hujuma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. brokenagges

    JamiiForums Tanzania Ni hujuma kwa Taifa

    Hii ni dharau kwa Rais samia pamoja na serikali yake kwa ujumla. Ni jambo lenye fedheha kabisa rais anapotoa maelekezo yasizingatiwe. Mkuu wa nchi anapoongea inakuwa ni amri. tumekosa mvua kwa muda mrefu na kumekuwepo na uhamasishaji kutoka kwa mheshimiwa Rais, makamu wa rais, waziri mkuu na...
  2. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Rais Macron naye ailalamikia US: Mnatufanyia hujuma isiyo ya kawaida katika kipindi hiki kigumu

    Katika siku ya kwanza ya ziara yake rasmi ya siku tatu mjini Washington, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amewaambia wabunge wa Marekani kwamba nchi yao inaifanyia Ufaransa "hujuma isiyo ya kawaida hasa katika kipindi hiki cha mdororo wa nishati na uchumi kutokana na Covid-19 na mzozo ya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kulikoni upatikanaji wa dawa katika hospitali za umma?

    Tumeaminishwa na Serikali kuwa mgonjwa anatakiwa kwenda hospitali za umma na atapata matibabu bure. Leo nimeenda Kituo cha Afya ya Buzuruga kumwona mgonjwa wangu sikuamini macho yangu nilipoambiwa kanunue gloves, kanunue pamba, kanununue dawa ya kusafisha jeraha nk. Hivi Mtanzania wa kawaida...
  4. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia Ackson anapingana na Rais Samia? Kati yao nani tumsikilize na kumuamini?

    Hawa ni viongozi wawili ambao wote ni wakuu wa mihimili 2 katika nchi, wote ni wa chama kimoja, wote walikuwepo tangu enzi za Hayati JPM, wote walikuwa ni "Makamu" kipindi cha Hayati JPM, na wote kwa sasa ndiyo wakuu wa mihimili hiyo baada ya watangulizi wao mmoja kufariki na mmoja kujiuzulu...
  5. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Mwakinyo akiri kufanyiwa hujuma kubwa sana, inaumiza sana!

    Niliona Tangu round ya Kwanza, Mwakinyo aliteleza, nikajiuliza inawekanaje avae viatu vinavyoteleza Tena Kwa big match kama hii? Same thing happened kwa round ya pili na ya tatu. Kumbe walijenga mazingira ya kumpotezea bag lake la vifaa vya mchezo na Hivyo last minute kupewa viatu vingine, pili...
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi yakiri kuhusu matukio ya hujuma ndani yake

    Kwamba ghala za silaha kuendelea kulipuka lipuka zenyewe ni matukio ya hujuma ndani kwa ndani. Russia has admitted that the detonation of ammunition at a military depot in the Dzhankoy region of Crimea was due to sabotage. Follow DW for the latest. The Russian Defense Ministry on Tuesday said...
  7. kimsboy

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ni dhahiri kabisa TTCL inahujumiwa, Meneja Masoko TTCL achunguzwe ikibidi afukuzwe kazi

    Ni dhahiri kabisa TTCL inahujumiwa meneja masoko TTCL achunguzwe ikibidi afukuzwe kazi! Hili shirika ni dhahiri linahujumiwa kwa maksudi, ni aibu kwa shirika kama hili ambalo linatumia mabilioni ya walipa kodi kusimika mitambo nchi nzima halafu kuwepo kwa mambo ya ajabu hivi. Hivi mnajua kuwa...
  8. Augustine Moshi

    JamiiForums Tanzania Hujuma na maneno bila matendo

    Kuna harufu ya hujuma wwenye mifumo ya malipo ya serikali. Mwanzo ilifanya kazi. Sasa ni kazi sana kuitumia. Mimi nina siku nyingi sasa za kujaribu kulipa kodi za ardhi na gharama za maegesho kwa njia ya mifumo ya kulipa kwa kielektroniko bila mafanikio. Siku za nyuma nimelipa kodi na tozo...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TRC yasema Ajali ya treni ya abiria Juni 22, 2022 iliyosababisha vifo na majeruhi ni HUJUMA

    Chanzo cha ajali ya treni ya abiria iliyotokea Juni 22, 2022 Mkoani Tabora na kusababisha vifo vya watu kadhaa na kujeruhi wengine kimetajwa kuwa ni hujuma. Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema kuna kipande cha reli kiliondolewa na kisha kurudishwa kwa...
  10. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Hujuma kwa mmiliki wa Bus la Hokas na kilio cha adha ya nauli kubwa kwa wananchi wa kata ya Loya, Uyui -Tabora

