huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mtandao wa Airtel ninyi siyo wezi? Huduma zenu mbovu sana

    Huu mtandao umekuwa wa ajabu sana. Watu wanatuma Miamala sms hazirudi kwa wakati, wananunia LUKU sms hawazipati, Internet yao ni weak kupita maelezo. Mbaya zaidi customer care services simu zao hazipatikani kabisa. Mtando umekuwa wa hovyo sana, huku ni kupoteza wateja. Kama kuna tatizo la...
  2. JamiiForums Tanzania Wizara ya Maliasili yasitisha tozo za Loji, kambi za huduma za kitalii katika Hifadhi za Taifa (TANAPA) kwa miezi mitatu

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk.Damas Ndumbaro amesitisha tozo ya pango ya ardhi kwa loji na kambi za huduma za kitalii katika Hifadhi za Taifa (TANAPA) kwa kipindi cha muda wa miezi mitatu kwa lengo la kutoa ahueni kwa Wadau wanaotoa huduma hizo kukabiliana na athari za ugonjwa wa UVIKO 19...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo: Siyo haki kutengeneza sanamu kama ishara ya kumkumbuka marehemu, ingejengwa taasisi ya huduma za kijamii

    Mbunge wa Musoma vijijini, Prof Muhongo amesema siyo kumbukumbu nzuri kumtengenezea sanamu marehemu au hayati na badala yake ni kheri fedha hizo zikatumike kujenga taasisi ya kuhudumia jamii kwa ajili ya kumbukumbu ya huyo anayetakiwa kukumbukwa. Chanzo: Tanzania Abroad tv
  4. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Zainab Chaula: Tumieni Shirika la Posta kutoa huduma zenu

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Zainabu Chaula, amekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya Wakuu wa Mashirika na Taasisi mbalimbali zinazotoa huduma ya kiserikali kwa jamii. Kikao hicho kimefanyika leo tarehe 6 Julai 2021, huku kikihudhuriwa na Wakuu wa...
  5. JamiiForums Tanzania Napataje Leseni ya kuwa agent wa huduma za ajira?

    Habari wadau yoyote mwenye kujua swala zima lakupata Leseni ya uwakala wa ajira.
  6. JamiiForums Tanzania Wapi ninaweza pata huduma ya laser permanent hair removal?

    Habari Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ndugu zangu naombeni kufahamishwa.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Je, Uchumi unapaa au unashuka? Ongezeko la bei ya petrol na diesel laanza kupaisha bei za bidhaa na huduma

    Maumivu ya ongezeko la bei ya wese yameshaanza kusikika kidogokidogo hasa kwa upande wa bei za bidhaa japo haijawa rasmi bado. Sina hakika sana kama uchumi unapaa, unadumaa au unashuka ila nilicho na uhakika nacho wamiliki wa vyombo vya usafiri wameanza kuongeza bei kimtindo. Nawasalimu kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Watumiaji wa Airtel mmeanza kufurahia hii huduma?

    Nasikia Gb 7 zinatolewa kwa siku 14. Vipi kwako huko unazipata au ndio geresha?
  9. JamiiForums Tanzania BoT: Baadhi ya huduma za kibenki zitasimama tarehe 1 Julai na kurejea 2 Julai ili kufunga mwaka wa Serikali

    Baadhi ya Huduma za kibenki katika benki kuu zitasimama tarehe 1 Julai na kurejea tarehe 2 Julai, sababu ni kufunga mwaka wa Serikali.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Posta yajidhatiti kuimarisha huduma zake jijini Dodoma

    POSTA YAJIDHATITI KUIMARISHA HUDUMA ZAKE JIJINI DODOMA. Na mwandishi wetu- Dodoma Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Bw. Macrice Mbodo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Anthony Mtaka, kwenye Ofisi za Mkuu huyo wa Mkoa, Jijini Dodoma. Kikao hicho...
  11. JamiiForums Tanzania Madeni ya NHIF yasababisha hospitali nyingi kulemewa katika kutoa huduma

    MFuko wa Afya ya Taifa BIMA(NHIF) Umekuwa ni mfuko wenye wateja wengi ,ulianzishwa kwa lengo zuri la kuhudumia wanachama wao kupata huduma ya afya katika ngazi zote za Hospitali, Mfuko huu wa Bima umekuwa ukidawai na Hospital kwa takribani Miezi 6 Bila kuzilipa,Huku Hizo hospitali zikiwahudumia...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Zahanati yafungwa baada ya Muuguzi aliekuepo kupata ujauzito wananchi wahaha kupata huduma!

