idara

Idara Victor is a Nigerian-American stage, television and film actress best known for her lead roles in Rizzoli & Isles and Turn: Washington's Spies.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Tunamtaka Rais Mwinyi atengue uteuzi wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, na Idara Maalum za SMZ

    ACT WAZALENDO TUNAMTAKA DR. MWINYI ATENGUE UTEUZI WA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA, NA IDARA MAALUM ZA SMZ Chama cha ACT Wazalendo, tumepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa taarifa ya kuuliwa kwa watu wawili na Kikosi cha KVZ cha Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na mtu mmoja...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Idara ya Elimu kuanzia Julai, Agosti na Septemba 2024 aliyehusika na upandishaji wa madaraja kwa walimu aje atoe majibu

    Waziri wa utumishi na Tamisemi mnatakiwa kutoa majibu ni nani aliyehusika na hili. Umeajiriwa mwaka mmoja na mtumishi mwenzio mwingine umemtangulia lakini kilichotokea july-septemba kuna watumishi walipanda madaraja ya mishahara kwa lugha ya mserereko, waliobaki majibu yaliyotolewa na HR na TSC...
  3. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma inaonekana ni kama mtihani mgumu kwa baadhi ya Idara na Taasisi

    Dodoma ni Makao Makuu ya Nchi kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na hivyo kumekuwa na changamoto ya kutokuwepo kwa Viongozi waandamizi wa Serikali katika ofisi zao. Mwaka 2017, aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli, alitangaza rasmi kuhamia kwa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya Maji Mbeya wanazidisha dawa ya kutibu maji na kupelekea yapoteze ladha

    Idara ya maji mkoani mbeya wanaweka kiasi kikubwa cha madawa water guard hadi maji yanapoteza ladha lakini yanaleta madhara ya kiafya kwa watu maana wanaweka muda huo huo na kutumika. Ukinywa maji hutamani kunywa tena. Wizara ya Maji
  5. Ustadh tongwe

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini serikali iliamua kuiruhusu TRA iajili yenyewe wakati idara nyingine zote za serikali ikiwemo BOT ajira zinapitia Utumishi

    Hili suala la TRA kuruhusiwa kuajili wenyewe ndio mwanzo wa kurudisha enzi zile za kujazana kabila Moja ofisini hakuna ushindani wa kupata ajira, Aliemshauri Rais kuruhusu hili ametoa ushauri kwa maslahi yake binafsi kama BOT inapeleka utumishi kwanini wao wasipeleke.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ichukue hatua kwa wakuu wa idara na taasisi za umma waliokacha sherehe za Uhuru kiwilaya, hao ndio wapinzani ndani ya serikali

    Mhe Waziri Mkuu, juzi nilikusikia ukisema maadhimisho ya sherehe za miaka 63 ya uhuru wa Tanzania Bara zitaadhimishwa ngazi ya mkoa na Wilaya. Hata hivyo leo nimemsikia mkuu wa Wilaya ya Moshi akilalamika kuwa wakuu wa idara na taasisi za umma hawakushiriki kwenye mdahalo wa uhuru huko Moshi...
  7. Bams

    JamiiForums Tanzania Kwanini Sheria za Tanzania zinalenga zaidi kulinda uovu badala ya kutetea Haki?

    Nchi yetu kadiri siku zinavyoenda mbele, imeshuhudia zikitungwa sheria nyingi za kuirudisha nchi nyuma, yaani sheria nyingi zimekuwa za kuwatesa na kuwaonea wananchi. Ni sheria za kuhalalisha uovu dhidi ya wananchi: 1. Tulikuwa na sheria ya vyama vya siasa, lakini baadaye ikabadilishwa hiyo...
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Yapi Katika Haya si Kweli? Mhadhiri Kijana Anamuuliza Mkuu wa Idara ya Historia

    Kijana mhadhiri wa historia katika moja ya vyuo vikuu kanifahamisha upinzani dhidi yake jinsi anavyosomesha historia. Nimemwandikia hayo hapo chini: WAASISI WA AFRICAN ASSOCIATION 1929 NA AL JAMIATUL ISLAMIYYA FI TANGANYIKA 1933 African Association imeanzishwa na Cecil Matola (President)...
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali ifuatilie utendaji Idara ya Ustawi wa Jamii - Hospitali ya Muhimbili, ngazi ya juu hakuna Uwajibikaji

    Kwanza nianze kwa kuwapongeza JamiiForums kwa kazi nzuri mnayofanya ya kubadilisha mwenendo wa nchi yetu, kazi kubwa inafanyika na mabadiliko yanaonekana, pongezi kwa hilo. Hivi karibuni niliona habari ya MOI kuhusu yule mgonjwa ambaye alikosa huduma kutokana na uongozi kumkazia kuhusu suala la...
  10. K

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Idara ya Utumishi - Halmashauri ya Nachingwea inatuzungusha kutupa Barua za Ajira sisi Watumishi wapya

    Naomba kuwasilisha kero sugu iliyopo katika Halmashauri ya Nachingwea upande wa Idara ya Utumishi, kumekuwa na mikingamo mingi na mazingira tata katika utoaji wa barua za uthibitisho na barua za ajira kwa sisi Watumishi wa Serikalini. Hizi barua hazitolewi kwa wakati na mpaka sasa, kawaida...
  11. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania BARAZA la Madiwani la halmashauri ya Nkasi mkoani Rukwa limewafukuza kazi watumishi wawili wa idara ya afya kwa utoro kazini

