igp

IGP is an online retailer of personalised, floral, gourmet and handmade gifting products. The company is headquartered in Mumbai, India and has offices in India, Singapore and the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Polisi komesheni rushwa, natumiwa ‘clip’ za Barabarani nami namrushia IGP

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam, leo tarehe 9 Juni, 2025.
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura: Matukio ya ujambazi, utekaji na uporaji yamedhibitiwa

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillius Wambura amesema matukio ya utekaji, ujambazi na uporaji yamedhibitiwa kwa kiasi kikubwa katika kipindi cha miaka minne iliyopita. IGP Wambura ameyasema hayo leo, Jumatatu Juni 9, 2025 jijini Dar es Salaam wakati wa kufunga Kozi ya Maafisa na...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Sikujua IGP Camilius Wambura ni mahiri hivi; system ya nchi yetu haijakosea, ni mtu sahihi, nchi iko mikono salama

    IGP Camilius Wambura leo amenikosha sana sana, ameongea mambo makubwa kifupi kwa weledi wa hali ya juu sana. Ni mtu sahihi kwa wakati sahihi, Mungu amlinde, ampatie afya njema, ampe hekima na busara kubwa sana. Nimeipenda kauli yake "Jeshi la polisi lina wivu mkubwa na amani ya nchi hii" Ahsante...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Samia hana kosa hata moja, Muliro hana kosa, IGP hana kosa. Kosa liko vichwani mwa Watanganyika

    Muliro ameshasema yeye anasimamia mulichokubaliana ninyi wenyewe Watanganyika, IGP pia anasimamia mulichokubaliana ninyi wenyewe Watanganyika. Yaani wanasimamia sheria zenu mlizozitunga. Ziwe mbaya, ziwe nzuri hilo haliwahusu. Jukumu lao ni kuzisimamia. Watanganyika ndio mliotunga sheria ya...
  5. N

    JamiiForums Tanzania IGP Camilius Wambura amepoa sana, Rais mweke CP Awadh Juma Haji

    Huyu IGP wa sasa Camilius Wambura mbona hata kuongea Kiswahili hawezi, ni mtanzania kweli. IGP anatakiwa mtu kama Awadh Juma Haji au Jumanne Muliro, lazima awe very strong, anayeelewa mambo ya siasa na propaganda zake. Hizi propaganda za utekaji tungekuwa na IGP strong zingeshamalizwa. IGP...
  6. R

    JamiiForums Tanzania CCM , IGP , Bashungwa msikilize Marehemu Magufuli halafu mjitafakari halafu mgeukie Gwajima muone kama ana kosa lolote

    Msikilize Magufuli, Rais Samia utakuwa umemuonea Gwajima kumbagaza kama ulivyofanya
  7. K

    JamiiForums Tanzania Utekaji ni biashara tusishangae IGP kuwa Billionea kwa muda mfupi

    Kwa walio onyeshwa account ya IGP ya CRDB yenye zaidi ya billion moja wakati Polisi wenzake wakiwa maskini msishangae. Pesa nyingi sasa zinatumika kwa kubana wapinzani na uhuru. Ili kufanikisha hayo hawa viongozi wa usalama wanamiradi ya kipigaji isiyo na mbele wala nyuma. Kwa ufupi hii...
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya sheria za uteuzi yalipaswa kuongelewa na kina IGP wenywe sio mpaka wasemewe na Gwajima

    closed
  9. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ame raise and attend both FACTUM PROBANDUM AND FACTUM PROBANS in a single sentense

    IGP, DGSI, CDF wanaogopa kutenda maana mamlaka yao ya uteuzi ndiyo inatowatuma wanaoua na kuteka watu! Gwajima amefanya yote, amerahisisha kazi ya wavivu wa kufikiri au wanafiki. He raised and attended both FACTUM PROBANDUM AND FACTUM PROBANS HARD TAKE HOME MESSAGE YA GWAJIMA NI KUWA anasema...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Tuna waziri wa ulinzi mwanamke na jeshi lipo imara, ni wakati sasa wa kuweka IGP Mwanamke

    Waziri wa Ulinzi ni Mwanamke, Ni muda wa kuwa na IGP mwanamke Hata Ghana kuna Igp mwanamke sioni sababu kwa Tanzania kutokuwa na IGP Mwanamke,
  11. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Ukitazama picha hizi za ma IGP wa EAC utapata picha ya aina ya aina ya Jeshi la Polisi Tanzania

    IGP Kenya . IGP Zambia IGP Uganda IGP Tanzania. Malawi IGP Rwanda IGP Rwanda Burundi IGP DRC IGP DRC Ukitazama hizo picha kuna jibu linakukia kuhusu aina ya Viongozi tulio nao hii Tanzania. Mambosasa.
  12. T

