GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 5,306
- 7,230
Angalia majiji makubwa kama Arusha, Mwanza na Dar Es Salaam! Kero zilizosababishwa na watumishi wa hiyo idara ni lukuki!
Kuna waliopokonywa ardhi isivyo halali!
Kuna waliotapeliwa!, n.k.
Kesi ni nyingi sana.
Baada ya kuona malalamiko yanayoshughulikiwa na Waziri wa Ardhi, Jerry Slaa, pamoja na wakuu wa mikoa, Makonda na Chalamila kwenye maeneo yao ya kazi, nimeshindwa kuacha kujiuliza maswali kuhusiana na watumishi wa idara ya ardhi Tanzania.
Wana shida gani?
"Wameelaniwa"?