huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Huduma za Shirika la Posta Tanzania

    Habarini wana JF, Niende kwenye mada moja kwa moja. Juzi Ijumaa nilikuwa nataka kutuma Doc moja Mkoani ila kwa kuwa na confidential sana nikaona nisitume kwa basi kama ninavofanyaga mara nyingi. Nikaenda Posta lengo nitume kwa EMS na inahitajika J3. Cha kushangaza nikaambiwa itatumwa J3...
  2. JamiiForums Tanzania Nilichogundua shida maofisini kwenye utoaji wa huduma hazipo kwa Mabosi, zipo kwa wasaidizi

    Husika na mada hapo juu tunawaomba MA-PS (Baadhi), huko MAOFISINI mtuhudumie kwa upendo na kwa haraka, nimefanya utafiti kidogo nimegundua kumbe mabosi wana moyo wa kutuhudumia Ila wanakwamishwa na masekretari wao. Mfano; 1. Ps unamsalimia hakujibu kwa makusudi. 2. Ps anakataa usionane na boss...
  3. JamiiForums Tanzania Jimbo la Kiteto - Taarifa Maalum kwa Wananchi Kuhusu Miradi ya Huduma za Mawasiliano

    JIMBO LA KITETO - TAARIFA MAALUM KWA WANANCHI KUHUSU MIRADI YA HUDUMA ZA MAWASILIANO Ndugu wananchi wenzangu wa Jimbo la Kiteto natambua kuwa wakati natafuta kura tulipata changamoto nyingi sana za huduma ya mawasiliano ya simu katika Vijiji zaidi ya 30 ambavyo mitandao ya simu ni...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Utiaji saini Mikataba ya Kupeleka Huduma ya Mawasiliano Vijijini - JKCC, Dodoma, Mei 13, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki hafla ya utiaji saini Mikataba ya miradi ya kufikisha huduma za mawasiliano ya Simu katika kata 763 nchini katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, tarehe 13 Mei, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  5. JamiiForums Tanzania Miaka 10 ya CRDB Kutoa huduma za Kibenki kupitia Mawakala

    MBUNGE NDAISABA ASHIRKI HAFLA YA MIAKA 10 YA CRDB KUTOA HUDUMA ZA KIBENKI KUPITIA MAWAKALA Mbunge wa Jimbo la Ngara Ndaisaba George Ruhoro tarehe 08 Mei, 2023 alishiriki Hafla ya kuadhimisha miaka 10 tangu CRDB walipoanza kutoa Huduma za Kibenki kupitia Mawakala ambapo Hafla hiyo iliandaliwa na...
  6. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo kutoka Wizarani Prof. Herzon Nonga nijibu swali langu

    Nikuulize swali Profesa, Umesema Tanzania inaagiza tani 68.7 Za nyama ya Kitimoto kwa mwaka. Hiyo kitimoto mnaagiza kutoka nchi gani? Je, Zanzibar na Pemba ni Sehemu ya Tanzania, walipokea tani ngapi za hiyo nyama ya Kitimoto?
  7. JamiiForums Tanzania SoC03 Utata wa mkataba wa utoaji huduma ya umeme kati ya mteja na Tanesco

    UWAJIBISHWAJI WA SHIRIKA LA UMEME TANZANIA - TANESCO Bila shaka tunatambua na kuona jinsi shirika letu la Umeme Tanzania ambavyo limekuwa likiendelea kutanua wigo wake wa kutoa huduma na kuja na mpango wa kuwafikia wakazi/wananchi waishio vijijini katika mpango wake wa ugawaji wa nishati ya...
  8. S

    JamiiForums Tanzania BoT, toeni matangazo kabla ya taarifa ya habari kuhusu adhabu za kukiuka Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha na kanuni zake ya mwaka 2018

    Muda mfupi uliopita kupitia kipindi cha "Ijue BOT" kinachorushwa na Azam tv, nimemsikia Afisa Mwandamizi wa BOT, Bwana Deogratias Mnyamani akitoa maelezo kuhusu Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya mwaka 2018 na kanuni zake ya mwaka 2019. Katika maelezo yake akihojwa na Mtangazi wa kipindi hicho...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samizi akomaa na mradi wa maji uliokwama wa Kifura, sasa kuanza kutoa huduma Agosti 31

    DKT. SAMIZI AKOMAA NA MRADI WA MAJI ULIOKWAMA WA KIFURA, SASA KUANZA KUTOA HUDUMA AGOSTI 31. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi anaendelea kusimama kidete kuwasemea wananchi wake pamoja na kutatua kero zao ili kusukuma maendeleo yao ambapo sasa amekomaa...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi huduma za Starlink za Elon Musk tutazipata kweli Tanzania?

