humphrey polepole

Humphrey Polepole is a Young Tanzanian politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district

View More On Wikipedia.org
  1. Je, Polepole yupo salama post aliyoiachia Mohamed Kawaida huko mtandaoni inatia mashaka huku wengine wakisema done

    Kwa siasa za Tanzania na mambo ambayo amekuwa akiyatolea taarifa polepole kwa nyakati tofauti tofauti lazima kuwepo kwa mashaka makubwa. kwani huyu mtu amekuwa akilalamika kutafutwa kwa lengo la kumdhuru mara nyingi na watu ambao binafisi yeye hakusema ni vyombo vya dola, post kama ya mohamed...
  2. GE2025 Nimeanza kumuelewa Humphrey Polepole

    Mdogo wangu mwenye akili nyingi Ndg Humphrey Polepole hongera sana. Wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama wanashirikiana na watawala haramu kuifisadi nchi Uchaguzi Mkuu 2025 ni haramu na batili CCM inakataliwa na wananchi. Vyombo vya dola vinatumika kama majeshi binafsi ya wataeala Kikwete ni...
  3. Polepole: Ni aibu kubwa Rais kuwa mtuhumiwa yeye, familia yake, wasaidizi wake. Unajisikiaje amani?

    Ni aibu kubwa Rais kuwa mtuhumiwa, familia yake, wasaidizi wake, unajisikiaje amani ukiwa umezungukwa na watuhumiwa wa uhalifu, na umezungukwa na watendaji waandamizi, wanaishi maisha ya kufuja mali za umma nje ya kipato chao, aikubaliki ni aibu kwa taifa la Tanzania kwamba biashara inafanyika...
  4. B

    GE2025 Balozi Ali karume amvaa Humphrey Polepole

    Balozi Ali Karume amkosoa vikali Humphrey Polepole https://m.youtube.com/watch?v=sN6hZvI5faY Mheshimiwa Polepole ni mwanasiasa shughuli ya ubalozi hakuwa anaufahamu kuielewa wala hakutaka kujifunza ndo maana tunaona haya yaliyotokea, balozi Karume anapigilia msumari harakati za Polepole Ali...
  5. Humphrey Polepole popote ulipo, nakuomba fanya hivi

    Mdogo wangu Polepole heshima nyingi kwako. Kiumri ninakuzidi lakini umenizidi mengi kwenye taaluma na uzoefu. Najua unanifahamu maana tangu tukiwa wanafunzi tumefahamiana na hata ulipokuwa Mwenezi wa Mbogamboga nimeonana nawe sana pale Ofisi Ndogo Lumumba. Ingawa nilikushauri memgi ukanipinga...
  6. Polepole asikitishwa na JamiiForums kufungiwa, TCRA mngemkanya Wicknell Chivayo

    Balozi aliyejiuzulu na Katibu wa zamani wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole, amesema kitendo cha TCRA kufungia Majukwaa ya JamiiForums wakati nchi ikielekea kwenye Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025 ni Udikteta, Unyanyasaji na Uvunjifu wa Uhuru wa kupata Taarifa. Polepole ameongeza kuwa...
  7. GE2025 Deo Sanga: Polepole amechanganyikiwa

    Mwenyekiti wa CCM mkoani Njombe, Deo Sanga amesema Humphrey Polepole amechanganyikiwa kutokana na utendaji mzuri wa Rais Samia Suluhu ambao hakuutegemea. Akiongea leo Septemba 05, 2025, mjini Njombe, katika kampeni za mgombea wa Urais wa CCM, aliyekuwa Mbunge wa Makambako, Deo Sanga, amemkosoa...
  8. SI KWELI PreGE2025 Humphrey Polepole ameandika ujumbe huu akiimuunga mkono Rais Samia

  9. GE2025 Polepole awashangaa viongozi wa CCM kutangaza maridhiano baada ya uchaguzi: 'Turidhiane sasa'

    Aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole, akizungumza kwa njia ya mtandao usiku wa Septemba 3, 2025, amesema, "Turidhiane sasa, na Mtanzania yeyote mwenye mapenzi mema na nchi hii atasimama imara kusema turidhiane sasa na siyo baadaye. Watakaoridhiana baadaye na matendo...
  10. SI KWELI Huu ni ukurasa wa Humphrey Polepole kwenye mtandao wa X

