igp

IGP is an online retailer of personalised, floral, gourmet and handmade gifting products. The company is headquartered in Mumbai, India and has offices in India, Singapore and the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Ushauri: CHADEMA fungueni kesi Haraka sana kumshtaki IGP aoneshe Heche Alipo kabla hawajamdhuru

    Kwa hali ilivyo huyu makamu mwenyekiti wa chadema anaweza kuuwawa. Kwasabau alichukuliwa katika viwanja vya mahakama na mpaka sasa hajafikishwa tarime ni vyema mkafungua shauri mahakamani Haraka sana .kwa hali ya sasa zikipita siku 2 au 3 wanaweza kumpoteza. Hali si nzuri Tena kwa sasa Poleni...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sahihi wa kupata CDF au IGP Mzanzibari, hakuna kinachoshindikana

    Sioni ikishindikana kwa afya ya muungano kuwepo CDF au IGP kutoka Zanzibar.
  3. 4

    JamiiForums Tanzania Ombi mahalumu la kukutana na IGp , CDF , mkuu wa usalama wa taifa ikiwapendeza sio lazima.

    Wakuu kwema katika jina yule atupatiae mkate wa kila siku. Mimi ni mtanzania tena maskini tu wa kutupa ila najivunia nao maana vidole siku zote havilingani. Rejea mada tajwa hapo juu natamani kukutana na wakuu tajwa hapo juu sio kwa nia mbaya bali kutoa ushauri wangu binafsi juu ya uchaguzi...
  4. Richard

    JamiiForums Tanzania Abdurahman Kaniki angefaa kuwa IGP lakini alinaniliwa baadae akatupwa huko akawa balozi na sasa ni mstaafu na kaacha machapisho kadhaa yenye tija

    Huyu kamanda aliwahi kuingizwa kwenye kinyang'anyiro cha wale waliotajwa kuwa angeteuliwa kuwa IGP kwenye utawala wa hayati John Magufuli. Hiyo ni kwasababu huko nyuma tayari alikuwa Naibu wa Ernest Mangu aliyekuwa IGP tangu Mwaka 2013. Baadaye baada ya kufanyiwa figisu aliendelea na cheo cha...
  5. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa IGP: Sio Sawa Jeshi la Polisi Kuwabebesha Wazazi Wa Polepole Mzigo wa Kuthibitisha Kwamba Kuna Uhalifu umefanyika Dhidi ya Mtoto Wao

    Utangulizi Mheshimiwa IGP Camilius Wambura, Huwa nafuatilia utendaji kazi wa Jeshi la Polisi siku hadi siku. Matamko yako yote huwa nayasikiliza na kuyachambua pia. Barua nyingi zinazoandikwa na Msemaji wa Polisi, David Misime, ziko vizuri na hubeba weledi wa hali ya juu. Hata hivyo...
  6. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa nimeamini utekaji unaoendelea una baraka za wakubwa. Kiranja mkuu hajawahi kufikria hata kumwambia IGP ajitazame kwa yanayotokea na kuendelea

    Kilanja mkuu anajuwa utekaji huu maana wengi wamepotea hakemei wala IGP hamwajibishi , kilanja mkuu anaona haya yako sawa kabisa! Aisee hatar sana
  7. britanicca

    JamiiForums Tanzania GE2025 IGP Achana na mpango huo Mara moja

    Natoa onyo tu ! Utaaibika sana nakusihi achana na plan hiyo Britanicca
  8. R

    JamiiForums Tanzania IGP: Polisi mnaweza kufanya kazi zenu mkiwa marafiki wa Raia wema!

    Jana ilitokea ajali ya polisi kupinduka na gari na wengi waliumia na wengine hali si ya kuridhisha. mmoja amekufa ! RIP. Nimesikitika sana na sijapenda reaction ya wananchi niliowashuhudia around. Wote, wote walikuwa wanashangilia na kutoa negative sympathy kwa majeruhi. Sijapenda. Ukiwauliza...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 IGP Wambura: Jeshi la Polisi halitamvumilia mtu au kikundi cha watu, watakaojaribu kuvuruga amani ya watu kwa namna yoyote ile

    Mkuu wa jeshi la polisi nchini Camillus Wambura amesema jeshi hilo halitovumilia mtu au kikundi cha watu watakaojaribu kuvunja amani ya nchi kwa namna yoyote ile. IGP Wambura amesema hayo katika Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Agosti 11, 2025 katika Shule ya...
  10. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 IGP Wambura: Anayefikiria kuleta vurugu atafute nchi nyingine ya kwenda

    Wakuu IGP Wambura ametoa onyo kali kuhusu amani kipindi hiki cha Uchaguzi. Kasema kama unataka kuleta vurugu hama nchi nenda nyingine ukapeleke hizo vurugu Source: Uhondo TV
  11. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kumbe IGP Mstaafu Simon Sirro ni mwanachama wa CCM

    Ndio nimejua leo wakuu..
  12. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa ni nani? Alikuwepo kwa Tundu Lissu na sasa yupo kwa IGP Wambura?

