huru

The Chronicle of Huru (Romanian: Cronica lui Huru) was a forged narrative, first published in 1856–1857; it claimed to be an official chronicle of the medieval Moldavian court and to shed light on Romanian presence in Moldavia from Roman Dacia and up to the 13th century, thus offering an explanation of problematic issues relating to the origin of the Romanians and Romanian history in the Dark Ages. Publicized and endorsed by the Romantic nationalist intellectuals Gheorghe Asachi (who edited the published version) and Ion Heliade Rădulescu, it was argued to have been the work of Paharnic Constantin Sion (or another member of his family) or that of Gheorghe Săulescu, Asachi's friend and lifelong collaborator.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tabora: Aliyeomba Rushwa ili amsaidie Mtuhumiwa wa Mauaji aachiwa baada ya kulipa Faini

    Mahakama ya Wilaya ya Tabora imechukua uamuzi huyo dhidi ya Denis Kantanga, aliyekuwa Askari Polisi nafasi ya Konstebo baada ya kukiri makosa mawili ya Kuomba na Kupokea Rushwa ya Tsh. 18,000,000 kinyume na Sheria. Mahakama ilimhukumu kutumia kifungo cha miaka miwili Jela au kulipa faini ya...
  2. JamiiForums Tanzania Melkiori Mahinini, Mtanzania aliyekuwa ametekwa nchini Nigeria, aachiwa huru

    Frateri Mtanzania aliyekuwa ametekwa nchini Nigeria, Merikiori Mahinini pamoja na mwenzake raia wa Mali, Padre Paul Sanogo wameachiwa huru usiku wa kuamkia leo Alhamis Agosti 24, 2023, Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Dk Benson Bana amethibitisha. Mtanzania huyo ambaye pia ni frateri wa...
  3. JamiiForums Tanzania Waangalizi wa Umoja wa Ulaya wadai Uchaguzi wa Zimbabwe sio Huru na Haki

    Kupitia ripoti yao, Waangalizi kutoka Ujumbe wa Umoja wa Ulaya (EU EOM) wamesema Uchaguzi huo ulikuwa na Uminyaji wa Haki, Ukosefu wa Fursa Sawa na Mazingira Magumu kwa Wapiga Kura. EU EOM imeongeza kuwa kulikuwa na ukamataji wa kutumia nguvu wa Waangalizi 39 wa Mashirika ya Kiraia ambao...
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ngorongoro aachiwa huru. Asema aligoma kula kwa siku tatu

    MBUNGE wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai ambaye alikuwa anashikiliwa na Polisi mkoani Arusha ameachiwa kwa dhamana usiku wa leo Jumatano Agosti 23, 2023. Akizungumza baada ya kuachiwa Ole Shangai amesema kwa siku tatu tangu alipokamatwa aligoma kula. Pia Soma: - Mbunge wa Ngorongoro bado...
  5. JamiiForums Tanzania Nilimkatalia kiongozi wa chama fulani kujiunga na chama chao kwa sababu sitakuwa huru kuwatendea haki

    Kwema Wakuu! Mwaka 2020 kuna kiongozi WA chama kikubwa hapa nchini ambaye ni Rafiki yangu na ninayemheshimu Sana. Wakati tunapiga Stori mbili tatu akanishauri nijiunge na chama chao lakini nilimkatalia na kumwambia kuwa sitawatendea Haki yeye na chama chake na watu wengine ikiwa nitajiunga na...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania pawepo na maeneo huru ya kupumzika

    UTANGULIZI Maeneo ya kupumzika ni mazuri kwa afya ya kili pia ustawi wa jamii yetu, Unajua pale mtu ambapo umetoka katika mizunguko au umechoka kukaa ndani kuna haja ya kuwa na maeneo huru ambayo mtu anaweza kupumzika bila buguza yoyote kwa mda Fulani, Maeneo yaliyo mengi yanamilikiwa na watu...
  7. JamiiForums Tanzania Sina imani na Kamati Huru iliyoundwa na Ummy Mwalimu kufuatilia sakata la Madaktari Watarajali

    Nianze kwa kupongeza uamuzi wa Serikali kuamua kuitikia wito wa kuunda Tume ya kufuatilia suala la Madaktari Wahitimu Watarajali Nchini. Uamuzi huo unaonesha wazi Serikali ipo kazini na ina nia ya kweli ya kuwasaidia Wananchi wake kwa kuwa ukifuatilia hoja za Wanataaluma hao wa Udaktari zina...
  8. JamiiForums Tanzania Aliyehukumiwa Miaka 30 Jela kwa ubakaji aachiwa huru

    Aliyedaiwa kumbaka mwanamke wa miaka 58 na kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela, Joseph Mathias amefutiwa hatia na kifungo hicho baada ya Mahakama Kuu, Kanda ya Tabora kubaini hati ya mashitaka ilikuwa na kasoro. Licha ya Mathias kutumikia kifungo cha miaka minane jela, aliachiwa huru jana...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe haondoki kwenye Uenyekiti mpaka tupate Katiba Mpya na Tume huru

    Nakazia tu alichokisema mtu humu JF, kama Kitila na Zitto Kabwe wangelifanikwa kumng'oa Mbowe kwenye uenyekiti, CHADEMA lingekuwa Tawi la CCM. Rabbon Kwa muktadha huo, Mbowe haondoki kwenye uenyekiti mpaka tupate katiba Mpya na Tume huru! Take Note: Wenye uwezo CHADEMA ni wengi. Lissu, Heche...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali ataka kumfutia Leseni ya Uwakili Wakili Mwabukusi aliyefungua kesi kupinga mkataba wa DP World

    Yuleyule aliyefanya figisu hadi kumfutia Leseni mwanadada Fatuma Karume, Mwanasheria mkuu wa Serikali bwana Feleshi amempeleka Wakili msomi ndugu Mwabukusi kwenye Kamati ya maadili ya Mawakili. Katika malalamiko yake Mwanasheria wa Serikali anasema eti: 1. Mwabukuzi ni mchochezi. 2. Mwabukusi...
  11. JamiiForums Tanzania Utausherekeaje uhuru wa Tanganyika huru?

