humphrey polepole

Humphrey Polepole is a Young Tanzanian politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district

View More On Wikipedia.org
  1. Humphrey Polepole ni mtanzania pekee ambaye akitangaza press conference mitandao yote inafungwa

    Nyie hamuogopi nguvu ya huyu mtu?
  2. Humphrey Polepole: "Hatuwezi kuwa nchi inaendeshwa kama idara ya 'Fire'

    Wakuu! Humphrey Polepole amesema alijiuzulu Ubalozi wa Cuba ili awe huru kuzungumza kwamba kuna tatizo kubwa katika Taifa letu na sio dhambi kujirekebisha. Sasa leo saa 2:00 usiku usikae mbali nami hapa nitakuletea kila atakachokizungumza. Updates... Polepole Utamaduni, desturi na katika ya...
  3. R

    Humphrey Polepole: Nataka CCM itafute mgombea mwingine wa u - Rais na sio Bi Samia Suluhu Hassan!!

    https://youtu.be/HHq7hqvxQSY?si=dLD-aa4aBpswt59T
  4. M

    PreGE2025 POTOSHI BUTIAMA: Mzee Butiku asema tangu awali hakukubaliana na Uhuni na Uendawazimu wa Humphrey Polepole

    Mzee Butiku asema, Ngoja nimwite Kwa lugha ya Mtaani Muhuni au Mwendawazimu na pengine si mwenzetu,
  5. SI KWELI PreGE2025 Majibizano kati ya Mchungaji Peter Msigwa akisema Balozi Humphrey Polepole anatafuta huruma

  6. GE2025 CCM kwanza na taifa baadae ya Humphrey Polepole

    Na Dr Mutatis Mutandis Nimefuatilia kiukaribu sana sakata hili linalomhusu ndugu Humphrey Polepole nilichoking'amua ni kuwa ndugu Polepole (wa leo) kwake CCM ndiye mzaliwa wa kwanza na Taifa ni mtoto wa kuasili (adopted child). Kwa hiyo mapenzi yake, roho yake, liwazo lake ni CCM kwanza...
  7. Rais Samia alikosea sana kumpeleka Cuba ndugu Humphrey Polepole

    Kama umesomea Cuba na ukafanikiwa kupata angalau D 2, utafahamu kuwa mjamaa yeyote akifika Cuba (ardhi ya mwanamapinduzi mjamaa hayati Fidel Castro) lazima apate vibe la kimapinduzi na lazima atakuzingua tu kama unaendekeza ubepari. Ndio haswa kilicho tokea. Polepole amenipa sababu nyingine ya...
  8. L

    Kama Humphrey Polepole Yupo Nchini ajitokeze na siyo kujificha ficha Ugenini na kudanganya watu kuwa yupo nchini

    Ndugu zangu Watanzania, Naona ni kama Polepole anajitekenya na kujichekesha Mwenyewe. Anataka kufanya na kuwachukulia Watanzania kama wajinga na watu wasio jitambua wala kujielewa. Anataka afanye kama hili ni Taifa la wajinga na mazuzu. Tangia awali alisema na kudanganya kuwa yupo Nchini...
  9. M

    Kuinuka kwa Humphrey Polepole na ni Ushahidi wa wazi kuwa kuteka na kupoteza wakosoaji ni Ujinga maana wataibuka wengi wa kusema kamwe hawatoisha

    Kuibuka kwa Humphrey Polepole, Balozi, Mbunge mstaafu na Katibu mwenezi wa CCM mstaafu na kuikosoa serikali yake na uongozi unaoongoza serikali hiyo vikali sana katika wakati huu usiotarajiwa ni Ujumbe mkali kwa Watekaji na Wauaji kuwa, Kamwe huwezi kuteka wakosoaji ukawamaliza, ukaua wakosoaji...
  10. Vyombo vya Habari Vyanunuliwa? Vyamshambulia Polepole kwa makala moja: Eti ni Mzalendo wa kweli au Mjanja wa Siasa?

