huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. Je, hivi huwa wanawaza kama ambavyo sisi wengine tunawaza juu yao?

    Nimekuja kugundua kuwa yamkini Tunawaonea sana huruma watu ambao kwa namna moja au nyingine wala hawajal maisha yao kabisaa. Juz kati nikiwa naelekea Arusha nikawa nachek tv, nimekaa kwenye bas wameweka vidoeo ya Jux ile Sugar Dady, (mimi sio mpenz wa kuangalia hiz video za vijana wetu kwakua...
  2. Mkuu wa mkoa Kigoma: Kigoma siyo kama ya zamani kwa sasa hakuna vumbi

    Mkuu wa Mkoa wa Kigoma CGF (Mst.) Thobias Andengenye amekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikionesha Watu ambao wanatajwa kuwa ni Wafanyakazi wa ajira mpya za Serikali wakiwa wamechafuka baada ya kuwasili Mkoani humo kuanza kazi katika vituo walivyopangiwa. Andengenye amesema “Najua...
  3. Huyu si alishamtema Mwamba? Mbona anajipigisha U-Turn?

    Kwamba alikua anatingisha kiberiti au?
  4. M

    Wazabuni huwa wanapangaje bei za bidhaa?

    Salamu, Naomba kujua namna ambavyo Mzabuni anaweza kupanga Bei ya bidhaa wakati wa tendering. Je, Kuna Mwongozo WOWOTE wa kisheria au Kanuni? Mfano ..Kama Bei ya nyama sokoni ni Sh.8000/ ,au Sembe Kg ni Sh.1500/ Hapo Bei za Zabuni zinakuwaje?
  5. M

    Kwanini Watu wakialikwa Ikulu za Afrika mawazo yao huwa ni kwenda Kula tu na si mengineyo?

    Ina maana Watu wote wanaoalikwa Ikulu huwa ni Waroho, wana Njaa sana na Makwao huwa hawali? Natoa pongezi kwa wale ambao hawajaalikwa Ikulu kwani inaonyesha hawana Njaa, si Masikini, si Washamba wa Vyakula na Vinywaji na ni Watu Matajiri vile vile. Hata Mimi MINOCYCLINE ikitokea nimefanya...
  6. Hata Ulaya, fainali ya Champions League huwa haichezwi neutral ground

    Kuna watu wanadhani kuufuata mfumo wa Ulaya kutawezesha fainali ya Klabu Bingwa Afrika na Kombe la Shirikisho kuchezwa katika uwanja ambao mojawapo ya timu husika haitakuwa mwenyeji. Ukweli ni kwamba wenzetu wa Ulaya huwa wanakuwa wameshauchagua mji ambao fainali itachezwa, bila kujali mojawapo...
  7. Wabongo wengi wanaojinadi ni hackers huwa ni kelele tu, kwenye vitendo ni sifuri

    Picha linaanza unakuta profile picture yake ni ya kibabe Ila kwa vitendo sasa unaona kabisa ni sifuri Wanajua zaidi kupiga domo kwenye misamiati na vitu maneno technical ila vitendo 0, utasikia naweza kupiga sql injection nipate password zote, System naweza kuitungua ddos ile, nikikaa man in...
  8. Wanafki wote Duniani huumbuliwa kama Feitoto, hii ipo mpaka Marekani. Yanga ikibeba kombe kuna watu watakufa

    Kwa wafuatiliaji wa mambo mtakumbuka Mchungaji anayeheshimika sana Marekani Jesse Jackson black Man akiwa kwenye mahojiano off Air akamponda Barrack Obama hawezi kuwa Rais, watu wakavujisha ile video clip. Siku Barrack Obama anatangazwa mshindi Mchungaji Jesse Jackson alitokwa na machozi. Sasa...
  9. Clip ya RC Chalamila imenikumbusha mara ya kwanza nilipohudhuria mazishi ya kiislamu. Yale mafundisho nlopata pale huwa yananirudia akilini

    Kuna Clip ya RC Chalamila anasifia mazishi ya waislamu. Pale RC kiukweli kasema ukweli mtupu. Nakumbuka siku moja nilihudhuria mazishi ya muislamu mmoja mtaani kwetu, huyo marehemu alikua ni mtu mkubwa kdg na anafahamika hvyo kwenye mazishi alikuwepo Shehe mkuu wa msikiti wa pale mtaani, Shehe...
  10. Serikali iruhusu tu mabasi kusafiri usiku na mchana sasa hivi hakuna abiria anasafiri na mamilioni cash kwenye basi kama zamani, ziko kwenye akaunti

    Zamani kabla mifumo ya fedha kuimarika watu wakikuwa wakisafiri na mamilioni ya pesa wakija Dar kununua chochote au kuuza chochote Sasa hivi watu husafiri tu na hela ya kula njiani tu pesa zote huwa kwenye akaunti Hivyo tishio la kuwa abiria watavamiwa na kuporwa dogo mno. Hata mporaji hawezi...
  11. Hawa watu wa ku-download pesa huwa wanapata mafunzo ya siri ya kujisifu?

