huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, Mungu huwa anaongea na Wanadamu? Je, kwanini haongei na kila mtu?

    Haya maneno Mungu ameniambia, au wakati mwingine nimefunuliwa, yamekuwa maneno ambayo hutumiwa sana na watu kuonyesha wamepata ujumbe kutoka kwa Mungu. Swali langu, kwanini Mungu haongei na kila mtu? Wote tuna mahitaji, iweje aongee na watu wachache tu?
  2. JamiiForums Tanzania Hata tupoteze watu elfu, wale jamaa huwa hawakatizi safari.

    Viongozi watanzania huwa hawajali. Hata mfe mamia au maelfu kwenye ajali moja hawawezi katisha safari zao, sembuse makumi. Shida huwa hakuna uwajibishaji. Utawasikia wapiga tarumbeta wao wakikwambia kwani akifupisha ziara, atakuja kuwafufua wafu? Au wewe bwege wajua faida ya ziara? Tuna...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini wengi wa wanaoenda Marekani kutafuta maisha huwa wanarudi hawana kitu na kama vile kisaikolojia hawako sawa?

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba tujadili hili. Binafsi nimekulia kwenye mkoa wa kitalii ambapo nimeshuhudia vijana wengi wakienda ughaibuni kutafuta maisha.. Arusha na Ulaya zina uhusiano mzuri. Vijana kwenye utalii hupata fursa za kwenda huko. Pia wanamichezo kupitia riadha...
  4. JamiiForums Tanzania Mikataba 15 iliyosainiwa huko China iangaliwe kwa umakini mkubwa, Wachina huwa hawakosei

    Mikataba
  5. JamiiForums Tanzania Wanaume wanaofika mshindo mara mbili pekee huwa na afya ya mwili na akili kuliko wale wanaozidisha

    Mtaalam wa saikolojia ya mapenzi na kungonoka ambaye amefanya Exclusive Interview nami GENTAMYCINE amesema kuwa 99% ya wanaume ambao hupenda kubandua (kutia ) bao mbili tu, huwa na afya njema na akili zao kuwa kubwa kuliko ile mipopoma inayopenda kufanya goli tatu (hat-rick ) au zaidi, ambao kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kama ni kweli hii ndiyo sababu siku nyingine wanatutaka tumalize haraka

    Wataalam wa Saikolojia ya Mapenzi (mibanduano) wanasema kuwa ndani ya mwezi ni siku sita ambazo wanawake hutamani kupenziwa (kubanduliwa) na wanaume ila siku zingine zote huwa hawajisikii hamu. hivyo ni kama vile wanaume wengi huwa tunapiga punyeto tu ndani ya mbunye zilizo mbele yetu. Sasa...
  7. JamiiForums Tanzania Je, huu Utamaduni 'Unaoboa' huwa ni takwa la Kikatiba, la Kiserikali, la Kichama ( CCM ) au ni la Kujipendekeza tu?

    Utamkuta Waziri, Mkuu wa Mkoa na Wilaya pamoja na Watendaji wengine kila wakiwa wanatolea Ufafanuzi wa Jambo fulani wakiwa Wanahojiwa na Waandishi wa Habari ni lazima tu Watalazimisha kumtaja Rais wa Nchi (mfano wa sasa Samia) na hata kwa Wengine waliotuongoza Watanzania huko nyuma. Hivi kwani...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi hawa marefari kwenye NBC league Huwa wanatolewa wapi?

    Ni mambo ya ajabu kweli. Hawa waamuzi ni wa kiwango Cha chini sana, tena hawana ushawishi kabisa. Carrier ya waamuzi Kwa hapa nchini ni kizungumkuti. ............. Mwamuzi wa mechi ya leo kati ya Simba SC na Yanga ameboronga sana kimaamuzi. Katoa kadi bila...
  9. JamiiForums Tanzania Ukiona unajisikia vibayavibaya huwa unafanyaje?

    Mimi nikiona nipo hovyohovyo tu ....sijui najisikiaje .... nawagombanisha shabiki wa simba na Yanga halafu nakaa pembeni nikishuhudia wakizozana, gombana au toboana macho kama siku ya leo hii 😂
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nadharia ya kiongozi dhaifu huwa hajiamini na anapenda kusifiwa. tu. Je, ipo ama ni kauli fariji? The Paradox of Contemporary Dimensions

    Hello, dhamana ya uongozi ni baraka itokayo Kwa Mungu na watu wake, Kwa kuwa haitatokea tukawa wakamilifu kama Mungu, tukubali mawazo mbadala kinzani, yawe matamu, yawe machungu, tuyabebe, ukichukia kukosolewa maanake wewe ni wa jehanamu. Mungu hapendi kukomoa tujisahihishe, tumbili nao ni...
  11. JamiiForums Tanzania Ogopa sana ukienda Kucheza Ugenini tena kwa Waarabu halafu ukapokewa vizuri kwani huo huwa ni Mtego