    Naona matumaini ya kupata huduma za Starlink za Elon Musk zinaweza zikawa zinakwamishwa kwa makusudi sio na Nape tu bali na wakubwa na inaweza ikawa ni Kwa maslahi binafsi juu ya hizi kampuni za kinyonyaji tulizonanzo. Angalia video hii uone maswali yanavojibiwa daaah tuna Safar ndefu sana !!!
  11. JamiiForums Tanzania Mapigano yasababisha huduma za Intaneti kuzimwa Sudan

    Mtandao wa #NetBlocks umeripoti kuwa Vita ya pande mbili za Majeshi zinazopigana Nchini #Sudan imesababisha upatikanaji wa huduma ya Mawasiliano ya Intaneti kushuka hadi kufikia 2%. Mapigano hayo yaliyoanza Aprili 15 kati ya vikosi vinavyomtii Mkuu wa Jeshi, Abdel Fattah al-Burhan na vya Makamu...
  12. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kukosa huduma au msaada kwa kutokusalimia watu,

    nikiwa nimetokea zangu kigamboni nikafika ferry kutafuta magari ya gongo la mboto, sikuwa mzoefu sana yanaoopatikana, ikabidi nisogee kwenye daladala moja hivi iliyopaki ilikuwa ni mida ya mchana, ndani kulikuwa na dereva na kondakta wake, kufika nakauliza, eti gari za gongola mboto zinapaki...
  13. JamiiForums Tanzania Unafikiri Tanzania imefikia sehemu unaweza kununua bidhaa na huduma mitandaoni kwa urahisi?

    Je unapitia changamoto zipi unaponunua bidhaa mtandaoni? Je nini kifanyike kusuluhisha suala hili kwenye nchi yetu Tanzania?
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kulikoni leo huduma za Simbanking na ATM za CRDB hazifanyi kazi tangu asubuhi?

    Kama heading inavyosema Huduma hizo hakuna kabisa, watu wanahangaika wanataka kutoka pesa kwa ajli ya Eidd, wanadhondwa.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Muhimbili Mloganzila yaanzisha huduma ya plastic surgery ikiwa ni pamoja na kuongeza matiti, makalio, nk

    Hospitali ya Taifa ya Muhimbili tawi la Mloganzila wameanzisha huduma ya upasuaji ya kurekebisha baadhi ya sehemu mbalimbali za mwili (plastic surgery). Baadhi ya aina za upasuaji ambazo zitakua zikitokewa hospitalini hapo ni pamoja na kuongeza/kupunguza matiti, kuongeza hips, kuongeza makalio...
  16. JamiiForums Tanzania Tanga, mafunzo ya huduma baada ya mimba kuharibika (CPAC) yamepunguza gharama za usafiri kwa wagonjwa

    Mafunzo ya huduma baada ya mimba kuharibika Comprehensive Post Abortion Care (CPAC) yanayotolewa na Serikali kwa kushirikiana na baadhi ya taasisi zisizo za Kiserikali, Marie Stopes Tanzania yametajwa kupunguza gharama za usafiri kwa wateja katika kuitafuta huduma hiyo. Mbali na kupunguza...
  17. JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma za printing na sales managing systems Dodoma

    wakuu, karibuni MR Business, tupo Dodoma, mile 2 mnada wa zamani tuna print T-shirts, mabango , card za harusi , calendar,picha mbao na stickers za aina zote lakini pia tuna sales managing sysytem ya Excel na ya kawaida TUNATUMA KAZI MPAKA MIKOA MINGINE, MALIPO NI BAADA YA KAZI unaweza...
  18. JamiiForums Tanzania Ninawezaje kupata hii huduma ya malipo ya selcom kwenye biashara yangu?

    Habari wakuu mimi ni mjasiriamali mdogo mdogo,nilikuwa nahitaji huduma hii ya kuscan kwa kupitia seclom mastercard.msaada jinsi ya kuipata na vigezo vyake
  19. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wataalam wachache kwenye Huduma za CT-Scan katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro ni changamoto

    Baadhi ya Wagonjwa wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro wamelalamikia kuwepo kwa wataalam wachache wa kipimo cha CT-Scan kunahatarisha usalama wa wagonjwa wao. Wananchi hao wamesema mara kadhaa wanapofika hospitalini hapo wagonjwa wamekuwa wakichukua muda mrefu kupata matibabu huku...
  20. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Huduma za Tiba Ocean Road hadi wagonjwa waandamane?

    Imekuwa ni kawaida iliyozoeleka Ocean Road kwa mgonjwa kufika kwenye miadi ya tiba (kama ilivyopangwa) asubuhi saa moja na kuja kupata huduma saa nne usiku. Hutokea wakati hata hiyo usiku anaweza bado tiba asipate. Hakuna taarifa zozote zinazotolewa kuhusiana na ucheleweshwaji huu zaidi ya kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…