    Uvinza. Wakazi wa kijiji cha Chakulu, kata ya Uvinza wilayanii Uvinza wamelalamika kukosa huduma za afya baada ya zahanati wanayoitegemea kufungwa kwa zaidi wiki moja, hali inayosababisha usumbufu kwa wananchi. Hatua hiyo imekuja baada ya zahanati hiyo kuwa na wahudumu wa afya wawili, huku...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia, ukiongezea Kanisa misamaha ya kodi, Wananchi na watumishi tupewe misamaha pia ili tumudu huduma za Kanisa

    Nakusalimu Mhe. Rais, Kwanza ni ukweli ulio wazi kuwa kanisa hasa la Katoliki limekuwa likitoa huduma nyingi sana kwa jamii hasa katika elimu na afya na wamekuwa wakitoa msaada mkubwa sana kwa jamii na serikali kwani wamekuwa wakichagiza maendeleo kwa ujumla na hutoaji huduma. Ukweli ni kwamba...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kupunguza gharama za kuingiza umeme kuwa 27000, wangefanya huduma hiyo kuwa ya haraka kwa bei ya zamani

    Natamani inchi yangu ijifunze kuangalia kipaumbele cha kero! Ni kweli kabisa gharama za kuingiza umeme hazitakiwi kuwa kubwa namna ile kutokana na mazingira kwamba Luku na miundo mbinu si Mali ya mteja Bali ni Mali ya mtoa huduma! Lakini kutokana na mipangilio mibovu, pamoja na kuwepo ile...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Nyangasa karibu Kigamboni anza na kupatikana Huduma ya Maji ya DAWASA na Tozo Daraja la Kigamboni

    MHESHIMIWA NYANGASA KARIBU KIGAMBONI ANZA NA UFUMBUZI WA KUPATIKANA HUDUMA YA MAJI NA PILI TENGENEZA MIKAKATI YA SERIKALI KUONDOA TOZO ZA DARAJA LA KIGAMBONI KWA WANANCHI Nianze kwa kuipongeza mamlaka ya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya, yaani Mheshimiwa Raisi Samia Suluhu Hassan kwa kukuchagua wewe...
  16. JamiiForums Tanzania Mechi ya ligi kukosa huduma ya kwanza inakuwaje?

    Jana nilikuwa naangalia mechi ya ligi {VPL} kati ya Gwambina na Dodoma Jiji. Kilichonifadhaisha ni kitendo cha mchezaji {nadhani wa Gwambina} kuumia na kubebwa mzegamzega na mtu mmoja kutolewa uwanjani, niajiuliza wale wahudumu wa huduma ya kwanza hawakuwepo {First Aid}? Hivi mechi hiyo...
  17. JamiiForums Tanzania Huduma ya internet

    Naomba kuuliza wakuu, kwa wale mliopo Dar Kuna jengo karibu na Mlimani City linapangishwa je Kuna huduma za Internet ya fiber maeneo zimefika huko?
  18. T

    JamiiForums Tanzania Huduma ya LUKU imepotea tena, hatuwezi kununua umeme

    Ni masaa matano tokea system ya LUKU kupotea yaani huwezi kununua umeme Hii ni ishara mbaya kwa waziri na serikali kwa ujumla kwa hili tatizo kujitokeza mara ya pili ndani ya miezi miwili Mama samia Ebu kuwa mkali kidogo yaani nina uhakika madudu mengi yatakuja kwa utawala huu, mchwa wa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, una taarifa za changamoto ya mifumo ya TEHAMA nchini hasa kukosekana kwa huduma ya malipo up (control number)?

    Ni takribani mwezi Sasa malipo ya serikali hayafanyiki kwenye taasisi mbalimbali baada ya kile kinachodaiwa mfumo wa hazina unaotoa control number kushindwa kufanya hivyo. Kutokana na changamoto ya control number fedha lazima zitakuwa zinapigwa kwa sababu huduma zinatolewa manually kitu ambacho...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchangiaji Damu kwa hiari waathiriwa na huduma ya utoaji chanjo ya CoronaVirus

    Huduma za uchangiaji damu nchini Kenya zimeathiriwana na janga la Covid-19, kwani wachangiaji ambao wamepokea sehemu ya kwanza dozi au dozi kamili ya chanjo ya AstraZeneca wanapaswa kusubiri kwa angalau siku saba kabla ya kuchangia damu. Huduma ya Kitaifa ya Uchangiaji Damu nchini humo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…