huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. Ni kwanini Mahafali ya Wahitimu wa Usalama wa nchini 'Northern Malawi' huwa hayatangazwi wala hatuonyeshwi kama yale ya Chuoni Lindumo?

    Nijuavyo ni kwamba Wote hawa ni wana Medani sasa ni kwanini hawa wa Lindumo Military Academy wakiwa wanafanyia Mahafali yao Wananchi wote wa hapa nchini Northern Malawi huwa tunaona na hata Kutangaziwa, ila wale wa Usalama Vyuoni Kwao Nimbwe .Ndilima, Madodo na JanguU huwa hatutangaziwi na wala...
  2. H

    Ni kwanini wanawake wengi huwa wapole sana pale wanapoihitaji ndoa ila wakishaipata wanakuwa wakorofi

    Maisha ni safari na msafiri ni mimi na wewe, katika Maisha kuna kuzaliwa, kukua then kufa, wale wenye bahati kama sio walio imara huoa na kupata chance ya kuproduce their offsprings , hii ni KWA kila kiumbe japo huko mwituni huwa hatuiti ndoa. Mwanzoni huba huwa la kushanta kama siyo kuzidi...
  3. Kuna siku huwa zinaflow vizuri hadi unapenda mwenyewe

    Yani kuna ile siku hukua na kazi nyingi, mfukoni pako vizuri, jioni bia mbili hivi uhakika.. by saa moja umeisha ingia bafuni, unaweka mwili safi, then unatupia unyama flani hivi ambao huwa unauaminia sana.. unawakaaaa yani. simu ina bando hadi la hakiba.. Unamaliza kula msosi mzuri by saa 2...
  4. Kwanini nguruwe huwa wachafu sana?

    Kama unawajua vyema, nguruwe ni moja ya wanyama wasafi na wenye akili sana duniani. Sasa kwanini wanasifa ya kuwa wanyama wachafu sana? Kuna mawili. 1. Nguruwe huwa hawana tezi za kutolea jasho. Wala hawawezi kupunguza joto kwa kutoa ulimi kama mbwa. Hilo linafanya wahitaji mazingira yenye...
  5. Hivi mishahara kwenye NGO za kimataifa huwa ni kiasi gani?

    Mfano NGO kama DANIDA, SIDA na nyingine za aina hiyo huwa wanalipa mishahara kiasi gani kwa nafasi let's say kama ya Finance officer?
  6. Siasa zetu huwa kwenye kiwango chake, mdahalo mkali ujao baina ya wagombea Urais

    Napenda sana siasa za kihivi, pale ambapo hakuna uhakika nani ataukwaa urais, wagombea wote kila mmoja anajinadi kwa kila namna. Mdahalo umeandaliwa baina ya wagombea urais ambapo watapambanishwa kwa hoja kila mmoja aeleze kwanini tumchague yeye. Watatumia jukwaa moja na itakua mwendo wa...
  7. D

    Vijana tambueni na hili katika ajira; Uwezo mdogo nayo huwa ni CV tosha (incompitence) na Afrika Inalipa zaidi kuliko Ubobezi

    Siyo kila mwajiri huwa anahitaji watu nguli katika fani! Kutokukizi vigezo ni moja ya CV inayoangaliwa zaidi na baadhi ya waajiri hususani nchi za afrika! Nawakumbusha Vijana wakati mnapojitutumua kupandisha mabea CV mkumbuke pia hata CV mbovu na dhaifu INALIPA ZAIDI! Hii mada haihusiani na...
  8. Unamchukuliaje mtu anayejipost post whatsApp status?

    Binafsi huwa siamini mtu anajipost kwa siku picha kumi yeye tu kiukweli sijajua kama ndio matumizi ya status tena kwa kidume ni kukoswa kazi
  9. M

    Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa huwa wanajua wazi kabisa wake zao wanapigwa nje ila wanajikausha

    Wanawake ni watu wa kutongozwa na wao pia huwa wanatongoza. Wanaume kibao tu huwa wanajua wanapigiwa wake zao lakini inabidi wakae kimya. Maisha ya ndoa au mahusiano ya muda mrefu yanachangamoto.
  10. Ambao mna marafiki huwa mnawapataje?

    Good morning jf.... Tusio na marafiki tukutane hapa😔 Kuna hili swala nimekua nikijiuliza hivi karibuni, baada ya kuona sasa uzee umeanza kupiga hodi. Najiona umri umetangulia mbele halafu maisha ni kama nayaacha nyuma, ni kama naishi tofauti na umri wangu. Nimesogea umri wa kuozesha, kuondokewa...
  11. Je ni kweli wazazi huwa wanaona mbali linapofika kuoa au kuolewa

    Japo sio wote ila kuna aina flani ya wazazi ambao linapofika swala la kuoa au kuolewa wana tabia ya kuwapinga watoto wasioe au kuolewa kutokana sababu wanazozijua wenyewe kama vile kabila , Dini, familia n. K kwa hofu watoto watakuja kuteseka Je katika hili kuna ukweli wowote ule
  12. Ukweli mchungu ambao Pro NATO Huwa hawapendi kuusikia

    Urusi kushindwa kutawala anga la Ukraine. memba mmoja wa JF T14 Armata,hupenda sana kuelezea swala hili la kumiliki anga. Yeye hupenda kusema Urusi haitumii mtindo wa kumiliki anga kama vile ifanyavyo USA. Yeye huona kama huo ni udhaifu kwa Urusi na uwezo kwa USA. Lakini Mimi Nina maoni tofauti...
  13. S

    Hivi ni kweli sikukuu za wenzetu Waislamu siku karibu zote huangukia siku ya pili ya matarajio au huwa kuna namna?

