaweza kukaa...
  3. Idugunde

    Mzee Salim: Waandishi wengi wanajipendekeza ili kupata teuzi.

    Hii lina ukweli ndani yake👇
  4. A

    DOKEZO TRA Custom office Makambako wanalipisha TZS 150,000 kwa Kontena la Parachichi kwa ajili ya kufungiwa export seal

    Habari, Sisi Avocado Exporter tuko na changamoto ya muda mrefu sana. TRA Custom office Makambako wana charge kiasi cha TZS 150,000 per Container kwa ajili ya kufungiwa export seal kwa transit shipment zinazopita Mombasa port. Kama haujalipa hii ela, container yako haifungwi seal na inawekwa...
  5. instinct desire

    Sisi wasomi/wanazuoni tutautumia mgomo wa kutokula wa Lissu kama Case Study ili tuone mtu anakufa baada ya siku ngapi akikaa bila kula

    Niombe watanzania asiwepo mtu wa kuingilia mgomo wa kutokula ambao anatarajia aufanye Lissu kuanzia tar. 26/10/2026. ili kutupa nafasi sisi wasomi tuweze kubaini na kuona ni siku ngapi mtu anaweza akaishi bila kula mpaka anakufa. Sisi wasomi jukumu letu litakuwa ni kuhesabu siku tu mpaka siku...
  6. Gunner11

    Unahitaji kufa kabla hujafa, ili uweze kuishi.

    Binafsi Nime undergo many circles of change, ila naona kabisa bado. Kuna time, inabidi u let go of the old version ili a new you awe born. Yaani kuna time, inabidi u empty out all the things uko attached to, ili uweze kuanza upya. Hauwezi kubadilika kama nervous system yako bado inamuwaza...
  7. K

    Taifa haliwezi kujenga imani ya kudumu kwa kuwarubuni kwa matukio ya kisiasa. Ili watu wasahau maswali ambayo ni magumu na hayajawahi kupatiwa majibu.

    Maridhiano si tangazo la kisiasa tu kushikana mikono kati ya baadhi ya viongozi. Ni mchakato wa kurejesha imani miongoni mwa watu ambayo maisha yao, familia zao na hali zao zipo mashakani .
  8. Design Your Idea

    Kuna kiwanja nataka kununua ila kipo katika mtaa ambao upimaji wa viwanja haujafika. Je inawezekana kumtafuta mpimaji anipimie na kuniwekea bikon?

    Karibuni wakuu
  9. Eli Cohen

    Alafu mtu anakuja kusema Wamarekani ni mashetani. Shetani ni huyo anaekuhuburia kil siku hivyo ili aulinde ushetani wake

    Hata hizi pesa zilizo rudishwa zinaenda kupigwa juu kwa juu na wala ugali.
  10. J

    Nashauri vikao vya Tume ya Jaji Lila viwe LIVE, ili kuhamasisha wananchi watoe ushirikiano

    Jaji Lila ajifunze kutokana na makosa ya Tume ya Jaji Chande. Wananchi walikatishwa tamaa pale Tume ilipoamua kufanya vikao vyake kwa siri. Vikao vya Tume vikiwa LIVE wananchi watajenga imani na Tume na kuipa ushirikiano mkubwa zaidi. Kwa hali inavyoendelea sasa hivi wanaotumwa kuisemea Tume...
  11. USSR

    Wakristo wameamua kuilinda Makah ili isishambuliwe na Waislamu wa Houth , Ukristo ni upendo!

    Naandika kutoka moyoni kwa kuwa naujua vema Ukristo ni dini ya upendo na huruma kwa wote haina ubaguzi, ukiachana na pale Kiev ambapo Wakristo wanalinda mauaji kutoka kwa waliokengeuka leo Ufaransa na Uingereza wameamua kuungana Wamarekani [Wakristo] kulinda mji mtakatifu wa Kiislamu wa makha...
  12. kavulata

    Umoja wa ulaya hawalioni kundu lao, Afrika tuwaonyeshe lilipo ili waache kutunyooshea vidole.

