Mh Waziri Ummy Mwalimu Yapata mwezi na nusu sasa mfumo wa makato ya mishahara ya watumishi wa manispaa ya Ilala na Temeke haifanyi kazi, kiasi kwamba watumishi walio katika hizo manispaa wanaotaka kuchukua mikopo wamekwama yapata mwezi na nusu sasa, tunaambiwa system ya RASSON imeharibika, hivi...
Ni takribani mwezi sasa wafanyakazi walioomba mkopo benki hawapewi pesa kwa kile kinachodaiwa ni mfumo wa mawasiliano kati ya benki na mwajiri kuwa na hitilafu.
Hoja hapa ni je, huo mfumo pia umechezewa ili kumchonganisha mama na wafanyakazi?
Na kwanini mamlaka inayohusika na mfumo huo haitoi...
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inaujulisha Umma kuwa Jumapili tarehe 23 Mei 2021, Majira ya saa 8 Mchana katika Bandari ya Dar es Salaam, mashine ya kunyanyua vitu vizito (crane) iliyokuwa ikishushwa kutoka kwenye meli ya LCT AJE 1 ilipata ajali ya kutumbukia baharini.
Mashine...
Ni kawaida nchini kwa kila kiongozi mpya anapoingia madarakani, kuwepo kwa genge la wanufaika wa uongozi uliopita kulinda na kusukuma maslai yao. Mwinyi – kama alivyoandika kwenye kitabu chake – alisumbuliwa sana na ‘watu’ wa Nyerere, ikiwemo Nyerere mwenyewe. Mkapa hakusumbuliwa sana na hili...
Wanabodi nawasalimu.
Siku kadhaa zilizopita tumeshuhudia tatizo kubwa la ununuzi wa umeme wa LUKU kwa siku tatu mfululizo. Biashara nyingi zilisimama. Bado hatujaambiwa ni kwa kiasi gani uchumi umetetereka. Lakini hunitaji elimu ya chuo kikuu kujua ni athari gani kiuchumi ilitokea.
Serikali...
Leo nimeenda kununua umeme kituo kimoja cha TANESCO.
Nikiwa kituoni pale kulikuwa na msururu mrefu sana wa wananchi wakiwa kwenye foleni, akaja mtu ambaye haiba yake inaonyesha ni mtu mwenye uwezo hivi kifedha. Yule bwana akajinadi kuwa ni Muinjilisti, akaanza kuchanganya maneno ya dini na...
TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA MANUNUZI YA LUKU KWA BAADHI YA WATEJA
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaomba radhi wateja wake kutokana na hitilafu iliyotokea kwenye mfumo wa manunuzi ya umeme wa LUKU siku ya Jumatatu, Mei 17, 2021 na kusababisha baadhi ya wateja kushindwa kununua...
binafsi
ccm
hujuma
ikulu
kutumia
luku
mabadiliko
madeni
msaada
mtandao
njia
palestina
rais samia
siku
tanesco
tatizo la umeme
umeme
upinzani
watanzania
zanzibar
Anaandika Mdau kutoka Mwanza
HUJUMA ZA KUTISHA UCHAGUZI MKUU WA BAWACHA - MWANZA
Leo 18 May 2021 ni siku ya Uchaguzi Mkuu wa Bawacha Taifa kujaza nafasi zilizoachwa wazi na akina Halima Mdee na wenzie, Kwa tulio wengi tunategemea Chadema kama Chama cha Demokrasia na waumini wakubwa wa uhuru...
Kwanini kutuma pesa kutoka Voda kwenda Voda inakuwa rahisi na huduma inakuwepo muda wote ila kutuma mtandao tofuti mnasuasua! Leo kuanzaia saa kumi na mbili asubuhi hadi sasa hivi saa nne huduma ya kutuma pesa kwenda mtandao mwingine hakuna! Tatizo hili sio leo tu bali limekuwa likijirudia mara...
Nasubiri Bandari Kubwa ya Lamu izuie Bandari Ndogo za Dar na Mombasa: Namna Maarifa Madogo Yanavyoiua Bandari ya Bagamoyo na Kuifaidisha Kenya
Kumekuwa na mijadala mikali kuhusu Mradi wa Eneo la Kiuchumi la Bagamoyo. Mjadala huo wenye malumbano ya kurushiana shutuma umekuwa mjadala mbovu sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.