ibada

Ibadah (Arabic: عبادة‎, ‘ibādah, also spelled ibada) is an Arabic word meaning service or servitude. In Islam, ibadah is usually translated as "worship", and ibadat—the plural form of ibadah—refers to Islamic jurisprudence (fiqh) of Muslim religious rituals.

View More On Wikipedia.org
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Je, kusimama wima wakati wa kushusha na kupandisha bendera ni ibada ya sanamu?

    Eti wakuu, kulingana na mafundisho ya dini, kusimama wima wakati wa kushusha na kupandisha bendera ni ibada ya sanamu?
  2. Superbug

    JamiiForums Tanzania Yule anayepiga simu wakati maongezi yanaanza, taarifa ya habari, ibada au mikutano ni kivuruge anayeudhi

    Kuna watu huwa wanaudhi sana, yaani anaweza asikupigie simu muda mrefu sana au hata kama anakupigia mara kwa mara lakini mara nyingi kuna watu fulani hupiga simu punde tu maongezi yanapoanza.. Mfano anapiga simu mara tu mnapoanza maongezi au mikutano, ibada, taarifa ya habari au kugegedana, na...
  3. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Tarehe 17/11/22 nitaongoza Ibada ya kuombea mvua. Wote mnakaribishwa

    Heshima kwenu wanajamvi. Mimi Ngongo pamoja na Katibu wangu tarehe 17/11/2022 nitaongoza Ibada ya maombezi kuombea mvua inyeshe sehemu kubwa ya JMT. Hapatakuwa na sadaka ya kuteketezwa wala sadaka kama zile za Mwamposa, Kakobe, Mzee wa Upako aka Bapa. Baada ya maombezi mazito natarajia tarehe...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wakikataa kumfanyia ibada ya mazishi nduguyo Niite Mimi nitamfanyia bure kabisa

    WAKIKATAA KUMFANYIA IBADA YA MAZISHI NDUGUYO, NIITE MIMI NITAMFANYIA BURE KABISA. Na, Robert Heriel Kuhani Huna haja ya kuwa mnafiki Kwa kuogopa hautazikwa. Tupo ambao tunajua kuendesha Ibada za namna yoyote Ile na zikafanikiwa Kwa kiwango cha juu Kabisa. Kwanza elewa kuwa hata usipozikwa...
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Polisi waingia mkataba wa milioni 50 na kanisa kuiombea timu

    Uongozi wa Klabu ya Polisi Tanzania umeingia mkataba wa mwaka mmoja wenye thamani ya Sh 50 Milioni na Kanisa la Kingdom Embassy (HPCC) la jijini Dar es Salaam ambao ni maalumu kwa ajili ya kupatiwa maji ya kunywa, fedha na maombi timu inapocheza popote kuhakikisha kwamba wanafanya vizuri zaidi...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ibada ya kumtukana shetani

    Jana nilialikwa kwenye kanisa moja hapa jijini. Kanisa la watu wa Afrika ya Kati, kulikuwa na ibada maalum ya kumtukana shetani kwa mateso anayowapa wanadamu, aiseee jamaa wanatukana kudadeki. Sikufanikiwa kumaliza ibada aisee..... kwa kweli sio kila kanisa ni la Kristo
  7. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kuzikwa kwa ibada za dini tulizonazo au kuzikwa kipagani kuna manufaa gani kwa marehemu?

    Mwezi uliopita, nilihudhuria mazishi ya rafiki yangu mmoja. Kutokana na maisha yake aliyoishi hapa duniani, alikuwa haendi jumuiya, wala kutoa michango ya huko anakoabudia. Umauti ulipomfika, kukawa na utata; kule kwenye dhehebu lake wakakataa kumzika, kwa sababu alikuwa haudhurii jumuia, wala...
  8. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Ibada ya leo ina mahubiri.makali sana

    Dah haya maneno ni makali.mno
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuna binadamu asiyekufa? Kwanini tusikitike wakati kifo ni lazima na ibada?

    samia_suluhu_hassan Nimesikitishwa na taarifa za kifo cha Malkia Elizabeth II. Kwa niaba ya Watanzania wote, natuma salamu za pole kwa Familia ya Kifalme na raia wote wa Uingereza. Malkia atakumbukwa duniani kote kama nguzo ya Amani, Umoja na Utulivu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwamposa jitahidi uwe unamaliza ibada zako saa 12 kamili, unawatesa waumini wako na usafiri mgumu wa kurejea makwao

    Ninavyoandika hivi kuna Waumini wako (Mabinti na Wamama) wanarandaranda tu Kawe Stendi, Maringo na Ukwamani wakikosa Usafiri hivyo Fisi tuliopo Leo tumepata Nyama za Bure za Kula kwani tutawahifadhi Makwetu na Maghettoni na Kesho watakupa Ushuhuda wa Kubeba Mimba kwani Wengine tuna Mbegu Kali...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nifanye ibada kwa njia ipi ili Mungu wangu ajibu maombi yangu kwa haraka?