    Wakuu! Katika pitapita zangu huko Mitandaoni nimekutana na page zaidi ya Tatu tofauti za Vyombo vya Habari vilivyoandika/kupost makala moja kuhusu Humphrey Polepole na wote wanahoji "Polepole ni Mzalendo wa kweli au Mjanja wa Siasa", ukitazama ni kama wametumiwa na mtu mmoja kisha wao wamepost...
  11. Humphrey Polepole teknolojia haidanganyi

    Umesahau uliyoyasema huko nyuma?
  12. M

    GE2025 Magazeti nchini ni kibogoyo, hakuna lililothubutu kuandika kuhusu maoni ya Humphrey Polepole uteuzi wa Rais Samia kuwania urais

    Ujasiri kwa Upinzani, Kimya kwa CCM Jana, kupitia ukurasa wake wa Facebook, Balozi Humphrey Polepole alitoa maoni bila kupepesa macho kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwania tena urais na kuvunjwa kwa baadhi ya desturi za Chama cha Mapinduzi (CCM). Hata hivyo, magazeti nchini yameshindwa kuripoti...
  13. Tetesi: Je? Humphrey Polepole Press Yake itabadili upepo ndani ya CCM?

    Hali ndani ya CCM imebadilika baada ya press YA Mheshimiwa Balozi Humphrey Polepole. Naona vikao vimesitishwa vilivyokuwa vifanyike tarehe 18 na 19 Julai 2025 kwaajili ya teuzi mbalimbali za wabunge. Je hali inaweza kubadilika ili kufuata kile Humphrey amesema kukiukwa kwa tamaduni za CCM? Na je...
  14. Tetesi: Humphrey Polepole kumtembelea Tundu Lissu gerezani. Je wataenda kuteta nini?

    Nikiwa mapumzikoni Dar niliamua kutembelea eneo la Kisutu. Nikapita eneo ulipo mgahawa maarufu wa Zahir Nimekuta wazee wakijadili juu ya hii ziara ya Polepole kwenda kumjulia hali shujaa mwenzake. Je watajadili nini?
  15. W

    GE2025 Polepole: Nisingeweza kukosoa huku nikiwa balozi

    Polepole ameelea kuwa asingeweza kukosoa huku akiwa Balozi "Mimi ni balozi kama nyie hamsemi mimi nitasema, lakini siwezi kusema nikiwa balozi. Mama huyu ananipa mimi kula na familia yangu, siwezi tena kuwa nakula vya mama vya mama halafu naenda kusema kukosoa chama mana nikikosoa chama...
  16. GE2025 Polepole: Kama Rais anahonga huo urais si atakuwa anahudumia makundi?

    Polepole amesema "Kama Rais anahonga huo urais si atakuwa anahudumia makundi?"
  17. GE2025 Polepole: Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali

    Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali Kusema ni mgombea mmoja ni makosa Polepole asema kikao kilichotumika kumteua Rais kilikiuka taratibu na sheria za CCM. Ameendelea kusema suala la kutoa fomu moja na kupitisha mgombea kinyume cha taratibu ni kunajisi katiba...
  18. W

    GE2025 Humphrey Polepole: Uongozi si mali ya baba yako. Kusema mgombea ni mmoja ni makosa

    Wakati akizungumza leo Julai 18, 2025 Polepole ameeleza kuwa mchakato wa kumpitisha mgombea uliofanyika Februari haukuwa sawa. "Mchakato wa uchaguzi unafahamika, tunatangaza ratiba. Tukitangaza ratiba tunataka watu waje kuomba. Kuomba ni unyenyekevu mana uongozi siyo mali ya baba yako"
  19. GE2025 Polepole acharuka: CCM yavunja Misingi, Haki yazimwa, Katiba ilichakachuliwa na Utekaji wazidi kutisha

    Wakuu! Ule Mkutano na Vyombo vya Habari wa Humphrey Polepole ndio leo – Julai 18, 2025 saa 5:00 asubuhi. Awali, mkutano huu ulikuwa umepangwa kufanyika Julai 17, lakini Polepole alitangaza kuusogeza mbele hadi leo Ijumaa, tarehe 18 Julai 2025. Unategemea kusikia nini kutoka kwake...
  20. GE2025 Polepole: Watu wameruka Nyumbani kwa Dada yangu Bahari Beach, wadai wamefuata taarifa

    Wakuu! Usiku wa saa Sita, Humphrey Polepole amedai kuwa; "Watu wameruka ukuta wa nyumbani kwa dada yangu Bahari Beach. Wamemwambia dada yangu wamefuata taarifa." "Ninakwenda kujiridhisha. Sina tatizo kabisa, nilishamwambia Mungu wa mbinguni na anajua nina yeye tu." Andiko lake limekuja masaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…