idadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kagoshima

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wamekwepa kutaja idadi ya vituo vya kupigia kura vilivyochomwa

    Hawa watu hawa! Wameona wakitaja ifadi ya vituo vya kupigia kura vilivyoharibiwa wana confirm kile watanzania wanasema kwamba ile asilimia 97 ni mtu.tu.alijiandikia.na kutangaza
  2. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu atoa idadi ya Vitu na miundombinu iliyoharibiwa katika vurugu za Oktoba 29

    Akizungumza na Wahariri wa vyombo vya habari leo Novemba 25, 2025 Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba ametaja tathmini ya awali ya miundombinu ya serikali na vitu vya wananchi binafsi vilivyoharibiwa wakati wa vurugu za Oktoba 29, Ameonyesha kusikitishwa na...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wameua watu wengi hadi wanaogopa kutaja idadi wa watu. Tukutane ICC

    Walianza na singeli kuwa waandamanaji ni watu wa nje Wakaja na singeli kuwa waliahawishiwa Wakamalizia na singeli kuwa wamelipwa. Mara eti wamechoma mali, mara wameua polisi. Wanaulizwa swali moja tu. Mmeua wangapi ? Wanashindwa kujibu. Uzuri mshaelekea kibra na ICC wanawasubiri kwa hamu...
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN

    Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN. Madowo anapiga kwenye mshono huko kuelekea hotuba ya serikali kuhusiana nankilichotokea oct 29 swali je kwa siku zote hizo 25 serikali ilikuwa haijui...
  5. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wenje: Idadi ya vifo vinavyoripotiwa havijathibitishwa, tayari serikali imeweka mikakati ya uchunguzi na maridhiano

    Aliyekuwa Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye sasa ni mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ezekiel Wenje, akizungumza katika mahojiano maalum na Televisheni ya Kenya, TV47, amezungumzia kuhusu machafuko yaliyoikumba Tanzania wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hajui Idadi ya Wabunge wa Serikali yake

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Novemba 18, 2025 akiwa katika hafla ya uapisho wa baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino Dodoma ameshindwa kujua idadi ya wabunge ambao wapo katika Serikali yake
  7. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Diamond aweweseka, aanza kununua maroboti yamjazie idadi ya followers

    Dozi inaanza kumuingia taratibu Diamond, kila akipost hapati comments wala like za kutosha kama mwanzoni hivyo inadhihirisha nguvu yake ya ushawishi inazidi kuporomoka. Kuna post mbili alipost kupromote nyimbo zake na zote hizo post kapata mwitikio mdogo. Kaja na drama zake na kizuchu wake...
  8. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Watu wengine 25 waongezwa kwenye mashtaka ya Uhaini Dodoma, idadi yafikia 187 nchi nzima

    Watu wengine 25 wameongezwa kwenye mashtaka ya Uhaini Dodoma, idadi yafikia 187 nchi nzima. Awali, watu 17 walipandishwa kwenye mahakama hiyo hiyo ya Hakimu Mkazi Dodoma. Kwa sasa, mahakama ya Hakimu Mkazi Kisitu ina watuhumiwa 145 na Hakimu Mkazi Dodoma ina watuhumiwa 42. Pia soma GE2025 -...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Idadi ya polisi Tanzania.

    Wadau naomba niulize jambo. Idadi ya watanzania kwa makisio ya sensa, kwa mwaka 2025 ni millioni 67.5. wanaume ni zaidi ya millioni 30, vijana wakiwa wengi zaidi. Idadi ya polisi kwa makadirio ya umoja wa mataifa ni karibu elfu 40 tu. Yani 40,000. Sasa jumlisha ata na vyombo vingine mfano jeshi...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Afrobarometer: Idadi ya wanaotaka utawala wa kijeshi ni kubwa kuliko wanaotaka demokrasia

    Tafiti za Afrobarometer zimeonesha chini ya 50% ya Waafrika Kusini wanapendelea demokrasia kuliko aina nyingine za utawala. Kwa mara ya kwanza katika kipindi cha zaidi ya miaka 25 ya tafiti nchini Afrika Kusini, idadi ya raia wanaounga mkono utawala wa kijeshi ni kubwa kuliko wale wanaoupinga...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Idadi ya SMS ndani ya nchi yaongezeka 💬kutoka Bilioni 52.8 (Juni 2025) hadi Bilioni 52.9 (Septemba 2025)