    JamiiForums Tanzania IGP piga chini Muliro, kauli ya kumaliza kikao na kupata kinywaji kuanzia saa 1 hadi saa 4:30 alimaanisha ulevi

    RPC Muliro kachonganisha kanisa katoriki na serkali ya CCM kuliko hata aliyemshambulia Fr. Kitima. Kwanza, kama kamanda wa Dar tukio hili kutokea katika mkoa wake ameshindwa kusimamia ulinzi wa raia katika mkoa wa Dar Es Salaam kwa hiyo mkoa hauko salama. Pili, kitendo cha mharifu kuingia...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Msiende kwa Rais kabla ya kupitia kwa IGP

    Polisi wamejipanga vizuri kuelekea uchaguzi mkuu ... Jambo hapa enzi hizo ikiitwa jambo furums mababu mnaikumbuka . Wamekamatwa wafuasi na wasiokuwa wafuasi wa CHADEMA siku ya mwanzo ya kesi ya Mheshimiwa Lisu kwa visingizio mbalimbali ,tuseme vinakubalika/havikubaliki. Kati ya habari between...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika amtaka IGP kuwajibika na kutoa taarifa halisi ya viongozi wa CHADEMA waliokamatwa na kuteswa

    "Tunamtaka mkuu wa jeshi la polisi Tanzania IGP, kama haya matendo hayana baraka zake ajitoze yeye mwenyewe atoe taarifa kwa umma, juu ya matukio ya kupigwa kuteswa kuumizwa kwa wanachama na viongozi wa CHADEMA akitaja idadi halisi, akitaja sababu sababu ya hali hizo na kuwajibika kutokana na...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Sikiliza ujumbe mahsusi kwa Rais samia na IGP Wambura

    Kwa uchungu mkubwa Nabii ROLINGA amesema watanzania wamechoshwa na Polisi na Serikali kumwaga damu za Watanzania wasio na hatia. Ametaka watawala waache mara moja kutesa na kumwaga damu ya watanzania kwani inaleta LAANA katika nchi. Ametaka kuwepo na mazungumzo ya kumaliza tofauti zilizopo. Je...
  16. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura wasikilize Zembwela na Kitenge, Taifa litaepuka aibu

    IJP Camillus Mongoso Wambura ni Mkuu wa Jeshi la polisi, Jeshi ambalo uwepo wake ni kuhakikisha kuwa raia wanakuwa salama muda wote. Lakini Jeshi la polisi ( si tu wakati yeye akiwa IJP) linapokuja suala la jinsi ya kusimamia mambo ya siasa, hasa haki za vyama vingine mbali ya CCM, Jeshi la...
  17. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Waziri ya mambo ya ndani, IGP na RPC wa mkoa wa Ruvuma watolewe ili kumwokoa Rais Samia kisiasa

    Jamani thinking tank ya CCM haipo? au kama ipo inauwezo mdogo sana wa kufikiri ! Ina maana wao hawaoni kuwa Samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata Lissu na kumfungulia mashataka ya uhaini. Mwokoeni Samia maana propaganda zote zimeshikakana! Njia ya kumsaidia...
  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ajali zinamaliza Raia: Ninamshauri, Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) kuwahamisha Kamanda wa Polisi wa Mikoa ya Geita, Mbeya, na Kilimanjaro

    Katika kipindi cha miaka michache iliyopita, tumeshuhudia ajali nyingi na kubwa nchini ambazo zimeleta madhara makubwa, ikiwemo mauaji na watu wengi kupata vilema vya kudumu. Hali hii ni ya kutisha na inahitaji hatua thabiti kuchukuliwa ili kuokoa maisha na kuhakikisha usalama wa raia. Kwa...
  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakifanikiwa kuwashawishi ICC kuja kuchunguza kutekwa na Kupotezwa kwa Wanachama wake na Watanzania, Rais, DGIS na IGP jiandaeni kwenda ICC

    Hivi juzi aliyekuwa Rais wa Ufilipino, Bwana Rogrigo Duterte amekamatwa akiwa uwanja wa ndege wa nchi yake kutokana na operesheni zilizofanyika akiwa Rais za kuwaua Watuhumiwa wa Dawa za Kulevya. Bwana Duterte amekamatwa kutokana na Hati ya Kukamatwa iliyotolewa dhidi yake kwa makosa dhidi ya...
  20. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania IGP tunaomba upige marufuku tabia ya polisi kuvaa mask bila sababu yoyote

    Siku hizi imeibuka tabia ya baadhi ya askari polisi kuvaa kininja na wengine kuvaa mask pasipo sababu ya msingi. Wengine wanavaa shingoni vile vitambaa kama vya masheikh/ waarab (kama alivyopenda kuvaa hayati Yassir Arafat). Askari wengi wanaopenda kuvaa hivyo ni wa kikosi cha kutuliza ghasia...
Back
Top Bottom