    Akitoa taarifa ya kufukuzwa kwa watumishi hao baada ya baraza hilo kujigeuza na kuwa kamati mwenyekiti wa halmashauri Pankrasi Maliyatabu aliwataja Watumishi hao kuwa ni Atanasi Ignas Mgunda Mteknolojia msaidizi na Japhet Masud Kimondo ambaye ni tabibu msaidizi. Amesema kuwa Watumishi hao...
  12. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Trump amteua Elon Musk kusimamia Idara Mpya ya kuondoa Urasimu na Kuhakiki Utendaji wa Serikali

    Rais mteule wa US Donald Trump amemteua Elon Musk kuongoza Idara mpya ya Ufanisi wa Serikali (Doge) kwaajili ya utawala wake ujao. Alitangaza kwamba Vivek Ramaswamy, mwekezaji wa kibayoteki, atafanya kazi na mwanzilishi wa Tesla kwenye mradi wa "kuondoa" urasimu Serikalini US President-elect...
  13. U

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Meja Jenerali Aviad Dagan mkurugenzi idara ya huduma za computer ya IDF, alishiriki shambulizi dhidi ya Iran jumamosi iliyopita

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Maj. Gen. Aviad Dagan takes over IDF Computer Service Directorate By Emanuel Fabian Maj. Gen. Aviad Dagan has taken over the IDF’s Computer Service Directorate, replacing Maj. Gen. Eran Niv, who is retiring from the IDF after a...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Najitolea bure kwa Idara za Usalama wa Taifa zote Barani Afrika katika Kuwatafutia Watu mahiri wa kufanya Kazi huko kwani hata Israel wameshanitumia

    Vipaumbele vyangu nikipewa Kitengo cha ku Recruit Watu mahiri wa Idara za Usalama wa Taifa Barani Afrika vitakuwa... 1. Atokee kwa Wazazi wenye Akili Timamu na Koo za Watu Werevu 2. Ufaulu wa Kitaaluma ni ziada ila Akili ya Kuzaliwa ndiyo kitakuwa Kipaumbele changu 3. Awe na uwezo wa...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Siku hizi Taasisi yenu ya 'Makumbusho' haiwezi tena Kusomesha Watumishi wake Masters na PhD's na inawataka wajisomeshe kwa Pesa zao?

    Mimi nilidhani kwakuwa Taasisi yenu hiyo ya 'Makumbusho' nchini Tanzania ina Hela nyingi (huku zingine zikiwa hazina Kazi) ambazo kamwe na Kisheria hazihojiwi Kokote basi ingekuwa pia ina uwezo mkubwa sana wa Kuwasomesha Watendaji wake wa 'Kimakumbushomakumbusho' Elimu za juu kama za Masters na...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Nahisi niliuziwa machungwa yaliyoivishwa kwa kekimikali zilizoanza kutumika Mbeya kuivisha matunda, Mungu atusaidie lakini Idara zetu zimelala mno

    N:B: Sina uhakika wa asilimia 100 kama niliuziwa chungwa lililoivishwa kikemikali ila kwa dokezo >> hili << nimepata wasiwasi Nipo Mbeya kwa wiki kadhaa, Nilikuja na mashine yangu ya kusagia juisi ya machungwa, Napenda sana kunywa juisi hii. Wiki iliyopita nilizinguka soko la soweto nilikuta...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni aongoza ujumbe kutembelea Idara ya Polisi, Zimamoto na Uhamiaji ya nchini Saudi Arabia

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ameongoza ujumbe wa Tanzania kutembelea Idara ya Polisi, Zimamoto na Uhamiaji ya nchini Saudi Arabia. Hiyo ni sehemu ya ziara ya kujifunza na kubadilishana uzoefu katika utendaji kazi wa idara hizo katika masuala ya Usalama ikiwemo...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mkuu wa Hezbollah Ahmed Wahabi anayeongoza idara nyeti ya mafunzo ya kigaidi auawa na Jeshi la Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Ahmed Wahabi aliongoza Idara nyeti ya mafunzo ya kigaidi ya Hezbollah Mungu ibariki Israel Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: One of those named by Hezbollah, Ahmed Wahabi, is identified by the terror group as a “commander.” Hezbollah rarely refers to its senior...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Viongozi wa Idara Morogoro hawajauelewa vizuri Mfumo wa PEPMIS, tunaumia sisi Watumishi wa chini

    Serikali ilinzisha Mfumo wa Public Employee Performance Management Information System – PEPMIS lengo likiwa ni kurahisisha utendaji kazi na kuweka uwazi kwa kuwa inajulikana wazi suala la Urasimu ndani ya Taasisi za Serikali zipo kwa kiwango cha juu. Kwa wenzangu ambao hawafahamu, Mfumo huu wa...
  20. Man from cuba

    JamiiForums Tanzania KERO Idara ya maji Kahama(KUWASA) hiki mnachotufanyia wakazi Nyasubi sio haki

    Naandika kwa masikitiko makubwa sana Leo ikiwa ni siku ya tatu maji hayatoki . Hakuna taarifa yoyote ya katazo la maji kwa wananchi wa kata ya Nyasubi Kahama. Tumejaribu kutoa taarifa tunajibiwa kiurahisi tu eti , Kuna matengenezo siku tatu kweli? Na bado mwisho wa mwezi bili unakuja kubwa...
Back
Top Bottom