huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Samia katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo pamoja na utoaji wa huduma za kijamii, na katika Sekta mbalimbali

    Serikali inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, imeshuhudia mafanikio makubwa katika kuimarisha miundombinu hususan barabara, reli, viwanja vya ndege, bandari, huduma za kiuchumi na kijamii, ujenzi wa madarasa, hospitali, zahanati na vituo vya afya, huduma za maji, utawala bora, mapambano...
  2. JamiiForums Tanzania Mjema: Serikali awamu ya sita imedhamiria kuboresha huduma ya mama na mtoto Tanzania

    SOPHIA MJEMA:SERIKALI AWAMU YA SITA IMEDHAMIRIA KUBORESHA HUDUMA YA AFYA YA MAMA NA MTOTO. CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimesisitiza moja ya mikakati ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dk.Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha huduma za afya hasa ya Mama na Mtoto inaendelea kuboreshwa...
  3. JamiiForums Tanzania Huduma za kibingwa za MOI kuanza kutolewa Hospitali ya rufaa Nkinga - Tabora

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) iko mbioni kusogeza huduma zake za kibingwa kwa wakazi wa Mkoa wa Tabora na mikoa jirani katika Hospitali ya Rufaa ya Nkinga ili kuwaondolea wananchi usumbufu na gharama kubwa kufuata huduma hizo Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt...
  4. JamiiForums Tanzania Karibu kwa huduma ya graphics, mabango, stickers, logo, UI/UX design na zaidi. (Bei imeambatanishwa)

    LOGO DESIGN Bei: 50,000/= 2 Logo Concepts ikiwa na raundi mbili za masahihisho kwa kila Logo. 70,000/= 3 Logo Concepts ikiwa na raundi mbili za masahihisho kwa kila Logo. BRAND IDENTITY Bei: Tsh 100 000/= Logo, pamoja na patterns, matumizi ya rangi, na elements muhimu zinazobeba brand...
  5. JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka, Jeshi la Polisi lipeleke huduma za 'forensic' mikoani

    Kuna wimbi kubwa sana la kughushi nyaraka. Mikoa kama Morogoro, Dar es salaam na kwingine imekithiri, cha kushangaza. Huduma ya wataalamu wa forensic, kama uchunguzi wa miandiko Jeshi la Polisi limewaweka Dar es Salaam tu. Kama nyaraka imeghushiwa Tarime, Tandahimba, Kilimanjaro, Kagera...
  6. JamiiForums Tanzania BRELA ni Taasisi ya kuigwa nchini kwa huduma bora, kwakweli wanastahili pongezi!

    Wakuu moja kwa moja kwenye mada bila kuwachosha. Mimi siyo Chawa wala mtumishi wa BRELA. Mimi ni mdau tu mnufaika wa huduma za BRELA. Kwa wasiojua, BRELA ni Taasisi inayoshughulika na masuala ya usajili wa biashara /kampuni na kutoa leseni za biashara/kampuni nchini. Mie nimekuwa mnufaika wa...
  7. JamiiForums Tanzania Ibu Digital: Natoa huduma zifuatazo kidijitali!

    Habari zenu waheshimiwa! Natangaza huduma zangu zifuatazo; NB: Sina ofisi, kwasasa natoa huduma kidijitali. Ila kwa waliopo DSM wanaweza kuonana na mimi (ikiwa watahitaji) Kimara Temboni maana ndio makazi yangu. Huduma zangu; Natengeneza PDF ya document yoyote, iwe kitabu, cheti, cv...
  8. JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania ni kielelezo cha huduma mbovu za mawasiliano

    Hawa watu hawajali kabisa wateja wao hasa wanaoishi kwenye maeneo ya kipato cha chini. Kuanzia Jumamosi Jioni, huduma za internet zilishuka ghafla katika eneo la Chigongwe - Halmashauri ya Dodoma Jiji. Mpaka hivi leo huduma za internet zinasua sua na taarifa wanazo ila wameamua kupuuza...
  9. JamiiForums Tanzania Huduma ya Vodacom supakasi imekaaje hii!

    Nani anatumia huduma ya Vodacom Supakasi humu atupe maujuzi, tujue speed yao kwenye uhalisia wa utumiaji upoje n.k Kwa walio maeneo yanayokamata 5G speed ipoje wakikufungia hii huduma wanakupa vifaa gani! Maana kuna wanaosema wanakupa router ambayo ni moveable na wengine wanasema wanakuja...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mitume na manabii wanaouza maji na mafuta watakiwa kujisajili rasmi kama watoa huduma rasmi wa sekta za maji na mafuta

    Mitume na manabii wanaitoa huduma za maombezi kwa kutumia mafuta na maji wametakiwa kujisajili kwenye mamlaka rasmi zinazosimamia huduma hizo. wale wanaouza maji wametakiwa kujisajili kwenue mamlaka ya maji na wanaouza mafuta wametakiwa kujisajili Food and Drugs Authority.
  11. JamiiForums Tanzania Wachaga wengi wanapenda kupata huduma au kwa bei ya chini

