igp

IGP is an online retailer of personalised, floral, gourmet and handmade gifting products. The company is headquartered in Mumbai, India and has offices in India, Singapore and the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. Troll JF

    JamiiForums Tanzania If DGTISS, IGP, DCI decides not to show up itakuaje?

    Court imeshatoa Summons kwa hao miamba vipi wasipotokea??? Mahakama ita issue warrant of arrest? Vitu vingine vinafikirisha sana.
  2. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Ikiwa CDF, IGP NA CDI watasema walifuata amri: Swali ni amri ilitolewa na nani?

    IKIWA CDF, IGP NA CDI WATASEMA WALIFUATA AMRI: SWALI NI JE: AMRI HIYO ILITOLEWA NA NANI? Hapa ndipo tunapaswa kutumia critical thinking, si hisia. Kama CDF, IGP na CDI watatoa ushahidi kwamba walichofanya kilitokana na amri au maelekezo ya mamlaka ya juu, basi chanzo, maudhui na mlolongo wa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Je, Lissu anaweza kumuuliza IGP kuhusu ni wapi walzika miili ya watu waliouwawa kwenye mauji ya October 29?

    Hili ni moja ya swali ninalotamani Lissu amuulize IGP. Je, wewe unasemaje au unatamano aulize swali gani? Tukumbuke ripoti ya Jaji Chande ilikuja na idadi ya watu zaidi ya 500 waliouwawa katika mauaji ya Oktoba 29, 2025.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tafakuru: Mbona Mahakama mwishoni imewaita CDF, IGP na DPP kwa vyeo vyao kwenda kutoa ushahidi na si kwa majina na vyeo vyao kama mwanzoni?

    Wakati Jaji Nduguru anatoa uamuzi wa mahakama kuhusu kuwaita mahakamani mashahidi wa utetezi, aliwataja IGP, CDF na DPP kwa majina na vyeo vyao. Swali ni kwanini wakati anasoma maamuzi yao hao mashahidi kupekewa wito wa kufika mahakama aliwataja kwa vyeo tu bila kutaja majina yao kama wakati...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CDF ,IGP, DPP jiandaeni kujibu Aliyeua Watanganyika Oktoba 29 2025 ni nani? Na Nani aliwapa Order ya Kuua Watanganyika Oktoba 29!

    Ya Oktoba 29 2025, Mtayajibu tu!!. Kama Lissu kayauliza kwa Mashahidi wa Jamhuri , kayagusia kwa Mashahidi wa Utetezi!!. Jiandaeni kutujibu Watanganyika, Ni nani aliwaua Watanganyika wenzetu Oktoba 29!!.
  6. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Kwakuwa Samia, Mpango na Majaliwa mahakama imeweka uzio juu yao bas Lissu awakatae pia CDF na IGP

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kwa kuwa mahakama imepiga chenga ya mwili juu ushahidi wa Samia, Mpango na Majaliwa basi na Tundu Lissu naye apige chenga ya mwili juu ushahidi wa mkunda na wambura Asante Sana Nina maana kubwa sana kusema hivyo SAYUNI BOY
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa majeshi (CDF) na IGP wakienda mahakamani Lissu atahukumiwa kunyongwa

    Kwenye hii kesi kama CDF na IGP watakubaliwa na serikali kwenda mahakamani kuwa mashahidi basi hukumu itakuwa tayari imeshaamiluwa tayari kwamba Lissu apewe adhabu ya kunyongwa au kifungo cha maisha. Ila hatanyongwa akihukumiwa hivyo (na pia hata akipewa kifungo cha maisha), atapewa msamaha wa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mahakama iliamua nini kuhusu mashahidi wa utetezi aliotaka Lissu wafike mahakama ambao ni IGP, CDF, DGIS, Majaliwa na Mpango?

    Naomba kuuliza ni nini mahakamani iliamua kuhusu hao mashahidi kwenye kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu? Hawa wanatakiwa kufika mahakamani kama mashahidi wa upande wa utetezi kwahiyo ni mashahidi muhimu kwa mshitakiwa. Kuhusu Samia, najua kulikuwa na mvutano, sasa hao wengine mahakama...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kumtongoza Mkuu wa Mkoa, Rais, Waziri, CDF, IGP, au mtu yeyote isipokuwa mtoto sio kosa kisheria wala kimantiki

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mwanasheria wa Tibeli. Nimesikia kuna Mkuu wa Mko sehemu fulani amesaundishwa. Ametongozwa, amepigwa Vesi na mistari. Kilichotokea aliyefanya jambo hilo amejikuta kwenye matatizo. Kwanza, sidhani kama jambo hilo linaweza kuwa Kweli. Kwa kweli sifikirii. Naona...
  10. mirindimo

    JamiiForums Tanzania SAMIA : MPANDISHE CHEO IGP AWE WAZIRI WA MAMBO YA NDANI HALAFI WAZIRI AWE IGP AU MPELELEZI MAANA ANAFANYAKAZI ZA POLISI

