huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Msaada: Nisipokula tungi huwa nakabwa na majinamizi ya kichawi. Ina maana tungi ni kiboko ya wachawi?

    Mwili huwa unatetemeka na kuwa kama unapigwa shoti. Huwa naota ndoto za ajabu na kupiga makelele. Lakini kama nipo matungileee huwa nalala vizuri asubuhi napiga mishe zangu tu.
  2. Kwanini kila Papa anapoongelea ushoga huwa anaonekana kanukuliwa vibaya?

    Watetezi wake Huwa wanakuja na ushahidi kuonyesha amenukuliwa vibaya. Hii SI mara ya kwanza. Najiuliza. Anafanya kusudi? Ana akili kubwa kiasi kwamba sisi walala hoi na waandishi makanjanja huwa hawamuelewi? Ana mkakati wa kuifanya Dunia kuwa conscious na ushoga ili waone ni kitu Cha kawaida...
  3. C

    Kwanini wazazi huwa na upendeleo kwa baadhi ya watoto na wengine hubaguliwa?

    Kwema WanaJF, Huwa najiuliza kwa nini inatokeaga hivi, mfano kwenye familia yetu hii ipo sana kuna watoto pendwa hawawezi lala njaa hata kama hawana hela wanapewa na ni watu wazima na familia zao ila kwa wengine hata ukiomba elfu tano tu hupewi, unashinda njaa daily, mwenzio anaweza pewa mpaka...
  4. T

    Hivi huwa nini kinajadiliwa kwenye Baraza la Mawaziri? Kuna umuhimu gani wa kutupa taarifa kuwa wamekutana?

    Naombeni wanaoelewa sana mambo haya wanisaidie kufahamu. Inavyoonekana kikao cha Baraza la Mawaziri huwa ni cha siri. Kinachonisumbua ni kwamba mara nyingi wakikutana kwa kikao tunajulishwa kuwa wamekutana. Na kwenye hilo Baraza huwa mambo gani hujadiliwa na vikao vya siku ngapi?
  5. U

    Kocha wa Simba aondoka Usiku huu kwenda kwao Brazil

    Hii ni taarifa rasmi kutokea Klabu ya Simba Kocha Mkuu Roberto Oliveira ameondoka usiku huu kwenda nchini kwao Brazil kwa shughuli binafsi za kifamilia na anatarajiwa kurejea nchini mwishoni mwa mwezi huu. #NguvuMoja
  6. Watu wa vijijini ndiyo huwa wanalipa mikopo nchi hii, wanatakiwa kupewa kipaumbele kwenye matumizi ya hiyo mikopo

    Karibu asilimia mia moja ya mikopo ya nchi hii inalipwa na toka uhuru imekuwa inalipwa na watu wa vijijini. Unapoenda kulipa mikopo lazima utumie fedha ya kigeni, yaani dola. Sasa nchi yetu inapataje dola? Ni kwa kuuza bidhaa nje ya nchi. Wazalishaji wa viwanda vya ndani ambao wanauza humuhumu...
  7. Vilabu vingi Vikubwa Afrika vikisafiri 'Pre Season' hasa nchi za 'Kitajiri' huwa zinasafirisha Dawa za Kulevya

    Sijajua kwa Vilabu vya hapa Kwetu Tanzania ( na nahisi havina Upuuzi huu kwa Matajiri wake ni Watu na Wafanyabiashara Waaminifu na Wacha Mungu mno ), ila kwa Vilabu vingi Vikubwa vya Soka ( Mpira ) Barani Afrika ambavyo viko chini ya Matajiri ukiona tu Vinasafiri ama ndani ya Msimu wa Ligi au...
  8. Huwa unajihisi vipi ukikutana na mtu aliyewahi kukudharau kwenye maisha yako?

    Salaam wakuu, kuna nyakati binadamu tunapitia mengi katika Safari yetu ya maisha ya kila siku. Ziwe nyakati nzuri au mbaya, basi kuna funzo muhimu huwa tunalipata katika maisha yetu. Je, huwa unajisikiaje ukikutana na mtu ambae aliwahi kukudharau au kukuchulia poa katika maisha yako na...
  9. Je, unajua kuwa Roho huwa ina kawaida ya kutoka tulalapo?

