idadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Idadi ya walipa Kodi kenya waliosajiliwa ni milion 7 TZ NI MILION 1.5

    Ewe Kenya utatuburuza mpaka lini?
  2. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Tanzania 2025: Kwa nini idadi ya wapiga kura Tanzania 'inazua maswali'?

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (INEC) imejikuta katikati ya mjadala baada ya kutangaza kuwa idadi ya wapiga kura katika daftari la kudumu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 imefikia milioni 37.6. Takwimu hizi zimezua maswali mazito kutoka kwa baadhi ya wanasiasa na wanaharakati...
  3. Parabolic

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA yalia na idadi ya wapiga kura: "Hao milioni 2.6 wametoka wapi?"

    Mkurugenzi wa Oganaizesheni, Mafunzo na Uchaguzi wa CHADEMA, John Pambalu amekosoa takwimu zilizotolewa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuwa idadi ya wapiga kura mwaka huu inafikia zaidi ya 37.6, wakisema idadi hiyo inapingana na takwimu za Ofisi ya Taifa ya Takwimu iliyotoa idadi ya...
  4. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Kwanini Idadi ya watu duniani inakaribiana Me&Ke

    Hili nijambo la kushangaza lakini ndio ukweli , pamoja na high mortality rate ya Me lakini bado idadi inakaribiana sana , kwa nchi na nchi ukikuta Me wamezidi basi haizidi 2% na ukikuta Ke wamezidi hawazidi 1% hata hivyo Science inaonesha chance kubwa ya kuzaliwa mtoto wakiume kuliko wa kike...
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Idadi ya vifo vya maandamano ya sabasaba Kenya, yafikia 43

    Idadi ya vifo kutokana na maandamano ya Saba Saba nchini Kenya yaliyofanyika Jumatatu iliyopita imepanda na kufikia zaidi ya watu 43, kwa mujibu wa takwimu mpya zilizotolewa na shirika la haki za binadamu, Haki Africa Katika taarifa hiyo mpya, mmoja wa waathiriwa wapya ni kijana mdogo, mtoto wa...
  6. Young silver

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata summary ya ufaulu form six 2025 kitaifa

    Naomba kupata summary ya ufaulu form six 2025 kitaifa, I mean idadi za one za tatu, nne, Tano n.k, two, three n.k. Plzzzzz
  7. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Idadi ya waliokufa kwa mafuriko Marekani yafikia 78

    Idadi ya watu waliopoteza maisha kufuatia mafuriko makubwa yaliyoyakumba maeneo ya kati mwa jimbo la Texas, Marekani, imefikia watu 78, wakiwemo watoto 28. Taarifa hiyo imetolewa na maafisa wa jimbo hilo.Idadi ya watu waliopoteza maisha kufuatia mafuriko makubwa yaliyoyakumba maeneo ya kati mwa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nini Kimesababisha Watia nia ya Ubunge CCM kushuka kwa idadi kutoka 10,000 za Mwaka 2020 hadi 4,000 za mwaka huu?

    Walijitokeza 10,367 nafasi za majimbo 264, CCM mwaka 2020. Mwaka huu wamefika 4,109 pekee. Nini kimejili? Sababu zinaweza kuwa; 1. Kukosekana mvuto kwa CCM, 2. Rushwa kutamalaki, 3. Kanuni za kura za maoni kutokuwa rafiki kwa Watia nia, 4. Na kadhalika.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Kwa hiki kibaridi ! mwezi wa tatu na wa nne hauwezi kuwa na mpinzani kwa idadi kubwa ya watoto wanaozaliwa.

    Kwa hiki kibaridi mwezi wa tatu hadi wa nne utaendelea kuwa na rekodi ya foleni kubwa wodi za kujifungua
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Idadi ya CCM vs Idadi ya chadema.

    😀😀 Ila CCM bana Yaani mmeandikisha hadi watoto wa shule mmefika milioni 13 Sasa na Chadema kupitia uandikishaji wao wamefika mil 18 na mnaona umati wakati CCM wanasomba hadi wavuta bangi 🤣 Hii imekwisha! CCM kama mna wanachama milioni 3 serious mmejitahidi
  11. W

    JamiiForums Tanzania Wakoloni waliyahusisha baadhi ya makabila kwenye Elimu, Ulinzi, Dini na Uongozi, kwanini wasukuma hawakuhusishwa licha ya idadi yao kubwa ?