    Idadi ya SMS ndani ya nchi imeongezeka kutoka SMS bilioni 52.8 mwezi Juni 2025 hadi kufikia bilioni 52.9 mwezi Septemba 2025 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 0.2. Kwa mujibu wa ripoti ya takwimu ya sekta ya Mawasiliano ya robo mwaka inayoishia Septemba 2025 inaonesha kuwa Mwezi Septemba...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Idadi ya vituo vya kura ni vingi kuliko Polisi

    Usikubali kusogeza au kurudisha maandamano nyuma. Nchi nzima wakiandamana kwenye vituo vya kura uchaguzi hakuna. Polisi hawatoshi na wakipiga mabomu wanatawanya wapiga kura wao, nakuwajeruhi
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ijue idadi ya Polisi Nchi nzima, na kwanini Polisi hawana uwezo wa Kuzuia Maandamano na Kusimamia Uchaguzi

    Taarifa ninazozitoa hapa zote ni takwimu rasmi za Serikali. Kwa nini Polisi hawana uwezo wa Kuzuia Maandamano na Kulinda/Kusimania Uchaguzi na kulinda Usalama wa Raia kwa wakati mmoja. Vituo vya Kupigia kura nchi nzima vipo 99,895 ambapo Tanzania bara kuna vituo 97,348, Tanznaia nzima ina...
  14. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Game imeisha. Simba watakachoweza ni kupunguza idadi ya Magoli

    Watake wanafungwa, wasitake wanafungwa. HAMNA NAMNA WATAEPUKA KIKOMBE HIKI. YANGA TUMEKWEPA MITEGO YAO YOTE.
  15. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwanini idadi ya wanasiasa na wachumia tumbo watumiao dini imeongezeka?

    Kwanini tuna wachungaji, mashehe, wanasiasa na matapeli wengine kama hao barani Afrika kuliko mabara yaliyoendelea kiuchumi? Je, wingi wa makundi haya unatufundisha au kututahadharisha na nini? Kwanini Afrika ina makanisa mengi sambamba na watu maskini wengi? Kwanini nchi zilizoendelea zina...
  16. Mafunzo ya Udereva

    JamiiForums Tanzania Ukiongalia idadi ya Guests ambao wapo online , ni kubwa sana leo licha ya watu kutumia VPN

    Muda mwingine serikalini kuna watu wanashangaza hawaoni kuwa wameipa Promo JF ya bure Ebu tazamane maudhurio yalivyo Makubwa Leo muone wenyewe.
  17. toto2000

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya mgombea urais CCM Kibaigwa-Dodoma

    "Kibaigwa tumeshuhudia historia ikijengwa—umoja na maendeleo mbele kwa mbele! ✊🌍
  18. kadiri kasimba

    JamiiForums Tanzania Wajue wanawake na wanaume waliovunja rekodi ya kufanya mapenzi na idadi kubwa ya watu duniani!

    Orodha fupi ya wanawake waliowahi kudaiwa kuvunja rekodi ya kuwa na wanaume wengi zaidi kimapenzi (hasa kupitia filamu au matukio ya watu wazima): Wanawake waliotajwa kwenye rekodi za “gang bang” Annabel Chong (1995, Los Angeles, Marekani) Alidai kufanya ngono na wanaume 251 mfululizo ndani...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Kama watu wanaweza kutekwa na wasijulikane milele kwa idadi kubwa namna hii kuna haja gani ya kuwepo vyombo vya ulinzi nchini?mlinzi wa raia ni nani?

    Hatari sana hii na vyombo naona vimesha uzoea huu utaratibu kuwa ni wakawaida na mbaya zaid jamii nayo imesha ona ni kawaida si jambo la kuogopa tena , sasa nadhani labda huu mchezo uhamie kwa watoto wa vigogo na makada wa CCM na familia zao huenda tutapata jibu
  20. funaku

    JamiiForums Tanzania Idadi ya mashahidi ni 30 vielelezo ni 9

    Hii kesi nilihisi ni kama mzaha lakini kwa Hii idadi ya mashahidi iliyotajwa ni wazi kesi hii sio ndogo kama baadhi ya watu wanavyohisi. N.B Wakili wa Serikali amewasilisha idadi hii ya mashahidi na vielelezo. paschal mayalla
Back
Top Bottom