  11. Maswali mepesi na muhimu kwa Humphrey Polepole kuhusiana na 'kifo' kwa Magufuli

    Kwa wengi waliofuatilia video za Hamphrey Polepole, watakubaliana nami kuwa kuna mambo mengi anayojua kuhusiana na kuhujumiwa kwa taifa letu. Mojawapo ni madai kuwa wana mtandao hatari ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) walihusika kifo cha rais John Magufuli ambaye kifo chake cha ghafla bado...
  12. GE2025 Sheikh Haruna atoa onyo kwa Humphrey Polepole kuhusu kauli zinazomchafua Rais Kikwete

    Naibu Katibu Mkuu wa Twariqa Tanzania, Sheikh Haruna Hussein, ametoa onyo kwa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kada wa CCM Humphrey Polepole akimtaka kuacha mara moja kutoa kauli ambazo amedai zinalenga kuchafua viongozi akiwemo Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete...
  13. Wateule wote wa Hayati Magufuli walikuwa wanafiki kasoro Humphrey Polepole

    Hilo halina ubishi, mimi mwenyewe niliishi naye kinafiki, hata huyu wasasa naishi naye kinafiki cha msingi msimwambie sawa jamani? Ila Rais mzalendo alikuwa JPM tu, nasema uongo ndugu zangu? Shida yake ni 1 tu, aliteua mafisi yote na mwadamu 1.
  14. R

    Humphrey Polepole: Popote ulipo, naomba jibu la swali hili ukija kwenye press ya tarehe 3/9/2025 kama ulivyoahidi

    1. Kama ulivyosema, UONGOZI/viongozi wanachaguliwa/ wanatafutwa na mtu hatafuti uongozi. 2. Sasa kama uongozi unatafutwa na chama na siyo individual, na wewe ni mmoja wa senior members wa CCM na ulishiriki katika mchakato wa kumpata Mgombea Mwenza, kweli mlikubaliana kuwa huyu mama anaweza...
  15. R

    Humphrey Polepole: Key Components of EPC+F

    Haya mabo si vibaya kuyaelewa kidogo: C&P from Google EPC+F, or Engineering, Procurement, Construction, and Finance, is a project contracting arrangement where the contractor is responsible for all phases of a project, including securing the necessary financing, in addition to designing...
  16. Wanaosema Humphrey Polepole hana jipya wajue

    Japo wengi hawaoni lolote jipya kwenya madai ya Humphrey Polepole, mie naona yapo mengi. Give the dirty his due. Polepole, ajue asijue, akusudie asikusudie, akiri asikiri, ana mapya mengi anayo. Huyu Mwanasheria wa ACT ni chawa anayedandia. Hebu tufikiri pamoja. Hapa jipya siyo kile alichosema...
  17. Na wewe umechanganyikiwa au tusikilizie kidogo..?

    Sindano inachoma lakini ndo tunajifunza na ukiona mtu analalamika maisha magumu we mpige Kofi tu na oktoba tunatiki🤣🤣🤣
  18. Polepole: Naishukuru JamiiForums kwa kuwa msaada kwa Serikali katika kutatua changamoto

    Humphrey Polepole amesema JamiiForums walianza kukusanya kero za wananchi kidigitali, na hapa kweli nawashukuru wananchi na JamiiForums kwa kuwa msaada kwa serikali katika kutatua changamoto kidigitali. Ambapo mbali na kuishukuru kaichana serikali kutoshughulikia kero zinazokuwa zimeibuliwa na...
  19. Polepole: Angela Kizigha alituhumiwa kwa ufisadi sare za Polisi, sasa hivi yupo ofisi binafsi ya Rais

  20. R

    GE2025 CHAUMMA yamjibu Polepole madai ya kutumika na CCM

    Naibu Mkurugenzi wa Itikadi, Mafunzo na Elimu kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Dorice Nicholaus Mpatili amesema chama hicho hakina uhusiano wa kimuundo na Chama cha Mapinduzi (CCM), badala yake kimebaki kuwa chama cha upinzani chenye msimamo wa kusimamia kile alichokiita kuwa ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…