hujuma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hismastersvoice

    LGE2024 Uchaguzi serikali za mitaa waandaaji wanafanya hujuma

    Siku ya jana niliamua kwenda kuangalia jina langu kwenye ofisi husika kama tulivyoshauriwa, nilifika kwenye ofisi na kuzikuta karatasi zenye majina zikiwa zimebandikwa ukutani. Karatasi hizo zimeandikwa kwa kalamu yenye wino hafifu kwenye karatasi ya rangi hafifu ya njano hivyo kuyafanya majina...
  2. robbyr

    TTCL hawana uwezo au ni hujuma kwa taifa na wananchi wa Tanzania?

    Tupo kwenye ulimwengu wa kasi kwa kila kitu ila TTCL kwenye huduma ya Internet wamelala au kukosa ubunifu. Mimi nimzaliwa wa Kilimanjaro na mtanzania ila jambo la mtando limekuwa kero sana kwenye baadhi ya vijiji vilipo chini ya mlima Kilimanjaro. Ukiangalia kwa sasa juu ya mlima huo...
  3. kichongeochuma

    CCM chama changu mawakala wa chama hadi sasa hawajalipwa chochote tangu uandikishaji uanze hii ni hujuma kwa chama kikubwa kama hiki.

    Mawakala tangu wameanza zoezi la kuandikisha hawaja pata chochote licha ya kushiriki kikamilifu kufanya uhamasishaji, wanajigharamia wenyewe chakula na hakuna posho yeyote wamepewa kwa kazi hii hadi sasa. Je, hawakuwa na budget au kuna watu wa chama ngazi ya halimashauri wamekula? Hebu tuifute...
  4. analysti

    DOKEZO Responded Hujuma Kubwa SGR: Inagoma kukata tiketi

    Rais Samia, kuwa makini na watumishi wa SGR, mfumo unagoma kukata ticket. Process ya kukata ticket, inaenda mpaka unafikia hatua ya kuchagua seat, ukishachagua seat unapotaka kuelekea mbele kwa ajili ya malipo, mfumo unazunguka tu. Ukisema uanze upya unakuta ile seat uliyokuwa umeichagua...
  5. B

    Kuzuia maandamano ni hujuma kwa serikali ya Mama Samia. CCM idhibiti wanaoihujumu

    Nikicheki kwa jicho la mwewe ni kuwa kitendo cha kutumia nguvu kubwa sana kudhibiti haya maandamano ya CHADEMA ni kuihujumu serikali ya Mama Samia na kuipaka uchafu. Wanaomshauri Rais wapigwe tu chini. Ingawa CHADEMA nao walizingua kuja na kauli ya "Samia must go" , serikali ingetumia busara...
  6. mahindi hayaoti mjini

    Baada ya vyombo vya habari vya nje kutangaza, nimeamini rasmi kwamba ni hujuma

    Sasa nimeamini kweli maadui zetu si watanzania, bali mabeberu wakishirikiana na chadema, Watanzania kuweni makini na amani iliyopo, tukiiharibu ndio furaha kwa maadui zetu Kuweni makini sana
  7. Fredrick Nwaka

    Vipindi bora vya habari kwenye media za Tanzania

    Media za Tanzania zimepitia mabadiliko kadhaa yanayotokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia. Hivi ni vipindi vya habari ambavyo vinanivutia kwenye media za Tanzania. 1. TBC 1 Aridhio 2. TBC 1 Aridhio 3. TBC 1 Aridhio 4. KAIFA ya TBC Taifa 5. Mirindimo ya asubuhi TBC Taifa 6. Dira ya mchana...
  8. GENTAMYCINE

    Kama Mifumo ya Miundombinu ya Treni katika nchi Kubwa na Tajiri 'imehujumiwa' sijui ya kule kwa wale Masikini wamejiandaa vipi kwa 'hujuma' za mbeleni

    Hata hivyo yawezekana kule wa Mataifa Masikini kabla ya Safari zao kuanza kulifanyika Matambiko makubwa sana tu.
  9. GENTAMYCINE

    Sijui tumejiandaaje na hizi Hujuma ambazo zilitugharimu sana Misimu Miwili iliyopita japo tulionya mapema ila tukapuuzwa na Wapuuzi

    1. Kwa Makusudi Wachezaji wetu Mahiri hasa wa Kigeni Kuchezewa Rafu mbaya katika Mechi Tatu za mwanzo za Ligi 2. Maadui kwenda Bunju huku wakiwa wamevaa Jezi zetu na baada ya Mazoezi wanakusanya Nyasi na Mchanga wa Uwanja kisha kwenda Kuwafunga Kiushirikina Wachezaji wetu 3. Mtu Mmoja katika...
  10. T

    SSC: Je, ni wakati wa Kutafakari Hujuma kambini?

