huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Naomba ushauri wa Kampuni inayotoa huduma ya mortgage hapa nchini

    Naomba kujua huduma ya mortgage hapa nchini Hali ikoje,ni wapi watoa huduma wazuri kwa mtu mwenye uzoefu. Najua JF ni kisima cha Taarifa. Nawasilisha!
  2. Mwislam by choice

    Ujenzi Holela Zanzibar: Sehemu nyingi hazifuati mipango miji – Moto ukitokea huduma haziwezi kufika!

    Kwa yeyote anayeishi au kutembelea maeneo ya Zanzibar, atakuwa ameshuhudia jinsi ujenzi wa nyumba unavyoendelea kwa kasi maeneo mbalimbali. Lakini cha kusikitisha ni kwamba ujenzi huu kwa sehemu kubwa unafanyika kiholela bila kufuata mipango rasmi ya miji. Eneo la Jumbi juu ya kilima upande wa...
  3. D

    Karibu kwa huduma ya ufundi wa vifaa vya electronics na umeme

    Karibu wa huduma ya ufundi wa vifaa vyote vya electronics na umeme, kwa ufundi wenye uhakika bila ubabaishaji na uaminifu wa hali ya juu. Vifaa hivyo ni kama;- Tv aina zote, Projectors, Amplifiers, mixers, Vinanda, Machine za kufulia, machine kubwa na ndogo za kuprint, machine za mazoezi...
  4. K

    Wakazi wa mji wa Njombe wanatarajia kupata huduma ya majisafi, salama na ya kutosheleza kwa asilimia 100, kufuatia Mradi mkubwa wa maji unaotekelezwa

    Wakazi wa mji wa Njombe wanatarajia kupata huduma ya majisafi, salama na ya kutosheleza kwa asilimia 100, kufuatia Mradi mkubwa wa maji unaotekelezwa na Serikali kwa gharama ya Dola za Marekani 15.7. Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amefanya ziara ya kukagua mradi huo ambao ni moja wapo...
  5. A

    Responded Mrejesho: Kero huduma ya majisafi Kibaha Pangani

    Habari JF Naomba mtafute ile post tulituma kupitia jukwaa la malalamiko / fichua uovu Hatimaye tunawashukuru DAWASA wameanza mchakato wa huduma ya maji Kibaha-Pangani Pia soma ~ Mradi wa Maji Kibaha-Pangani wenye thamani ya Tsh. Bilioni 9.8. uliosainiwa Mwaka 2023 waanza kutekelezwa
  6. H

    Tunatoa huduma za ufundishaji kwa watoto wenye mahitaji maalum

    Unamlea mwanafunzi: Mwenye changamoto ya kujifunza (slow learner) Asiyefahamu kusoma na kuandika vizuri Mwenye uhitaji wa mbinu maalum ya ufundishaji Au mwanafunzi wa Special Needs anayehitaji mwalimu mwenye uvumilivu, upendo na mbinu maalum? Tunao walimu walio bobea katika: Phonics &...
  7. Nipe Maji

    GE2025 Mradi unaolenga kuboresha huduma ya maji Tanga Jiji, Muheza, Pangani na Mkinga, kunufaisha wakazi 555,000

    Hatimaye wakazi wa mikoa ya Tanga, Pangani, Muheza na Mkinga wananufaika moja kwa moja na matunda ya hati fungani ya kijani iliyotolewa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (TANGA UWASA), yenye thamani ya Shilingi Bilioni 53.12, ambayo ilianza kuuzwa rasmi tarehe 22...
  8. CM 1774858

    RECORD HOSPITALI: Jumla ya hospitali mpya za rufaa 4 na hospitali mpya za Halmashauri 129 pamoja na hospitali mpya za huduma za dhararula(EMD) 118

    Rais Samia akiweka jiwe la Msingi ujenzi wa Hospitali Mpya ya Rufaa Kusini ==Rais Samia amejenga hospitali mpya za rufaa 4 na hospitali mpya za Halmashauri 129 na hospital ya Emergency Medicine Depertment 118 kama msingi wa Dira2050. Rais Samia amekamilisha awamu ya kwanza ya ujenzi na...
  9. CM 1774858

    RECORD: Majengo ya huduma kwa wagonjwa wa dharula kama ajali, kujifungua yameongezeka kutoka majengo7 mpaka majengo 125 ndani ya miaka minne

    === Rais Samia ameongeza hospitali zenye majengo ya kutolea huduma za dharura ( EMD) kutoka 7 mwaka 2020 hadi 128 mwaka 2025. Aidha, Kukamilika kwa ujenzi wa majengo ya kutolea huduma za dharura kumepunguza vifo na kuokoa maisha kwa wagonjwa wa dharura hasa wa ajali na Wajawazito bila kujali...
  10. B