    Nipo kijijini napita pita mtandaoni, naona picha za wakuu wakiwa kanisani kwa Mwamposa. Picha moja wapo iliyonishtua ni jamaa flani ambaye wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 alikuwa kwenye msafara wa Tundu Lissu. Leo jamaa yule yule yupo kwenye msafara wa IGP Wambura. Je huyu ni nani...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awapandisha vyeo Maofisa watatu wa polisi, IGP Wambura awavisha rasmi kuwa Makamishna wasaidizi waandamizi wa polisi (SACP)

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura leo Jumanne, Julai 1, 2025, amewavisha vyeo vya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura leo Jumanne, Julai 1, 2025, amewavisha vyeo vya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi...
  14. MamaSamia2025

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zambia: Naibu Mkuu wa Polisi wa zamani, Charity Katanga ahukumiwa miaka mitatu jela kwa makosa ya ufisadi

    Imetokea Zambia kama ilivyoripotiwa na gazeti la Kalemba. Naibu Mkuu wa Polisi wa zamani, Charity Katanga, anatarajiwa kuanza kutumikia kifungo cha miaka mitatu leo kufuatia uamuzi wa Mahakama Kuu ya Lusaka – Kitengo cha Uhalifu wa Kiuchumi na Kifedha – wa kuidhinisha hukumu na adhabu aliyopewa...
  15. technically

    JamiiForums Tanzania Nani mkubwa kati ya Mkurugenzi wa TISS na IGP?

    Nauliza tu maana kiutendaji Mkurugenzi wa TISS anampa maagizo mengi IGP kuliko IGP anavyompa maagizo Mkurugenzi wa TISS. Inakuwaje mtu katika utambulisho anatangulia kutambulishwa IGP? Huu ni ubovu wa katiba au Kuna changamoto juu ya uanzishwaji wa TISS ? Wanasheria nielewesheni!!
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Madeleka: IGP asiishie kupunguza matukio ya utekaji, akomeshe kabisa

    " Watu wanatekwa na juzi IGP ni shahidi nampongeza sana, kasema wamefanikiwa kupunguza utekaji, maana yake IGP anawajua wanaoteka ndiyo maana ameweza kuwadhibiti. Sasa mimi wito wangu kwa IGP, ili watu waweze kuwa na amani ya kweli, nampongeza kwa kupunguza matukio ya utekaji lakini watanzania...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Maisha Kitendawili: Ni sahihi IGP mstaafu kuwa mkuu wa mkoa, kama ilivyo sasa kwa Sirro?

    Ni kweli kwamba Kazi ni Kazi tu ili mradi mkono uende kinywani, lakini Je inawezekanaje aliyekuwa IGP akawe RC? Soma Pia: UTEUZI: Balozi Simon Sirro ateuliwa kuwa RC wa Kigoma, Kenan Kihongosi kuwa RC wa Arusha. TRC yapata Mkurugenzi Mpya Katika uteuzi ulifanyika Usiku huu Balozi Simon Sirro...
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kuna Chama kipo Kigoma tu alafu kimekuja na slogan ya Oktoba Linda Kura. CCM wamewapelekea IGP Mstaafu kuwa Mkuu wa Mkoa. Aibu yao!!

    Wakati Chadema inapambana na kampeni No Reforms No Election kwa faida ya Taifa na Wananchi wote, kuna wanasiasa wachache kwa tamaa ya fedha waliingia kwenye mitego ya CCM ili kuhujumu kampeni hii. Walichosahau hawa wanasiasa maslahi/ madalali ni kuwa CCM ni kama vampire ambaye damu kwake ni...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania IGP afanya mabadiliko ya baadhi ya Makamanda wa Mikoa leo Juni 17, 2025

  20. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia anapenda kufanya kazi kwa ukaribu na watu kutoka mkoa wa Mara?

    Jaji mkuu mstaafu Prof Ibrahim Juma ni mwenyeji wa mkoa wa Mara, Jaji mteule Maseju nae ni mwenyeji wa mkoa wa Mara. IGP mstaafu Simon Sirro ni mtu wa Mara, IGP wa sasa pia ni mtu wa Mara. ADC wa Rais Samia nae ni mtu wa Mara, pia nimedokezwa hapo ikulu kwa sasa wasaidizi wengi wa mheshimiwa...
Back
Top Bottom