ikulu

The White House (Ikulu), also known in English as the State House, is an official residence and workplace of the President of the United Republic of Tanzania. The current building, then called Government House, was constructed under the first British Governor of Tanganyika Horace Byatt in 1922 to the designs of architect John Sinclair. It is built on the remains of the original building constructed by the German administrators of German East Africa that had been damaged by the Royal Navy in December 1914. The south wing was added in 1956 to honour the visit of Princess Margaret, Countess of Snowdon and retains the name The Princess Margaret Wing to this day. The building was renamed State House on independence.
The State House blends African and Arabian architecture, with wide verandahs and covered walkways. It is white-walled with floors of African terrazzo, and stands in over 33 acres (13 ha) of grounds overlooking the Indian Ocean on the east and Dar es Salaam to the west. The brass-studded west doors are surmounted by a replica of the Republic's Coat of Arms and flanked by two giant drums. During 2001 one of the entrances after the car gates was adorned with two male Lions overlooking guests as they would be welcomed to the State House of The United Republic Of Tanzania.
The building contains a number of gifts from state visitors, including an Ethiopian shield with crossed spears, given by Emperor Haile Selassie and a representation of the coat-of-arms of the Republic of Tanganyika, given by the government of India in 1961, that acts as a backdrop to the President's seat in the Council Chamber.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mkiambiwa Ikulu siyo kwa Kukimbilia muwe mnaelewa sawa?

    Ruto niliyemuona akiwa na Mikogo yote Siku anaapishwa kuwa Rais wa Kenya na huyu Ruto ( Rais ) wa Kenya ninayemuona leo ni Watu wawili tofauti. Ruto ( Rais wa Kenya ) wa sasa ukimtizama hata tu Usoni utagundua kuwa ameshaanza kupaona Ikulu ni Pagumu, ana Sura ya Kutia Huruma na huenda hata...
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ghost voters walimsaidia Ruto kuingia Ikulu

    Najua wengi mnakumbuka kura za maruhani kule Pemba zilivyoishangaza nchi yetu sasa ukistajabu ya Pemba ambapo maruhani walizaliwa baada ya kutokuwa na wagombea wa CUF ujayaona ya Nairobi. Ghost voters (kura za mizimu) ndizo zilizomnufaisha rais Rutto ambapo zinakadiriwa kuwa zaidi ya 500k sawa...
  3. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Rais Samia Suluhu Hassan aongoza kikao cha Kamati Kuu, Ikulu

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichokutana Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma leo Jumatatu tarehe 26 Septemba, 2022. Rais wa Zanzibar na Mjumbe wa...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya ziara ya Kiserikali nchini Msumbiji, ahimiza kutumia fursa za kibiashara zilizopo katika nchi hizo mbili

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika ziara ya Kiserikali nchini Msumbiji leo tarehe 21 Septemba, 2022. Rais Samia ametaka ushirikiano wa ulinzi baina ya nchi hizi mbili hasa ule wa mipaka ulio anzishwa tangu miaka ya 1980 uendelezwe hasa kwenye kipindi...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mdude Chadema: Nimepata taarifa kuwa Ikulu wana mpango wa kunishughulikia kama enzi za mwendazake

  6. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru akutana na Rais Mteule Ruto IKulu

    Rais mteule William Ruto saa hii anakutana na Rais anayeondoka Uhuru Kenyatta na Ikulu, Nairobi. Ruto ameandamana na Mkewe Rais mteule Rachel Ruto. Ripoti zilionyesha kuwa viongozi hao wawili wanafanya mkono wa kibinafsi kabla ya kuapishwa kwa Ruto mnamo Jumanne katika uwanja wa Kasarani...
  7. happyxxx

    JamiiForums Tanzania Idara ya Ikulu Mawasiliano ni wazembe au wanafanya makusudi?

    Kitendo cha kuachia picha inayoonyesha namna wananchi wasivyosisimka na uwepo wa Mh. Rais Samia kwenye usafiri wa boti ya abiria kinatafakarisha sana. Si kawaida kwa Rais kujitokeza hadharani na muitikio uwe wa namna hii. Tumeona uko nyuma pamoja na lawama walizoshushiwa Kikwete na Magufuli...
  8. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Samia akutana na mkurugenzi wa Global Fund bwana Peter Sands

    Rais Samia akimsikiliza bwana Peter Sands ambaye ni mkurugenzi wa Global Fund alipozuru Ikulu ya Dar es Salaam pamoja na ujumbe wake. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mtendaji Mkuu wa Global Fund Bw. Peter Sands baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini...
  9. S

    JamiiForums Tanzania 'SuperPower' alalamika 'njaa': Ikulu 'nyeupe' yaitisha kongamano rasmi kujadili namna ya kupambana na adui mpya 'njaa' anayelitafuna taifa

    Duh...kweli adui yako mwombee njaaa! Hivi kweli 'SuperPower' wetu kafikia hatua ya kulialia njaa?! Hadi Ikulu 'kubwa' kuitisha kongamano rasmi la kujadili namna ya kupigana vita na adui mpya 'njaa' anayesumbua taifa teule! Kweli maajabu hayaishi dunia hii. Asante sana Urusi kumvua nguo Super...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ikulu ya Ukraine yalalamika kuwa Urusi imeziangamiza melivita mbili za Ukraine