    Ni jambo lialoshangaza sana kwa wateja kabila la kichaga wanapenda kitonga Sana kila huduma au bidhaa wanataka bei ya punguzo ni kero Sana Hawa watu kama unabiashara yako watu wakwanza kuwa kwepa ni Hawa wachaga sio wakuwaweka kwenye list kabisa . Kitu kingine wachaga wengi sio waaminifu unaweza...
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi Ninavyoanza Kutoa Huduma Za Udalali Wa Viwanja, Mashamba Na Nyumba Mwaka 2023

    PILI; Jinsi Ninavyoanza Kutoa Huduma Za Udalali Wa Viwanja, Mashamba Na Majengo Makala iliyopita nilikushirikisha jinsi nitavyofanya endapo nitakosa fedha kwa ajili ya kununulia nyumba ya kupangisha. Nilitaja mambo ambayo ninaanza nayo. Mambo hayo ni;- ✓ Kumiliki mtandao wa mauzo ya viwanja...
  13. JamiiForums Tanzania Uber yarejea kutoa huduma za usafiri Dar

    Kampuni ya huduma za usafiri kwa njia ya mtandao ya Uber Limited, imetangaza kuresha huduma zake rasmi baada ya kuisimamisha huduma hiyo tangu Aprili 2021. Kampuni hiyo hiyo iliyositisha huduma zake Aprili 2022, ikipinga kanuni mpya za usafiri wa teksi mtandaoni zilizotangazwa na Mamlaka ya...
  14. JamiiForums Tanzania Mwananchi mkoani Geita akamatwa na polisi akidai huduma ya maji

    Nashindwa kuelewa weledi wa police wa Tanzania, sijui huko huwa wanajifunza nini! Wengi wao wanafanya kazi kwa nidhamu ya uoga na kujipendekeza pendekeza. Pia uhuru wa wananchi kueleza hisia zao ni sufuri, huku Samia akijibainisha kusimamia haki, sijui haki gani huwa anaongelea?
  15. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Serikali kushtakiwa kwa kushindwa kutoa huduma ya Umeme wa Uhakika

    Makundi ya Upinzani, Chama cha Wafanyakazi na Wamiliki wa Biashara Wameandika barua ya madai kwa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Shirika la Serikali la Eskom, Andre de Ruyter, wakisema kuwa Shirika hilo inakiuka wajibu wake wa kutoa huduma ya umeme. Pia, wameipa Serikali hadi Januari 20, 2022...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi wananchi kuchangia mafuta ambulance au magari ya polisi wanapohitaji huduma?

    Imekuwa kama kasumba sasa. Mwananchi akipata tatizo kwenye mahospital ya wilaya ambazo ziko na hospital za rufaa na kisha kuandikiwa rufaa huwa anaambiwa kuchangia mafuta ili mgonjwa apelekwe. Polisi nao ukienda kuripoti tukio la uhalifu ili waende eneo la tukio huwa wanahitaji mafuta ya...
  17. JamiiForums Tanzania Huduma ya Train Dar - Arusha ni fedhea

    Habari wana Jf Kuna changamoto kadhaa kwenye tren zetu za Dar to Arusha/ Arusha to Dar la kuhusu huduma kwa ujumla hususani kwa watalii ambao wanatumia huu usafiri ni la kulifanyia kazi haswa ukizingatia Kwa sasa wazungu /watalii wengi wanapanda hizi tren kama sehemu ya utalii au budget...
  18. JamiiForums Tanzania Mjamzito ana Bima ya Afya lakini ameambiwa alipe cash kufikisha malipo ya huduma ya kujifungua

    Wakuu habari Nina Rafiki yangu ambae mkewe alikua mjamzito, lakini sasa ameshajifungua. Sasa wakuu changamoto baada ya kujifungua ameambiwa bima yake inacover 1.5M tu ya gharama za kujifungua. Gharama iliobaki ya 280,000 anatakiwa alipie cash ili akamilishe gharama zote za kujifungua. Nina...
  19. JamiiForums Tanzania Kabla ya kupandisha nauli ya Mwendokasi, DART zingatieni uchafu na huduma mbovu vituo vya Mwendokasi

    Mkiwa mbioni kupandisha nauli,uchafu umekithiri vituoni kwenu hapo ni Kimara na huduma imezorota madirishani kwa cashiers kila muda kujifanya hawana change #badilikeni
  20. JamiiForums Tanzania Vifaranga vilivyofia airpot kwa kukosa huduma vipo wapi kwa sasa?

    Hivi karibuni tulisikia vifaranga 60,000 vikiwa vimekufa kwa kukosa huduma kwenye uwanja wa ndege wa Dar baada ya kuingizwa nchini kinyume cha sheria na kutokuwa na vibali. Vifaranga hivyo ni mali ya Kampuni ya Phonex ya Mkuranga Mkoa wa Pwani swali je viko wapi kwa sasa vifaranga baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…