    Moja Kwa moja kwenye mada, naungana na wazo la Huja, The Jf Expert member kwamba ni wakati wa Kutafakari kwamba inawezekana kambi ya Simba si salama Kwa Hujuma toka Jangwani. Hii hoja naona ina mshiko na imethibitika toka awali tulipofungwa round ya kwanza zilionekana ni Hujuma lakini viongozi...
  11. Samaki Singa

    KERO ATCL imulikwe huenda kuna hujuma, ratiba za safari zao hazieleweki

    Kuna haja ya kuimulika ATCL, Shirika la Ndege la Taifa.Sasa hivi ratiba zake hazieleweki hadi kufikia hatua ya kuwatelekeza wafasiri bila kuwapa sababu za msingi za kufanya hivyo. Usiku huu wa tarehe 17 June. 2024 abiria wa ndege namba TC 103 iliyoondoka Mwanza saa 4.00 usiku "wametelekezwa"...
  12. figganigga

    DOKEZO TRA yalalamikiwa kwa Uzembe na Hujuma Bandarini, Wafanyabiashara wa Mafuta wakimbilia Mombasa

    Salaam Wakuu, Wafanyabiasha wa Mafuta wa nje ya Nchi kutoka Congo, Malawi, Rwanda na Burundi wanalalamikia TRA kwa kuchelewesha Document kitu ambacho kinawatia hasara. Tatizo hilo limeanza hivi karibuni. Ukipakia mzigo unaambiwa "System ipo down". Hali hii inafanya mfanyabiashara kusubiri...
  13. R

    Ushauri kwa Chadema: Fanyeni uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu wake baada ya uchaguzi Mkuu wa 2025. Msiwape fursa machawa wa CCM nafasi ya hujuma

    Hii ni fragile moment. CCM wanaangalia wapi chadema itadondoka na wameshaona kizuizi kikubwa ni Mbowe. Haongeki. Kwa kipindi hiki cha uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge, nawashauri postpone uchaguzi wa Mwenyekiti na makamu wake mvuke salama kipindi hiki. Mtakumbuka machawa walivyoshangilia...
  14. Messenger RNA

    Tabia za kutokutelekeza majukumu kikamilifu kwa baadhi ya mashirika ya umma na viongozi kama siyo hujuma ni nini?

    Shirika la mawasiliano la taifa lenye wataalamu wa kutosha linashindwa kutoa huduma bora ilihali limepewa kila nyenzo zinazohitajika huku mashirika binafsi yakifanya vizuri sana Kama sio hujuma ni nini? Utoaji haki kwa jamii umekuwa changamoto kubwa hasa ardhi, ikitokea kiongozi mwenye nia...
  15. uhurumoja

    Hii live coverage wanayofanya Azam imekaa kihujuma hujuma kweli.

    Imagine coverage Haina drone camera hata Moja picha za juu za kawaida kweli kweli Sauti nadhani Kila mtu anaisikia hata Millard Ayo angefanya vizuri zaidi ya hii NB: Mtu ambae Azam imempa uongozi wa picha na video kwa Sasa ni anafeli kwa nyanja zote ukiangalia upandishaji wa picha na video...
  16. GENTAMYCINE

    Msemaji wa Singida FG Hussein Massanza tunasubiria Matokeo ya Taarifa yako kuwa kuna 'Hujuma' ilifanyika kabla hamjacheza na Yanga SC jana

    Baada ya Kuiangalia Video Clip yako iliyowekwa na Gazeti la Mtandao wa Mwanaspoti (ulipokuwa unazungumza) huku Body Language yako ikielezea mengi na Sura yako ikiwa Kali isivyo kawaida na kama ulivyozoeleka naamini kuna Jambo lililojificha lakini kama Siku PCCB (TAKUKURU) wakiamua waingie Kazini...
  17. J

    Simba kumbe aliwekewa hujuma na timu 4 kubwa Asec, Wydad,. Yanga na Galaxy ili aisipenye robo fainali

    Aisee kweli mpira ni vita sasa ni wazi kumbe Simba alikuwa akipambana na hujuma kali kutoka kwa timu 4 ili asiingie robo fainali. Timu hizo ni Wydad ambaye aliamua kucheza mchezo mchafu na kwenda kuwahonga Asec wamuachie goli ashinde kwa uhakika. Timu nyingine ni Asec ambao walikubali kula...
  18. Chizi Maarifa

    Ni hujuma kwa nchi za Kiarabu katika AfCON hii

    Inaumiza sana. Yaani Morocco ya kufungwa na South Africa? Cape Verde kweli wanaitoa Mauritania? Senegal wanatolewa na Ivory Coast? Naona kama kuna maelekezo toka juu. Si sawa kuna msaada kutoka 👆 juu. Team za kiarabu na zenye vinasaba na uarabu wameona wazichinjie baharini. Cape verde ka nchi...
  19. M

    Zitto Kabwe: ACT Wazalendo imehujumiwa wazi uchaguzi wa Mtambwe

    Hii ni kali. 👇 "Tumeshuhudia hujuma za wazi Uchaguzi wa Mtambwe; tena katika wakati ambao nchi ipo kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa(SUK), wananchi wametulia na ipo Kamati ya Maridhiano ya Vyama vinavyounda SUK. Haikutarajiwa uhuni huu katika zama hizi."
  20. M

    UN: Ghaza imegeuka eneo la makaburi ya watoto kufuatia hujuma ya Israel

    Nov 01, 2023 12:18 UTC Eneo la Wapalestina la Ghaza limegeuka kuwa makaburi kwa watoto kwani maelfu wameuawa kufuatia mashambulizi yanayofanywa na utawala haramu wa Israel, huku zaidi ya watoto milioni moja wakikabilwa na uhaba wa mahitaij muhimu na maisha yao ya baadaye yakiwa mashakani...
Back
Top Bottom