    Ikulu ya rais Zelensky wa Ukraine inalalamika kuwa Urusi ameziangamiza melivita mbili za jeshi la Ukraine kwa kutumia makombora ya shabaha kali yaliyorushwa toka kwenye ndegevita za Urusi. Ndege hizo zilishambulia zikiwa kwenye kijiji cha Novofedorivka huko Crimea. Mwambieni Zelensky aache...
  11. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa Freeman Mbowe unafikirisha sana, karibia wapinzani wote Afrika wanaingia Ikulu

    Mbowe ukimuangalia kwa wasiwasi unaweza kudhani jamaa ana mipango mizuri na uwezo wa kupeleka upinzani Ikulu, lakini ikifika uchaguzi ndio unafahamu hasa uwezo wake. Majirani zetu karibia wote wapinzani wameenda Ikulu, wengine wamekuja wamemkuta Mbowe Ni mwenyekiti tayari lakini Leo wako Ikulu...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Somalia: Mabomu yarushwa karibu na Ikulu ya Rais

    Vitongoji vya makaazi karibu na Ikulu ya Rais wa Somalia mjini Mogadishu vimeshambuliwa kwa mabomu leo, muda mfupi baada ya Bunge la nchi hiyo kuidhinisha Baraza la Mawaziri lenye wajumbe 75 lililoteuliwa hivi karibuni chini ya Waziri Mkuu Hamza Abdi Barre. Mamlaka zimesema hakuna majuruhi...
  13. Tanzania Nchi Yetu Sote

    JamiiForums Tanzania Sri Lanka waandamanaji wajipa raha ndani ya vyumba vya Ikulu

    Waandamanaji nchini Sri Lanka wamefanikiwa kuingia Ikulu na kufika mpaka chumbani kwa Rais. Waandamanaji hao wamerusha picha kwenye mitandao zikiwaonyesha wakiwa wamelala kitandani kwa Rais huku wengine wakiwa sebuleni wakiangalia 'breaking news' ya maandamano yao.
  14. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Ikulu ya Dar, litokee hili, fikiria itakuwaje ?

    Wananchi wa Sri Lanka wavamia Ikulu ya nchi yao, tazama picha chini, ikumbukwe Jeshi la nchi haliruhusiwi kushambulia Wananchi Kikatiba, kweli kuna nchi zimepinda, lkn haya yote ni matokeo ya dharau na majibu ya hovyo kwa watu ambao tayari wanataabika, …
  15. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wenye fitina Rais Putin alishapewa baraka na wananchi kubakia Ikulu mpaka 2036

    Hii ilifanyika 2021 The Russian president has signed legislation that gives him the right to run for two more consecutive terms. The constitutional amendment was approved by referendum last year. Russian President Vladimir Putin on Monday signed legislation that could theoretically mean he stays...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki hafla ya kuipongeza Timu ya Serengeti Girls, apendekeza uwanja wa michezo kujengwa Tanganyika Packers

    RAIS SAMIA SULUHU HASSAN - Serengeti Girls ni Mashujaa Wetu Leo ni siku nyingine ya furaha sana, si kwangu binafsi bali kwa taifa zima, tunapokutana hapa Ikulu na mabinti zetu mashujaa - Serengeti Girls. Hii ni rekodi mpya ambayo haijapata kutokea kwa miaka 62 ya Uhuru wetu. Serengeti Girls...
  17. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni mpenda sifa kuliko hata Hayati Magufuli

    Ni lini Samia awapo Tanzania Ikulu haikuwa hewani? Nikumbushwe huenda nimesahau. Hakika sikumbuki. Tangu awe Rais kwa bahati mbaya dada huyo kila uchwao awapo Tanzania ni lazima Ikulu iwe mbashara kwenye Tv ama yeye mwenyewe akihudhuria jambo fulani hata kama halina sifa za uwepo wake ama...
  18. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alisema Profesa Kabudi na William Lukuvi watafanya kazi Ikulu, imeishia wapi?

    Haya wazee wa maji ya bendera njooni hapa mtudanganye tena, shida uongo wenu mnadanganyana, mpaka wenyewe kwa wenyewe haya sasa mbona hatuwaoni white house au Zuhura Yunus Kawa Kabudi. Mama alikuwa hazitaki hizi njemba ndo maana alipoona tetesi za Lukuvi kuchukua form ya uspika ikabidi ateme...
  19. Area 56

    JamiiForums Tanzania Kwanini hatuwezi kufanya utalii Ikulu?

    Wenzetu Marekani huwa wananchi wanatembelea Ikuluya White House kama sehemu ya utalii wa ndani. Hupiga picha, huonyeshwa mambo mbalimbali japo yale classified huwa yanabaki kuwa siri kama inavyotakikana. Kwanini sisi hatuna kitu kama hiki?
  20. B

    JamiiForums Tanzania Upinzani wakimtumia kada mwenye mvuto kutoka CCM, njia ya kuingia Ikulu itakuwa rahisi kwao

    Ukweli ni kwamba Watanzania wengi wamekichoka Chama cha Mapinduzi, lakini ni ukweli pia nje ya Chama cha Mapinduzi hakuna chama mbadala, kwa sasa upepo umebadilika, baada ya kifo cha Magufuli kuna kundi kubwa la wanyonge ambao kwa wingi wao walikuwa ni wafuasi wa mwenda zake, kwa sasa hili kundi...
Back
Top Bottom