    Hivi umeshawahi lala usiku halafu ukajikuta kama unaota hivi lakini fahamu zako zinakuonyesha kabisa upo macho na unajiona mwepesi Sana pasipo kawaida na saa nyingine huenda ukahisi kama upo hewani hivi Au Unaweza kwenda sehemu Fulani ambayo hujawahi fika lakini kuna kumbukumbu Fulani inakujia...
  10. Wazee labda tupeane uzoefu hili swala huwa mnalimaliza kwa mtindo gani?

    Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati. Wazee hapa mimi nimekwama hivi hili swala la unaenda pub unamnunulia bia manzi mnapanga kabisa kuwa hapa tunaondoka wote anakubali hapo mnapo yapanga hayo yote ni mida ya saa nne usiku ndiyo unaingia pub na umeshamchora mtoto kuwa hana mtu. Lakini inafika...
  11. Haya makucha huwa yana faida gani kwa wanawake?

    Dada zetu tunajua urembo ni jadi yenu ila haya makucha hapana aiseeeh. Embu fikiria dada mwenye makucha kama haya eti ana ndoto za kuolewa,subutu hakuna mwanaume ndezi namna hiyo akuone na mikucha kama hiyo eti atangaze ndoa hiyo ni big hapana. utapigwa pipe miaka ndenda rudi na hauta sikia...
  12. S

    Je, ni mchambuzi yupi wa mpira (pundit) unamkubali sana? Mimi namuelewa sana Amri Kiyemba

    Kama kicha cha habari kinavyojieleza ...haya twende kazi
  13. Watu wa Mwanza hizi rangi mnapaka kwenye nyumba huwa mnawaza nini?

    Huwa napenda kupita mtandao wa Jiji.co.tz kuangalia nyumba na vitu mbalimbali. Nimeshangazwa na rangi ya baadhi ya nyumba za Mwanza. Ukipita humo utaziona. Huwa mnawaza nini watu wa Mwanza?
  14. L

    Hivi kampuni za kubeti wanatumia teknolojia gani ili wasifilisike?

    Hawa jamaa Kuna uchawi wanatumia au namna yoyote ya ndumba ?mbona hawafilisiki jamani?
  15. Mbona mama huwa anachelewa Sana kutoa salami za rambirambi?

    Rais kwa kuwa ni rais namba moja, inabidi awe wa kwanza kutuma hizi rambirambi, sio kwa ubaya.
  16. Kitu gani huwa kinaishikilia reli ardhini?

    Eti wakuu sana. Ni kitu gani kinaishikilia reli ya treni ardhini?
  17. R

    Mnaokwenda kwenye makanisa ya manabii, mitume, shida zenu huwa haziishi?

    Huwa kweli nacheka sana nikiwasikiliza hawa manabii, mitume siJui maaskofu wanapowaingiza watu mkenge kuwachukulia pesa zao. Utasikia kama kiPindi hiki cha mwisho wa mwaka unaambiwa kutakuwa na ibada maalumu ya kufungua malango ya mwaka mpya. Kumbuka wakati huohuo mwezi uliopita alikuja mhubiri...
  18. Hivi sheria inaweza kutolewa onyo kabla ya mkondo kufuatwa?

    Rais na Makamu wake wametoa agizo na ilani kwamba wale wote wanaofanya shughuli zinazoharibu maeneo oevu kama bonde la Ruaha, Usangi na Ihefu waache mora moja vinginevyo sheria itachukua mkondo wake. LAKINI mama aliyeshitakiwa jana kwa kutoomba risiti dukani hakuambiwa aache tabia hiyo mara...
  19. Wataaalam wa siasa mnielimishe: Pamoja na wapinzani kufanyiwa maovu kwanini bado wanaendelea?

    Hizi siasa huenda hata bado sijazijua vizuri. Hawa wapinzani wanapigwa sana, wengine vilema, wengine wameponea kifo chupu chupu, wengine washauwawa, wengine wapo magerezani, wengine washateswa sana, hivi huwa hawaogopi wanapoona wenzao wanapitia hayo?
  20. Kwanini wasanii wa kiislam huwa hawaweki masheikh kwenye maudhui yao?

    Nimeangalia wimbo wa PITA HUKU wa Dula Makabila nimeshangazwa na kipande cha mchungaji akipapasa wamama kisha akaamriwa apite motoni. Yaani mchungaji kawekwa kundi moja na Shoga Aggrey na tomboy na mchawi. Katika wimbo ule hakukuwapo kabisa kipande cha Sheikh akipita mbele ya hukumu wala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…