    Nimekuwa nikijiuliza hili swali tangu nikiwa Sekondari na sijawahi kupata jibu. Wakoloni walikuwa wanahusisha baadhi ya jamii kwenye elimu, Biashara, Uongozi, Kueneza Dini, Ulinzi, n.k. lakini inashangaza kuona wasukuma ambao ni kabila kubwa zaidi hawakuhusihwa, why ? Ni kwamba nje ya...
  12. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Mbinu ya Simba kupunguza idadi ya magoli ya kufungwa leo

    Yaani wajitahidi wafungwe angalau 3 tu maana inaonekana kuna baos 5.na mbinu pekee ya kuwasaidia ni kukabia juu sana. Wakakabie katika goal la Berkane kabisa. Yaani Simba wakakabe hasa lango mwa Berkane mpira usiwe unavuka hata ile D Sababu ukivuka tu bao. Simba hawana kipa. Wana shati tu pale...
  13. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Idadi kubwa/Wingi wa vijana Afrika fursa au mzigo?

    Afrika ni bara lenye vijana wengi zaidi duniani, huku zaidi ya 60% ya watu wake wakiwa chini ya miaka 25 (UN, 2023). Naija inaongoza, 56.9% ya watu wake wana umri chini ya miaka 18, ikifuatiwa na Uganda yenye 55% (UNICEF, 2024). Swali ni: Je, idadi hii ya vijana ni fursa au mzigo? Changamoto...
  14. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Kwenu BRT, sababu ya kampuni yenu kushuka viwango ni tabia ya kupakia idadi kubwa ya abiria inayozidi nafasi za viti vya kukalia (seats)

    Kwenu BRT, sababu ya kampuni yenu kushuka viwango ni tabia ya kupakia idadi kubwa ya abiria inayozidi nafasi za viti vya kukalia (seats) Tafadhali BRT rejeleeni muongozo wa waundaji wa basi zenu. Muongozo unasema abiria waketi katika seats na sio kusimama, vile vile eneo la milango na korido...
  15. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israel sasa yafikisha idadi ya watu Million kumi

    Katika mkesha wa Siku ya Uhuru Israel kufikisha miaka 77 , idadi ya watu inasimama kwa watu milioni 10.094: kati yao • Wayahudi milioni 7.732 na wengine (77.6%) • Waarabu milioni 2.114 (20.9%) • Watu wengine 248,000 wasio Waarabu (2.5%) Tangu Siku ya Uhuru iliyopita, idadi ya watu wa...
  16. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Screeshots thread: Idadi yako kubwa ya WhatsApp status views

    Mzuka! Kama hutojali, turingishie kwa picha idadi kubwa ya status viewers unazopata/ulizowahi kupata. Mimi binafsi ni 000 digits, sijawahi fika 0000. (Ila picha sina). Mufti kuku The Infinity BICHWA KOMWE - Maghayo #Uzi_Tayari
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wiki hii HAMAS walikubali kuwa walidanganya kuhusu idadi ya vifo vya watoto na wananchi wengine huko Gaza. Kwani ni kipi kilicho kweli juu yao?

    Matapeli hawa hadi walivalisha wapiganaji wao nguo za waandishi wa habari, israel ilioogundua na kuwa eliminate, dunia ikasema kuwa israel inauua waandishi wasio na hatia. Matapeli hawa hadi walivalisha wapiganaji wao nguo za wafanyakazi wa UN, Israel ilipo wa eliminate, dunia ikasema kuwa...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Miaka 20 iliopita mtu angekuambia kuwa kuna watu Tz hii hawaamini Mungu yupo ungemcheka sana ila sasa idadi imekuwa maradufu. Ipi inaweza kuwa sababu?

    Exposure ktk elimu, sayansi na Tech? Kuathirika na utapeli wa kidini? Exposure ktk Atheism literature? Globalism na World wide sharing? ????????????????????????????????
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania TikTok yashtushwa na kushangazwa na idadi ya wasukuma katika mtandao wao. Waongoza kwa kutengeneza content

    Hakika si kilimo tu, sasa wameingia katika dunia ya teknolojia ya habari na mawasiliano kwa kasi kubwa.
  20. Setfree

    JamiiForums Tanzania Anayejua idadi kamili ya nywele zake aniambie nimpe zawadi !!

    Ni ajabu sana mpaka leo, wanasayansi hawajaweza kujua idadi kamili ya nywele za mtu. Wana-estimate tu. Scientists and researchers estimate the average number of hairs based on hair type and color. On average: Blondes: ~150,000 hairs Brunettes: ~110,000 hairs Black hair: ~100,000 hairs Redheads...
Back
Top Bottom