    Jumuiya ya Ulaya (EU) ni wepesi kuinyooshea vidole Afrika inapopambana kutatua masuala yake, iko kimya kunyoosha vidole yanapotokea kwa wanachama wao mambo kama yaleyale ya Afrika. Msikilize Macron nae anavyotatua masuala ya nchi yake kama vilevile tunavyotatua sisi huku...
  13. BOB LUSE

    Kuna Wizi ili mtu aunganishiwe umeme na Tanesco!

    Ukimaliza kufanya Wiring, ili upate mita ya Tanesco,unatakiwa utumie wakala( Mkandarasi ) ili kuingiza maombi yako kwenye mfumo! Wizi hawa Wakandarasi au Mawakala wanachaji kiasi chochote cha pesa,hawatoi risiti yoyote kwa mteja! Huu ni wizi na Tanesco wanaelewa kuwa Wakandarasi wanaumiza...
  14. Hismastersvoice

    Serikali iondoe VAT kwenye sufuria za Jiko Janja(Induction Cooker) ili bei kwa mwananchi ishuke.

    Jiko Janja(Induction Cooker) ni jiko linalotumia umeme kidogo na linaokoa sana matumizi ya nishati ya umeme, jiko hili ni nafuu kulitumia kuliko la gesi, kikwazo kipo kwenye bei ya sufuria maalumu kwa jiko hili. Bei ya sufuria ni kubwa mno kuliko bei ya jiko wenyewe! Hivyo utakuta watu walinunua...
  15. Melki Wamatukio

    Nimeamua kuachana na CHAPUTA ili nione kama nitarudi kuwa binadamu tena

    Niliwaza vitu vingi kabla, baadhi ya vitu hivyo ni kupoteza pesa kwa ajili ya kuhonga na kuhudumia, kuteseka na wasiwasi na maumivu yasiyo kifani, wivu wa hapa na pale pamoja na ugumu wa kutengeneza mahusiano mapya. Hivyo nikaachana kabisa na suala zima la mapenzi. Lahaula! kumbe nilijidanganya...
  16. Sifi Leo

    Dawasco kibamba kwa ili hamtonielewa, ila mahakamani nitawasilisha nyinyi na fundi wenu kushoka,mnampaje vifaa vyangu akauze dukani kwake?(Majuzi haya

    Ninatambua watumishi wa umma mlio wengi mbaishi kwa wizi wizi usio na tija Sasa huu mwingine ni wizi wa kipumbavu na ujinga mchana kweupe. Niliona kuunganishiwa maji, saveyor wenu akaja akachora michoro yenu, na akachukua fomu ile na kuiwasilisha ofisini kwenu kibamba na nauli nilimpa. Baada...
  17. The Burning Spear

    PostGE2025 Samia aligombea Urais ili iweje?

    Ukitafakari kwa makini hii serikali ni upotevu mkubwa wa mda na rasilimali aisee. Hatujui nini kinafanyika mipango haieleweki kabisa n̈chi haiendi aisee. unajiuliza alitaka kuwa raisi ili iweje kutupotezea mda.ama vipi Naihurumia sana Tanganyika yangu.
  18. Mshana Jr

    Baadhi ya roho huja duniani ili tu kufunga kurasa ambazo familia zao waliziacha wazi

    Ishara kwamba pengine hutazaliwa tena upya (hutaingia kwenye mzunguko mwingine wa roho) Reincarnation... 1. Hukuwahi kupata watoto, na wala hukuwa na hamu nao kabisa. Hukuona sababu ya kuacha uzao nyuma yako ili kuthibitisha kuwa umetimiza yaliyokuleta duniani. Ni kana kwamba mikosi, laana, au...
  19. Megalodon

    Tumuombee Uzima na Usalama Rais Samia ili aweze kumaliza ngwe yake. Hili ni la muhimu sana kwa nyakati kama hizi

    Kwa miaka 10 sasa taifa limepitia magumu snaa , ni baada ya nchi kuingia kwenye mikono ya wahuni bila ya kujua madhara ya wanachokifa. Wazee wote wa maana waliokuwa wanaweza kuileta nchi pamoja hawakuwepo tena , matokeo yake nchu ikaingia kwenye ombwi litakaloendelea kuacha makovu ya miaka...
Back
Top Bottom