    Kuna Mpuuzi Mmoja nimemsikia ( kwa sasa nimemsahau Jina ) akisema tena kwa Kufurahia na Kuwapongeza Wenyeji kuwa wamepokelewa vyema. Na kwa tunaowajua vyema Waarabu ( hasa Timu zao ) ukiwa ni Mgeni ukienda huko huwa Wanakukarimu mno na wala hawakufanyii Fujo, ila Shughuli yao utaiona Siku...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa upande wangu huwa nawaona wanao zipinga dini za uislamu na ukristo kama binadamu walio firisika akili

    Kumradhi kama kuna ambaye nitamkwaza lakini huu ndio ukweli Watu wengi wamekuwa na kasumba hii...... Anauchukia uislamu ama ukristo kwa sababu tu asili yake sio Afrika na badala yake ni dini zilizo letwa tu At the same time anasema sijui dini zetu za asili tunazikataa na kuziona hazifai...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini ajali nyingi zinazotokea mataa Mbezi Beach huwa zinaua tu Vijana walioanza kufanikiwa kimaisha na kiutajiri?

    Karibia 85% ya Ajali mbaya zinazotokea hapo Mataa ya Mbezi Beach Jirani na Kanisa la KKKT huwa zinachukua tu Uhai ( Zinaua ) Vijana ambao Wameshaanza Kutusua ( Kutoka ) Kimaisha. Na kwanini zote ziwe ni eneo hilo hilo na hapo hapo Mataa upande wa Barabara ya Kuelekea Rainbow au pale kwa CDF...
  14. JamiiForums Tanzania Nimeyakanyaga kwa mtoto wa kishua, napasuka kibunda kujifanya ninazo

    Nipo Mbeya kikazi hapa naishi karibu na mbuga ya mabinti wa vyuo takribani vitano huku maeneo ya forest. Ukitaka mwendo tia gia havijileti, kidume nimejikoki kwa pisi kali ya chuo lakini mziki naopitia siyo poa. Nilitaka nipige na kusepa lakini wahenga walisema ukionja asali huwezi kutosheka...
  15. JamiiForums Tanzania John Bocco huwa anaingizwa kufanya nini kwenye mechi za kimataifa?

    Bocco anayo rekodi nzuri pale Simba na hakika mchango wake ndani na nje ya uwanja hauwezi kusahaulika. Ila kwasasa ni vizuri uhalisia ukazingatiwa, John umri umemtupa mkono. Mechi za kimataifa zinataka kasi na umakini mkubwa. Leo amepoteza mipira mingi sana kwa dakika chache alizocheza...
  16. JamiiForums Tanzania Huwa tunakuwa nao huu Ujinga sana linapokuja suala la Waarabu na Wazungu. Wao wanatuonesha kitu...

    Tena niseme afadhali na baadhi ya waswahili huwa wanaweza wakosoa vizuri tu Wazungu ukiacha wale wajinga wachache ambao nao huwa hawaoni makosa kwa wazungu. Kuna Sisi waswahili wengine wapumbavu choka mbaya hutuambii kuhusu waarabu. Yaani hata kwenye match tukicheza nao wakitufanyia uhuni...
  17. JamiiForums Tanzania Huwa inataka moyo sana kusikiliza maneno na hotuba za hawa watu

    Mmojawapo ni Kikwete, huyu ndugu niliwahi msikiliza mara moja alipochaguliwa kuwa Rais nikaona daah, ndiyo basi tena. Nilikuwa sahihi. Toka siku hiyo sikuwahi pata nafasi ya kumsikiliza kabisa. Huwa sioni kama yupo "serious". Nlikuwa na msikiliza Nyerere, Mkapa na Mwinyi. Bora ni Nyerere...
  18. JamiiForums Tanzania Watu wengi wa Dar huwa wanajua huku Mwanza ukiwa na buku unapata ndoo ya samaki

    Watu wengi hapo mjini Dar huwa wanadhani huku Mwanza samaki ni bei rahisi, yaani wanafikiri ukiwa na buku unabeba mzigo wa kutosha kumbe wapi. Mtu akisikia unaenda Dar ukitokea Mwanza kila mtu utasikia anasema niletee samaki. Jitahidini kabla ya kuagiza kuletewa samaki mtume na hela ya...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
  20. JamiiForums Tanzania Tabia ya kumtext mtu au kuanza mazungumzo kurupu anasema nipange au niambie huwa inakera sana

    Moja kwa moja.. Huu mtindo umeshamiri haswa kwa vijana unakuta mtu ameanza kukutext au wewe umeanza kumsalimia baada ya kujibu text yake inayofuata "nipange "au "niambie" mimi mara nyingi hapo huwa mwisho wa kuchat isipokuwa kwa wachache ambao ninawajua kuwa bado Wana utoto. Leo hii mshikaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…