    Kiukweli ninashangazwa sana na tabia za hawa watu. Hawa wazee wa mambo ya bitcoin, cryptocurrency, betting na mengine yanayofanana na hayo wana shida gani kwenye vichwa vyao? Yaani vijana karibu wote wanaofanya hizi ishu kwa hapa Afrika lazima wawe na tabia za show offs na kujisifu mno huku...
  12. Jamani, huwa mnapumzika wapi mkiwa Dar?

    Nina mgeni wangu anakuja kutoka mahali fulani, sitaki afikie kwangu. Nataka nitafute Beach House nzuri, sea viewing. Sio mbaya hata kama nikipata çlassic jungle House eneo tulivu. Iwe imezungukwa na bustani nzuri, miti, na sio mbaya ikiwa na ka swimming pool. Au nyie wenzangu huwa mnapumzika...
  13. Je, ni kweli kuwa CAF katika Kombe la CAFCC huwa hawatoi Medali kwa Mshindi wa Pili?

    Kama Jibu ni ndiyo basi kuna Watu Medali pekee watakazorudi nazo nchini Tanzania ni Tiketi zao tu za Ndege ya Msaada waliyopewa na Kuipanda. Kudadadeki....!!
  14. Huyu mzee ni Mtanzania? Mbona huwa anatrend sana?

  15. Hivi Wanawake wa Kilokole tunapowatongozeni na mnasema tusubiri Muongee na Mungu sisi huwa ni Majini au?

    Mnakera sana na ndiyo Wengine hivi sasa tumeamua Kubobea kununua ( Migoma ) tu kwani huwa hawana Usumbufu wala Mbambamba kama mlivyo Wanafiki na Wapuuzi nyie. Na kwa huu Upuuzi wenu mtaendelea Kuhangaika kupata Waume wa Kuwaoa kwa Kuzunguka kama Inzi wa Chooni katika Makanisa yote ya Kilokole...
  16. Tulia Akson: Kazi zote huwa za mfalme(Rais), wengine tunamsaidia

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema ana imani mahakama itamsaidia Rais katika eneo la utoaji haki. Dr. Tulia amesema kuna watu hawaelewi kama mhimili wa mahakama nao unafanya kazi ya kumsaidia Rais. Dr. Tulia amesema anaamini watu huwa wanasoma vitabu vya dini, ambapo...
  17. Vijana acheni kulalamika pale mdogo anapoadhibiwa na mkubwa wake kisayansi. Hii ndio siasa na mkumbuke kuwa sikio huwa halizidi kichwa.

    Habari zenu wana JF wenzangu, Kwanza kabla ya yote napenda kutumia nafasi hii kuiombea nchi yangu amani, upendo, mshikamano, ushirikiano, maendeleo ya watu na vitu. Ndugu yetu mh Lisu baada ya kuishi ulaya miaka miwili mitatu, na kupata watu wawili watatu wa kumlipia kodi ya nyumba na hela ya...
  18. Nje ya pesa ya kuishia hatua flani, caf huwa wanatoa pesa za maandalizi, malazi na kujikimu kwa timu ambazo zinasonga mbele ?

    timu inapotolewa katika hatua fulani, ndiyo hupatiwa pesa iwe ni makundi, robo fainali, nusu fainali ama hadi imalize fainali. timu ikiishia makundi inapewa pesa, wanaosonga mbele robo fainali hawapewi timu ikiishia robo fainali inapewa pesa, wanaosonga mbele nusu fainali hawapewi timu...
  19. Ni kweli wanaojenga Ikulu huwa wanauliwa wakishamaliza kujenga?

    Kuna story nishawahi kuzisikia kuhusu Ikulu, kama zina ukweli wowote naomba kujuzwa hapa 1. Ikulu Kuna njia ya chini kwa chini mpaka Makao makuu ya jeshi 2. Wote wanaohusika kwenye ujenzi wa ikulu wakimaliza wote wanauawa wanazikwa getini pale ikulu We ushaisikia ipi? na je zina ukweli?
  20. S

    Huwa napata hofu ninapoona mwanamke ananilazimisha nisivae Condom

    Hii iliwahi kunitokea siku moja nipo chumbani na binti wa kanda ya kaskazini. Mzee mzima nimetangulia kufika Lodge na nikanunua pakti zangu kadhaa za Condom kabla yeye hajafika. Kwakua ilikua ndo mara yetu ya kwanza kukutana kwenye uwanja wa 6×6 sikutaka kabisa kutembelea ringi sababu tulikua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…