igp

IGP is an online retailer of personalised, floral, gourmet and handmade gifting products. The company is headquartered in Mumbai, India and has offices in India, Singapore and the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Morogoro: Mauaji ya wakulima na wafugaji, IGP Wambura aagiza askari wapishe uchunguzi

    IGP Camillus Wambura ametoa maagizo hayo kutokana na watu wawili kuuawa kwa silaha za moto na wawili kujeruhiwa wakati Polisi wakizuia vurugu Kijiji cha Ikwambi Kata ya Mofu, Wilaya ya Kilombero, Oktoba 23, 2022. IGP Wambura amesema “Nimeunda Tume Huru kuchunguza vurugu zinazotokea, lengo kujua...
  2. JamiiForums Tanzania IGP Camillus Wambura, Mkamateni Masanja na Mkewe Monica. Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe apishe Uchunguzi

    Salaam Wakuu Hatuwezi kukubali ndugu zetu waendelee kufa kimafia halafu watu wanazusha Story ya kutrend. Polisi wa Kawe waende pale Mbezi kwa Marehemu wazungushie Utepe na wawachukue maelezo familia ya Masanja. Pia Mke wa Marehemu akamatwe na ahojiwe. Mtashangaa Matokeo yake. Polisi wana...
  3. K

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura shughulikia mauaji au upelekwe ubalozini

    Kama IGP Wambura ataendelea kufanya vitu kisiasa ni bora apelekwe naye ubalozini. Hatutaki siasa kwenye Polisi. Huko Musoma shughulikia zaidi badala ya kungojea viongozi wa siasa huu ni udhaifu
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katiba ya kenya ina 'checks and balance', IGP anakuwa vetted na Bunge

    Dah yaani Rais anateua IGP ila inabidi akathibitishwe na bunge na kumbuka siyo bunge la kina msukuma, huko kuna upinzani wa ODM. Pamoja na matatizo baadhi waliyonayo hawa watu wametuacha mbali sana kiakili na kini thabiti, kilichobaki huku kwetu ni comedy, unafiki na propaganda za kiduwanzi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura zuia Polisi kuua haraka wanaohisiwa ni 'Panya Road', himiza 'Interrogation' ili kujua Kiini chao

    Kukamata Watu (hasa Vijana) haraka haraka na Kuwahisi ndiyo Panya Road kisha Kuwaua sidhani kama ni Usahihi na Uweledi hasa katika Kuwamaliza hawa wahalifu. Mataifa yote yenye Majeshi ya Polisi yanayojitambua huwa hayakurupuki Kuua Mhalifu / Wahalifu bila ya kumfanyia / kuwafanyia Interrogation...
  6. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Samia fukuza waziri mambo ya ndani, naibu wake na Igp kwa mauji yaliyofanyika Serengeti.Fanya kama alivyofanya Nyerere

  7. JamiiForums Tanzania Raia waendelea kufia mikononi mwa polisi, tukimbilie wapi IGP Wambura?

    Watatu wafia mikononi mwa Polisi K’njaro, Dodoma SATURDAY SEPTEMBER 17 2022 Summary Matukio ya watu kufa wakiwa mikononi mwa Polisi, yameendelea kushika kasi kufuatia vifo vilivyotokea katika mikoa ya Kilimanjaro na Dodoma hivi karibuni, huku jeshi hilo mkoani Kilimanjaro likithibitisha...
  8. JamiiForums Tanzania IGP Poti Wambura nimeshatoa ONYO kwa Vijiwe vya Wahalifu kuwa wakiingia 18 zangu Majina yao yataanza kuitwa Marehemu

    Poti wangu IGP Wambura Mimi GENTAMYCINE nimeamua leo Kukuambia hili mapema baada ya Kugundua kuwa 95% ya hawa Vijana Wahalifu waliobatizwa Jina la Panya Road wanajulikana na Mapolisi wako na hata Vituoni ila Wanalindwa na hata baadhi ya Askari wako Wanafaidika nao. Haiingii Akilini Polisi wa...
  9. JamiiForums Tanzania IGP Wambura afanya mabadiliko mengine ya Makamanda wa Polisi

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amefanya mabadiliko madogo ya kuwahamisha baadhi ya Makamanda wa Polisi, ambapo amemhamisha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ulrich Matei ambaye alikuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya kwenda Makao makuu ya Polisi Dodoma na nafasi...
  10. JamiiForums Tanzania IGP Wambura: Kesi 1,840 zafutwa kwa kukosa ushahidi, makosa ya jinai yaongezeka nchini