    Habari Wakuu! Kwa muda mrefu sasa, nime-observe hii trend ambapo sikukuu za hawa wenzetu mara nyingi(kama sio karibu mara zote) zimekuwa zikiangukia siku ya pili ya matarajio. Swali ni je, hii trend imekuwa ni hivi hivi hata kwa siku za nyuma au ni siku hizi tu? Je, BAKWATA huwa wako sahihi...
  14. M

    Mabinti na Wanawake wa Kitanzania ni 'Dharau' na 'Kejeli' kama hizi ndizo huwa 'zinawaponza' na kujikuta mnafanyiwa 'Kitu Mbaya' na Wanaume

    Karen: Sijaona mwanaume wa kuzaa naye Tanzania | Nimezaliwa staa baba yangu staa. Taarifa: EastAfricaTV Baba wa huyu Binti ( Dada ) nakushauri kuwa makini sana kwani kuna Msanii mwingine huko nyuma alikuwa na Dharau na Nyodo kama hizi ila kwa alichofanyiwa Mbezi Beach ( Mitaa ya Rainbow )...
  15. Huwa unazishindaje dharau na chuki dhidi yako zinapoibuka?

    Ni rahisi tena mno kuona watu wakisambaza maneno ya chuki kwa jamii juu ya watu fulani hivyo hupelekea watu hao kujidhuru kwa kushindwa na maneno ya dhihaka. Kama mwana jukwaa huwa una mbinu gani juu ya watu wanaokuletea dharau, majivuno na chuki. Let's share ideas.
  16. M

    Tujihoji: Kwanini sakata la Loliondo huwa linaibuka tunapokuwa na marais wanaokuwa wanatokea Zanzibar? Je, ni sababu ya vinasaba vya Oman?

    Loliondogate. Hili sakakata liliibuka miaka ya 1992 na wakati huo alikuwa rais wa JMT ni mzee Ali Mwinyi. Tukaambiwa Waarabu wameshamnunua na kununua haki za wamasasai. Songombingo kibao zikatokea na baadhi ya watanzania wakapoteza maisha. Leo hii Rais wa Tanzania anatokea Zanzibar. Sakata la...
  17. Yusta Msowoya: Wanawake kuweni na kauli nzuri kwa waume zenu, wanaume hawapendi kudharauliwa na wanawake

    Somo @yustamsowoya amewahasa wanawake kuwa na kauli na lugha nzuri pindi wazungumzapo na waume zao kwani hakuna mwanaume anayependa kudharauliwa na mwanamke. Chanzo: EastAfricaRadio Huu upuuzi Wao wakawafanyie tu Wahaya, Wanyaturu, Waha, Wanyiramba, Warangi, Wakara na Wanyamwezi siyo Sisi.
  18. Nikiwa nasema kuwa Simba SC kuna matatizo na huwa 'nikiwananga' hapa JamiiForums huwa sikosei muwe mnanielewa tafadhali

    Ahmed Ally: Suala la Morrison tunasubiri kocha mpya akija ndio atoe maamuzi kama anatakiwa kubaki au aondoke. Babra: Morrison hakuwa kwenye mipango yetu ndio maana tumempa ruhusa akatafute timu nyingine Kauli za viongozi wa Simba kuhusu mchezaji Bernard Morrison. Chanzo: Darmpya Blog Leo...
  19. Usimpige mwanamke ngumi na mateke

    Watu wa utamaduni hawachapi mwanamke kwa fimbo. Wanamchapa kwa Ukuni. mwanamke hapigwi makofi... hapigwi ngumi na mateke (hapa ndo unakosea kabisa ) afadhali kibao kimoja tu cha kumshtua akili lakini si ngumi na mateke. yaani ukimpiga mwanamke ngumi au teke wewe ufungwe kabisa hufai. Mwanamke...
  20. Simba SC (hasa Uongozi) hapa ndipo huwa 'mnanikera' hadi 'nawangangeni' Kutwa hapa 'JamiiForums' hebu muwe mnanielewa sawa?

    Hebu sikieni Simba SC inahitaji yafuatayo tu na achani Kujambishwa ( Kupanikishwa ) na Propaganda za Usajili za Yanga SC kisha nanyi mnaingia Mtegoni Kwao na Kuharibu kila Kitu kisha Wao wanatucheka na Kutuona ni Mazuzu ( Majuha ) zaidi. Najua mnanichukia sana tu ila kwakuwa nina Mapenzi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…