    Yule Waziri anajia work descriptions zake kweli ? Ukute alimwagiza IGP kufanya anachokifanya akagomewa akaona sio kesi afanye hayo mahojiano mwenyewe
  11. McLaren

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura: Tunawaomba wananchi wajitokeze kusalimisha silaha haramu walizonazo kwa hiari

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillius Wambura, amezindua kampeni ya msamaha wa usalimishaji wa silaha haramu kwa hiari, 2026 jijini Dodoma, akiwahimiza wananchi kutumia fursa hiyo kusalimisha silaha walizonazo kinyume cha sheria bila hofu. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, IGP...
  12. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Nchimbi kawa mzalendo kuzidi CDF na IGP hongera nchimbi

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwa maneno ya kijasiri ailyoyasema mbelel ya hadhira kuwa katika vitu vya msingi vya kuungana watanzania kwa faida ya sasa na vizazi vyetu ni kudai katiba mpya kwani katika ya sasa inampa Rais mmlaka makubwa sana ambayo anaweza kufanya chochote kile na hakuna...
  13. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kuna swali moja matata sana litaulizwa kwa mkuu IGP na CDF ikiwa wataamua kwenda mahakamani. Nani aliamuru vijana wapigwe risasi 0ctober 29?.

    Oya siyo poa tusifike huko.
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura Azindua Call Centre Ya Dawati La Jinsia Na Ulinzi Wa Mtoto

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura, leo Julai 31, 2026, amezindua rasmi Call Centre ya Dawati la Jinsia na Ulinzi wa Mtoto wakati wa kufunga Mkutano Mkuu wa Dawati hilo uliofanyika mkoani Dodoma. Call Centre hiyo imeanzishwa ili kuboresha upokeaji na ushughulikiaji wa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania CCM mkipigana kuzuia upinzani ipo siku IGP atakuwa na nguvu kuliko mwenyekiti wenu!

    Mnaweza kufanya jitihada za kuzuia upinzani kwa kila njia ili tu wasipate wawakilishi ingiwa wanakubaliwa lakini mjiulize je mpo tayari chama chenu kikategemea kupata maagizo kutoka kwa IGP. Maana itafika sehemu mtakuwa mnategemea Polisi kwa kila kitu na IGP atagundua ana nguvu kuliko hata...
  16. britanicca

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa kumkosoa IGP kuhusu vikundi vya Mwaipopo wampeleka Polisi mwalimu Laulent Joseph (Mnegro)

    Hii inathibitisha kuwa hii nchi imewashinda hawa walio madarakani. Hivi kweli ingekuwa hao ni wanaojitambulisha kuwa ni waandamanaji, je wasingekamatwa? Huyu anayeitwa IGP nadhani ni bosheni tu. Huenda IGP halisi ni mafwele na wauaji wenzake ndomana wakina Mwaipopo wako na ujasiri wa kuvaa...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Msikilize IGP wa Kenya. Aibu utaona wewe sasa

    Huyu ni IGP wa Kenya akitoa usia kwa askari wake. Ametulia anaongea kirafiki na kwa kujiamini bila kutaka jikomba kwa wanasiasa. Akitoa wito wa Polisi kutumia akili. Halafu pata muda msikilize IGP wa Tanzania. Unamwona tu akili hana, elimu hana na anawaza kumwaga damu all the time.
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi Paternus Niyegira: Waziri Katambi hana mamlaka ya kuzuia mikutano ya Siasa, pia hana mamlaka ya kumuagiza IGP

    Mchambuzi wa masuala ya siasa nchini, Paternus Niyegira, ameibua mjadala mzito kufuatia kauli ya hivi karibuni ya Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi, inayoonekana kulenga kuzuia shughuli za vyama vya siasa nchini Akizungumza kupitia kituo cha redio cha Crown FM, Niyegira...
  19. D

    JamiiForums Tanzania IGP MSTAAFU MAHITA: NANUKUU "WAZIRI HANA MAMLAKA YA KUTOA AMRI KWA IGP NA JESHI LA POLISI LABDA JESHI LA MAGEREZA"

    IGP MSTAAFU MAHITA, akiwa anahojiwa katika podcast ya Mr&Mrs Kashera alisikika akisema, JESHI LA POLISI linapokea AMRI na maagizo kutoka katika Mamlaka tatu tu ambazo ni Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu. Sasa huyu Waziri wa Sasa WA mambo ya ndani haya Mamlaka nani aliyempa??? Je, IGP wa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania IGP Mstaafu Simoni Sirro: Tunajisahau Sana Tukiwa Serikalini

    Ndugu zangu Watanzania, Soma Hapa👉Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro amesema baadhi ya Viongozi wanapokuwa Serikalini hujikuta wakijisahau na kufikia hatua ya kujiona kuwa wao ndio kila kitu. Sirro ametoa kauli hiyo leo Juni 26, 2026 wakati wa kumuaga aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa...
Back
Top Bottom