    Mwenzenu nina shida ya haraka, ambayo nikiweza kutatua ndani ya siku 3, maisha yangu yatakuwa yamefunguliwa upya. Kila nikiwaza binadamu gani wa kunisaidia simuoni. Tumaini ninaloliona ni kupata msaada toka kwa Mwenyezi Mungu. Wana bodi, nifanye ibada gani Ili Mungu anisaidie kwa uharaka?
  12. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Padre afariki akiendesha Ibada ya Mazishi Mtwara

    Mchungaji wa Kanisa Katoliki kijiji cha Liputu, Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara, Laurence Milanzi amefariki Dunia maeneo ya makaburini alipokuwa akishiriki mazishi ya mwanakijiji mwenzao aitwae Daudi Veno Mashuhuda wa tukio hilo wanasema mchingaji huyo alianguka ghafla wakati...
  13. Inside10

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Askofu Mwaikali wasusa ibada Mbeya

    Mbeya. Baadhi ya waamini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde usharika wa Ruanda, wanaomuunga mkono Askofu Edward Mwaikali aliyeondolewa katika kanisa hilo, wamesusia ibada kwa kile kinachoendelea juu ya mgogoro katika kanisa hilo. Hatua hiyo imekuja baada ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Sekretariet ya ajira katika utumishi wa umma kuendesha usaili siku ya ibada Jumapili

    Huku ni KUPITILIZA na tunasema HAIKUBALIKI KABISA. Haiingii akilini watu na akili zao kuamua kutokuheshimu kwa makusudi imani ya watu ambao wanapaswa kuwa kwenye ibada KANISANI na kuipanga siku hiyo kuwa ni siku ya kuwasaili waombaji wa ajira. Ina maana wanaoendesha usaili huu kama ni wakristo...
  15. Rabonn

    JamiiForums Tanzania Utandawazi kwa viongozi wa nyumba za ibada, mchungaji wangu amenifikirisha sana

    Wadau habar za asubuhi, niwatie moyo katika shughuli zenu za ujenzi wa taifa na wale mlioko kwenye harakati za kutafuta mkate wenu wa kila siku, one day yes mtatoboa tuu, endeleeni kupambana bila kukata tamaa..Kwa waajiriwa pia, usiache kumtumikia kafiri ili upate ujira wako. Habari hii ni...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Sahihi kwa Muislamu kuingia na Kufanya ibada ndani ya masinagogi yanayotumiwa na Wayahudi?

    Hamjamboni Ndugu zangu wote na hongereni kwa kuchapa Kazi Ni sahihi kwa Muislamu kusali ndani ya masinagogi yale yatumiwayo na Wayahudi kwa ibada? Karibuni tujadili mada hii wapendwa na kupeana Elimu kwa faida yetu sote
  17. Jackwillpower

    JamiiForums Tanzania Kwanini hutakiwi kucheza ndani ya majengo ya ibada?

    Habari wapendwa katika Kristo!!!! Suala la kucheza katika majengo ya ibada limekuwa ni changamoto katika madhehebu mengi ya Kikristo, na kwa kadri siku zinavyozidi kusonga mbele hali ya kucheza inazidi kuvuka mipaka na kufanana na Ulimwengu, yaani imefikia wakati sasa imekuwa ni vigumu...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Bondia Mwakinyo hajui anachosimamia! Amegeuka Tena.

    Habari Wakuu! Mwakinyoni mpiganaji mzuri lakini moja ya udhaifu wake ni majivuno ambayo hayana manaa yoyote kwenye kazi yake. Kwenye masumbwi yapo majivuno yenye maana katika ubondia lakini Kwa mwakinyo majivuno yake nayaona Kama hayana maana kwani hayamsaidii lolote. Siku za nyuma Mwakinyo...
  19. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ibada ya kusali huku mkizunguka kitu(Circumambulation) ni upagani?

    Hii ishu ya kusali mkizunguka kitu ipo karibu katika dini zote kubwa duniani. Wakristo hufanya hivi. Wakatoliki husali kwa kuzunguka sanamu ya Bikira Maria, Yesu, au mtakatifu mwingine. Huzunguka mara tatu kama ishara ya utatu mtakatifu. Wabuddha na wahindu na nao husali namna hii ya...
  20. blogger

    JamiiForums Tanzania Kuna waamini wanapata raha sana ktk hizi nyumba za ibada wanapoenda abudu.

    Hivi unaweza kosa ibadani kweli. mungu ka huyu anapoongoza ibada..😂😅😆🤣🤣
Back
Top Bottom