    Huduma majumbani

    UNAHITAJI MSAADA MAJUMBANI? Mimi ni kijana msomi, mwenye uzoefu wa kazi za majumbani na huduma kwa watoto. Ninatoa huduma zifuatazo kwa malipo ya siku: ✅ Kufundisha watoto homework za shule ✅ Kukaa na kuwapa uangalizi watoto (Baby Sitting) ✅ Mapishi ya aina zote majumbani ✅ Kupika kwenye hafla...
  11. B

    Huduma majumbani

    UNAHITAJI MSAADA MAJUMBANI? Mimi ni kijana msomi, mwenye uzoefu wa kazi za majumbani na huduma kwa watoto. Ninatoa huduma zifuatazo kwa malipo ya siku: ✅ Kufundisha watoto homework za shule ✅ Kukaa na kuwapa uangalizi watoto (Baby Sitting) ✅ Mapishi ya aina zote majumbani ✅ Kupika kwenye hafla...
  12. J

    DIRA2050: Ifikapo 2050 huduma za afya zitapatikana kilometa sifuri toka kilometa tano za sasa | Hii itasaidia kuondoa vifo vya mama na mtoto

    == Kuelekea 2030 upatikanaji wa huduma za afya kuwa zero kilometa kutoka kilometa 5 ya sasa ambazo zimefikiwa chini ya Uongozi wa Rais Samia. Kufikia mwaka 2050 Dira ya maendeleo ya Taifa inatarajia kuwa na jamii yenye afya ambapo kila mtu anapata huduma za afya kwa usawa na kwa gharama nafuu...
  13. Tech Max

    Unahitaji huduma za Kompyuta kama programu, windows 10,11 na n.k

    Kama unahitaji huduma za Kompyuta kama windows 10,11, programu na n.k Napatikana: Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  14. Tech Max

    Kama unahitaji huduma za Kompyuta programu na n.k

    Kama unahitaji huduma za Kompyuta programu na n.k (Microsoft Office Pro 2019) Napatikana: Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  15. K

    Microfinance ipi wana huduma nzuri za utoaji mikopo kwa dhamana kadi gari?

    Habari wana JF. Kwa ambaye amewahi pata mkopo kwenye hizi microfinance na akaridhika na huduma kwa maana ya huduma inayoendana na mkataba na isiyo na janjajanja naomba anijuze nipo Dar. Hapa nazungumzia mkopo kwa dhamana ya kadi ya gari. N.B Kwa sasa siwezi pata mkopo benki kwa maana ya...
  16. Tech Max

    Huduma gani unahitaji ya IT? website, computer,blog,social media,n.k

    Huduma gani unahitaji ya IT? Napatikana: Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  17. DuaZaMama

    GE2025 Kiza Mayeye: Huduma ya Afya Tanzania zinatolewa kwa matabaka

    Tanzania imebarikiwa utajiri wa kila kitu, lakini tunashangaa huduma ya afya ni mbovu, tumekuja hapa Tunduru kinamama wanalalamika wakienda kujifungua wanauziwa watoto, vifaa vya kujifungulia hakuna, wazee wanatozwa hela, lakini tunashangaa wenzetu wa Chama Cha Mapinduzi wanajisifia eti nchi...
  18. Analogia Malenga

    Brave Browser yakataa masharti ya TRA, hivyo hawatoi huduma Tanzania

    Kwa suala la taasisi kuwa na ofisi ndani ya Tanzania limeikubwa Browser ya Brave ambayo ina vitu vingi vizuri na inafanya kazi kama Chrome. Leo nimejaribu kuidownload ili nipate vitu vizuri nimekutana na ujumbe huu Angalia ujumbe huo hapa TRA Notice
  19. DuaZaMama

    GE2025 Janeth Rithe: Msitegemee kupata huduma bora za afya

    Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa ACT Wazalendo Janeth Rithe, amewaambia wakazi wa Jimbo la Tunduru Kusini Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, kuwa wasitegemee kupata huduma bora za afya kwakuwa Chama Cha Mapinduzi hakijali matatizo ya wananchi hivyo dawa pekee ya kuboresha huduma zote za kijamii...
  20. Dennis Robert Shughuru

    Huduma ya maji itakuwa ya uhakika na bei nafuu

    NIKIWA RAIS WA TANZANIA HADUMA YA MAJI ITAKUWA YA UHAKIKA Hakutakuwa na mgao wa maji hili linawezekana mbona nchi nyingine wameweza hata sisi tunaweza Wananchi wa mjini na vijijini hawatakuwa na haja ya kuweka akiba kama ilivyo nchi zilizoendelea Maji ya bombani yatakuwa hayana haja ya...
Back
Top Bottom