DOKEZO Ni dhahiri kabisa TTCL inahujumiwa, Meneja Masoko TTCL achunguzwe ikibidi afukuzwe kazi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,992
17,892
Ni dhahiri kabisa TTCL inahujumiwa meneja masoko TTCL achunguzwe ikibidi afukuzwe kazi!

Hili shirika ni dhahiri linahujumiwa kwa maksudi, ni aibu kwa shirika kama hili ambalo linatumia mabilioni ya walipa kodi kusimika mitambo nchi nzima halafu kuwepo kwa mambo ya ajabu hivi.

Hivi mnajua kuwa TTCL ndo mtandao ghali zaidi Tanzania kwa sasa? Wakati wenzao wanauza gb kwa 1200 hadi 1300 wao wanauza gb kwa 1600.

Vifurushi vyao ni ghali sana, sio dakika sio sms, hawa walitakiwa wawe na unafuu kidogo ili watu watumie kwa wingi then mapato yapatikane.

Nasema haya kwasababu, Serikali imetumia mabilioni ya pesa kulilifua hili shirika lakini wayafanyayo hayastahili kabisa.

Halafu pamoja na kuenea karibu nchi nzima, meneja masoko hana mpango wowote wa kufanya promo kama yafanyavyo makampuni mengine.

Yeye yupo kwa maslah ya wengine nadhani, pale ttcl kulikua na mchezo wa meneja kupokea mishahara miwili, mmoja analipwa na ttcl/serikali mwingine anaingiziwa na hizi kampuni shindani.

Kifurushi cha bufee kiliwafanya hawa jamaa kujizolea mamia ya watu sasa hivi wamekiharibu kiukweli huyu meneja wa masoko hafai kabisa kuendelea kuwepo pale, anatumika kuua shirika.

Tukiendelea kuchekea huu upuuzi tutajuta siku moja tunapoteza mabilioni ya pesa kufufua mashirika kama haya halafu kikundi cha watu wachache kinaua shirika kwa mgongo wa nyuma kupitia hawa makanjanja wanaofanya kazi shirikani.

Meneja masoko TTCL asimamishwe kazi, mkurugenzi naye abadilishwe, hili shirika bila hivyo linaenda kufa tena!
 
Siku chache zilizopita sjajua kama bado hio ofa ipo unaperuzi kokote free hata kama salio linasoma zero na simu unapiga kwenda mitandao yote labda shida hawatangazi hizo ofa zao.
 
Dooh
 
Nimelipia bufee sipati mtandao, kuangalia Salio system inakataa, napiga simu customer care hawapokei ikabidi niwapigie TCRA wakawapigia ingawa wakanishauri niwatumie email.. jioni nikawa sipati mawasiliano ya simu kuwatumia e mail mpaka Leo hawajanijibu.
 
Ttcl ni takataka
 
Siku chache zilizopita sjajua kama bado hio ofa ipo unaperuzi kokote free hata kama salio linasoma zero na simu unapiga kwenda mitandao yote labda shida hawatangazi hizo ofa zao.
.alipigwa vya kutosha watu tuliokua na ttcl tuliserebuka mnoo dah ili shirika acha life
 
Ni dhahiri kabisa TTCL inahujumiwa meneja masoko TTCL achunguzwe ikibidi afukuzwe kazi!

Hili shirika ni dhahiri linahujumiwa kwa maksudi, ni aibu kwa shirika kama hili ambalo linatumia mabilioni ya walipa kodi kusimika mitambo nchi nzima halafu kuwepo kwa mambo ya ajabu hivi.

Hivi mnajua kuwa TTCL ndo mtandao ghali zaidi Tanzania kwa sasa? Wakati wenzao wanauza gb kwa 1200 hadi 1300 wao wanauza gb kwa 1600.

Vifurushi vyao ni ghali sana, sio dakika sio sms, hawa walitakiwa wawe na unafuu kidogo ili watu watumie kwa wingi then mapato yapatikane.

Nasema haya kwasababu, Serikali imetumia mabilioni ya pesa kulilifua hili shirika lakini wayafanyayo hayastahili kabisa.

Halafu pamoja na kuenea karibu nchi nzima, meneja masoko hana mpango wowote wa kufanya promo kama yafanyavyo makampuni mengine.

Yeye yupo kwa maslah ya wengine nadhani, pale ttcl kulikua na mchezo wa meneja kupokea mishahara miwili, mmoja analipwa na ttcl/serikali mwingine anaingiziwa na hizi kampuni shindani.

Kifurushi cha bufee kiliwafanya hawa jamaa kujizolea mamia ya watu sasa hivi wamekiharibu kiukweli huyu meneja wa masoko hafai kabisa kuendelea kuwepo pale, anatumika kuua shirika.

Tukiendelea kuchekea huu upuuzi tutajuta siku moja tunapoteza mabilioni ya pesa kufufua mashirika kama haya halafu kikundi cha watu wachache kinaua shirika kwa mgongo wa nyuma kupitia hawa makanjanja wanaofanya kazi shirikani.

Meneja masoko TTCL asimamishwe kazi, mkurugenzi naye abadilishwe, hili shirika bila hivyo linaenda kufa tena!

Msimlaumu meneja wa masoko sababu mtakua mnamuonea bure.

TTCL wamezidiwa na gharama za uendeshaji

Kampuni ina vitengo na idara na wakuu wake wasio na faida yoyote kwa shirika.

Zaidi zaidi wamejiweka hapo kugawana pesa na mishahara mikubwa mikubwa na allowances za ajabu

Hilo shirika ila ili liendelee lazima mfumo mvunjwe liundwe upya
 
Misimlaumu meneja wa masoko sababu mtakua mnamuonea bure.

TTCL wamezidiwa na gharama za uendeshaji

Kampuni ina vitengo na idara na wakuu wake wasio na faida yoyote kwa shirika. Zaidi zaidi wamejiweka hapo kugawana pesa na mishahara mikubwa mikubwa na allowances za ajabu

Hilo shirika ila ili liendelee lazima mfumo mvunjwe liundwe upya
Mtumieni nandy aliongeze nguvu

Ova
 
Siku hizi voucher hamna kabisa kitaa nasikia wamepandisha bei.
 
Back
Top Bottom