    Kesi 1,840 zafutwa kwa kukosa ushahidi Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali(IGP) Camilius Wambura, amesema kesi 1,844 ambazo zimekosa ushahidi wa kutosha kupelekwa mahakamani zimeondolewa, huku kesi zingine 2,117 zikifanyiwa mabadiliko. IGP Wambura alikuwa akizungumza jana...
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katika hali isiyokuwa ya kawaida IGP wa Kenya aomba kupumzika kwa muda

    Je,, ni kweli IGP anaumwa? Au, bado ni vuta nikuvute ya uchaguzi? Na ni nani yuko nyuma ya movie hii? Ni Ruto (mhangaikaji) ama Odinga (mtoto wa mboga 7)?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Hata kama Mbowe akiwa Mwenyekiti na Lissu Mkurugenzi wa NEC Mnyika awe IGP bado CHADEMA ya sasa haishindi uchaguzi

    Ukweli ni kwamba hali ya kisiasa ya sasa hapa nchini inakatisha tamaa sana. Ukisoma maandiko mengi humu ndani ya wenye mrengo wa upinzani, wanailaumu ccm kuwadhoofisha huku wakisahau kwamba hakuna chama siasa chenye jukumu la kuruhusu chama pinzani kisitawi. Ukiwa kama mpinzani unalazimika...
  13. JamiiForums Tanzania IGP Wambura afanya mabadiliko ya Makamanda wa Polisi wa mikoa, Agosti 12, 2022

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camillus Wambura amefanya mabadiliko madogo kwa baadhi ya makamanda wa Polisi wa mikoa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Ijumaa Agosti 12,2022 na Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime imeeleza kuwa katika mabadiliko hayo, Kamishna Msaidizi wa Polisi...
  14. JamiiForums Tanzania Kinana akerwa na Utitiri wa Traffic barabarani. Atoa maagizo mazito kwa Afande IGP Camilius Wambura

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinanana amemshauri Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camilius Wambura kufanya tathimini ili kuona uwezekano wa kupunguza idadi ya Askari wa usalama barabarani ambao wanalalamikiwa na Wananchi...
  15. JamiiForums Tanzania IGP Wambura ameteuliwa ili Viongozi waishi vizuri?

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camillus Wambura, ameahidi kushughulika na yeyote ambaye atakuwa na vitendo vyovyote ambavyo ni kinyume na maadili na kinyume na matendo mema ya Watanzania. “Nitoe rai kwa mtu yeyote ambaye anadhani anaweza akaleta aina yeyote ya vitendo vya uvunjifu wa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa IGP Camilius Wambura ni moja ya teuzi bora sana - heko kwa mamlaka za uteuzi

    Kalamu ya Chacha Wangwe Jr, Kila mtanzania mwenye uelewa wa mambo anayofuraha kubwa kutokana na uteuzi uliofanywa na Rais Samia katika kumteua CAMILIUS WAMBURA kuwa Inspekta Jenerali wa Polisi. Ni mtu sahihi kwa wakati sahihi. UZOEFU KATIKA MAJUKUMU MAKUBWA -Kamanda wa Polisi Mkoa Maalum wa...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia, asema kuna mabadiliko makubwa zaidi yanafuata, ameanza na Jeshi la Polisi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule wafuatao: 1. Inspekta Jenerali CAMILLUS MWONGOSO WAMBURA, kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) 2. Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (GP) SIMON NYAKORO SIRRO, kuwa Balozi Wa Tanzania Nchini Zimbabwe 3. Balozi...
  18. JamiiForums Tanzania Awamu ya 6 inamuhitaji Kamanda Sirro?

    Awamu ya SITA imejikita kwenye kuliponya na kuliunganisha taifa dhidi ya Yale yasiyofaa ya awamu ya Tano. Kuna waliomizwa na kuteswa sana na hata kupotea wengine. Jeshi la polisi Lina jukumu la kulinda usalama wa raia na Mali zao. Afande Sirro alikuwa mkuu wa chombo cha kulinda usalama wa raia...
  19. JamiiForums Tanzania Mwenye CV ya IGP Camillus Wambura aiweke hapa tafadhali

    Kwema wakuu? Naomba mwenye cv ya Afande Camillus Wambura aiweke hapa tafadhali.
  20. J

    JamiiForums Tanzania IGP Simon Sirro kwa kushirikiana na wadau ajenga Kanisa kijijini kwao

    ..habari nzima ipo hapa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…