Katika nchi iliyojawa na kukosa haki nani anayeweza kwenda jukwaani na kusema free Tanzania 🇹🇿
Nani anayeweza kupaza sauti free Lissu, free nchimbi, free pole pole?
Sio kwamba hawapo ila wote ni machawa, wote wako insecure kukosa ugali wao, kutekwa, kuwa wamfano.
It's not that hatuko free...