    Sumatra-Tabora Takribani miezi mitatu iliyopita Bus la Hokas lilianza safari zake za Loya kwenda Tabora na kuleta ushindani wa kibiashara KWA mmiliki wa Bus la Mama's one na kufikia hatua ya kushusha nauli kutoka 12000/= Hadi 8000,10000 na 7000/= wananchi walifurahia ushindani huo na kushuka...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Tanzania Daima: Kuna Hujuma Baraza Kuu CHADEMA

    Mkutano wa baraza kuu la Chadema unatarajiwa kufanyika leo huku Gazeti la Tanzania Daima lililo karibu na uongozi wa Chadema limeripoti kuwa kuna hujuma. Ni hujuma zipi?
  12. M

    JamiiForums Tanzania ORLANDO PYRATES: Walivyochezewa nusu uwanja hata nyumbani kwao Afrika ya kusini waliona. Porojo za hujuma hazina nafasi.

    Katika ulimwengu wa soka wa Leo Kila mmoja anajionea mwenyewe mambo yalivyokuwa uwanjani. Nafasi ya kudanganya watu kujitafutia huruma haipo. Kusema kweli Orlando washukuru Sana kuishia kufungwa goli moja tu kwa jinsi walivyokuwa wamezidiwa! Hiyo penati ilikuwa ya wazi Sana, BM alipigwa ngwala...
  13. Little brain

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Orlando Pirates aapa kulipiza kisasi kwa hujuma alizofanyiwa na Simba

    Hawaja tu-treat vizuri, unaweza ukashangaa V.A.R Imewekwa lakini haijafanya kazi...! Kiufupi hawakustahili kushinda lakini Nina swali kwao Iwapo na sisi tutawafanyia hivyo mechi ijayo watajisikiaje? Kocha wa Orlando Pirates, Mandla Cinkazi.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali akishindwa kutimiza majukumu yake ni kuihujumu Serikali

    Ndugu. Mwenyekiti salama? Natumaini upo salama muda huu hapo Dubai, huku Dar es Salaam hali shwari kwa maskini na wanyonge ila si salama kwa wasaka madaraka! Sina lengo la kukushtua ukatishe ziara nina lengo la kukupasha habari kazi yetu sisi ni kukuhabarisha. Umbea wa mjini kidogo pamoja na...
  15. IKEKERA

    JamiiForums Tanzania Serikali ikichunguze kivuko cha Busisi-Kigongo upande wa Sengerema. Kuna hujuma kwa wavuka kwa miguu

    Haiwezekani unapewa risiti halafu kwenye kuscan eti machine haifanyi kazi unaambiwa upitie sehemu ambayo machine haifanyi kazi. Hii inaweza kuwa hujuma na upotevu wa mapato ya Serikali. NB:Maendeleo hayana chama
  16. Faana

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Hujuma Mchana Kweupe Ujenzi wa Mitaro ya Barabara

    Wadau mada inajieleza; nimeshitushwa sana nimepita Morogoro eneo la Mkundi ambako mwaka jana tu miezi ya mwishoni ulifanyika ujenzi wa mitaro ya maji ya mvua kandokando ya Highway ya Morogoro - Dodoma. Mvua iliyonyesha siku chache zilizopita imesomba mawe yote yaliyojengwa kwa cement na mchanga...
  17. Hero

    JamiiForums Tanzania Barabara inayounganisha Tabora na Katavi inafanyiwa hujuma

    Pamoja na uzuri wa barabara ilivyojengwa, hivi karibuni mkandarasi alisimika mabango yenye tahadhari za usalama barabarani hasa sehemu hatarishi. Mabango hayo siyo TU yaliongeza ubora wa barabara bali ilikuwa msaada sana kwa watumiaji barabara hasa nyakati za usiku. Cha kushangaza sana...
  18. broken ages

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa TANESCO Arusha; Hii siyo hujuma?

    Nimeona kitu kinachofanyika ama sijui ni tanesco ama ni jiji ila kwa namna nilivyoona ni uharibifu ni kweli inawezekana kwamba miti hii inazuia ama inaleta madhara kwenye nyaya na njia za umeme na hivyo inapaswa kukatwa ili kupisha nyaya za umeme Hili siwezi kupingana nalo ila ambacho mimi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Leo siku ya 3, system ya evaluation ya TRA hakuna

    Kipindi cha Mwendazake, mambo kama haya yalikuwa hayafanyiki. Leo siku ya 3, hii system ya evaluation ya TRA hakuna. Je, kuna nini inaendelea nyuma ya pazia?
  20. K

    JamiiForums Tanzania Soda zimeisha mtaani!

    Wanajamvi Heri ya mwaka mpya. Mimi ni mdau wa kuuza bidhaa za dukani na vinywaji. Kuna changamoto kubwa sana sasahivi kupata Soda za kampuni zote coca na pepsi. Shida ni nini jamani mbona hatuelewi?
Back
Top Bottom