    Hili swali linamuhusu Mtanganyika Mzalendo tu. Na Mtanganyika Mzalendo, kwa mujibu wa huu uzi, ni Mtanganyika yeyote anayeipenda nchi yake ya Tanganyika bila kujali anakoishi. Ikiwa wewe ni Mtanganyika Mzalendo, utausherekeaje uhuru wa Tanganyika huru? Uhuru upo karibu. Dalili zinaonesha kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania SoC03 Mapendekezo ya kuunda Tume ya Uchaguzi

    Kutokana na mahakama ya Africa kutengua wakurugenzi kusimamia uchaguzi Tanzania na kuagiza serikali kufanya marekebisho ya sheria ya uchaguzi ndani ya miezi 12 nilikuwa na mapendekezo yafuatayo. Napendekeza tume ya uchaguzi iundwe katika mfumo ufuatao. 1. Tume iwe na wajumbe 10 ambao...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Watu 'Huru' wanaounga mkono mikakati ya Maendeleo ya Serikali huambiwa ni wana CCM au Wamenunuliwa au wanataka Uteuzi?

    Kwahiyo tunataka Kuhalalisha kuwa kwa Tanzania ya sasa ili uonekane ni Msomi au una Akili au ni Mchambuzi na Mwanaharakati mzuri ni mpaka uwe ni Mpinga kila Mkakati na Mipango mbalimbali ya Kimaendeleo ya Serikali? Wewe Mpuuzi Mmoja ( nakuhifadhi ) uliyekuja PM yangu na Kuniambia kuwa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Baba, mtoto wako yuko huru kukueleza jambo lolote?

    Wakuu, Wewe unayeitwa baba, uwe mlezi au mzazi, mtoto wako yuko huru kuongea na wewe kuhusu jambo lolote ikiwa anahitaji kusikilizwa na wewe? Au ndio wawe wale wazazi wakali mpaka mtoto akueleze kitu inabidi atume barua ya maombi kwanza? Mbali na kuwa na uangalizi wa mama, kusikilizwa na...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ya Bandari, Rasilimali za Taifa, Umasikini na Rushwa: Je, sisi ni Taifa huru? Aina tatu za uhuru

    Asalam, bado naendelea kujiuliza uliza, je tuna uhuru wa aina gani? je jirani yangu yuko huru? je Mzee Mwanakijiji yuko huru? Je FaizaFox Yuko huru? na Mzee Paschal Mayala yuko Huru? Vipi Mamdenyi na Esta hapa? Uhuru wa Kisiasa Uhuru wa kisiasa ni uhuru ambao watu binafsi wanao kushiriki...
  16. JamiiForums Tanzania Arusha: Watuhumiwa wa ugaidi waliosota gerezani kwa miaka 10 waachiwa huru

    Mahakama kuu kanda ya Arusha leo 16/06/2023 imewaachia huru watu 12 wakiwemo Mashehe waliosingiwa kesi ya Uongo ya Ugaidi. Walifunguliwa kesi No. 65 ya 2022 na kunyimwa dhamana, ambako wamewekwa selo kwa zaidi ya miaka 10. Tunamuomba Mwenyezi Mungu atoe haki kwa wote waliotunga unyama huu...
  17. JamiiForums Tanzania Kufanyike mdahalo huru wa Wananchi v/s Serikali kuhusu mkataba wa bandari

    Kuhusu mkataba wa bandari tumeona mapungufu makubwa ya bunge letu kuhusu namna linavyosimamia serikali, tumeona bunge limetumika kama toilet paper na serikali. Udhaifu huo wa bunge unapelekea kuchochea zaidi mahitaji ya katiba mpya ili kuepukana na udhaifu na upumbavu kama huo wa bunge. Hivyo...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sifurahii Mgogoro wa Yanga na Feitoto. Nataka umalizike

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Chakula cha Usiku na Timu ya Yanga kwa ajili ya kuwapongeza kwa hatua waliyofikia ya kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF). Hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, Ikulu Magogoni jijini Dar...
  19. JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala Bora ni Haki kwa Nchi Huru

    UTAWALA BORA NI HAKI KWA NCHI  HURU Utawala Bora ni mchakato wa kupima ni kwa jinsi gani taasisi za umma, zimeshughulika na Mambo ya umma kwa ufanisi na kutambua haki za binadamu na maadili ya kutotumia mamlaka vibaya kwa watumishi wa umma na kutojihusisha na vitendo vya rushwa na kuwepo...
  20. JamiiForums Tanzania Nipo huru sasa, nimeachiliwa na kurudi uraiani tena, nimemaliza adhabu niliyopewa na Mods (ban)

    Habari wanajamii.... Natumai wote ni buheri wa afya njema sana... Nielekee kwenye hoja halisi moja kwa moja...Leo nimefunguliwa kutokana na adhabu niliyopewa hapo majuzijuzi na mods baada ya kupigwa ban shauri ya uchokozi nilioufanya baada ya kumfungulia uzi kijana alikua anasababisha taharuki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…